johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda
Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi
Credit: Citizen TV
Sio ya kiume bali ya kichaa, mwehu mpenda damu za watu wasio na hatiaMajibu ya kiume
Wanajeshi wa magwanda tu, hawajawahi kuingia front na vita wanaziona tu kweneye cinema za Chuck Norris na Rambo. Kiufupi watoto wa PK ni raia tuBaada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda
Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi
Credit: Citizen TV
Huyu hapa fidodido wao:Kumpangia nini?hakuna wa kumpangia labda aikiwa Rwanda ila akotoka nje ya Rwanda ni PAKA kama paka wengine
Hii ni kauli ya kijinga kwa kiongozi,watu wanajadili Amani ya Congo,halafu ye aseme hakuna wa kumpangia,ujingaMajibu ya kiume
Congo ni mteja wetu mkubwa bila ya congo banadari yetu itayumba, huwezi kupeleka mizigo kama kuna vita, na ukirihusu hwa waasi wawe na nguvu kupambana na jeshi la serikali ina maana hata wewe hapa nchini kwako wanaweza kuja kukuvamia na kusema geita ni mali yao wakaanza kukusumbua hawa waasi sio wa kuchekewaMambo ya wakongomani na wanyarwanda tuachane nayo na tuangalie yetu. Kwani hata huyo tchekedi sijui, huyo raisi wa congo hayupo madarakani kihalali. Hakuna sababu ya kupoteza muda na vijana wetu.
Mmh!Huyo kagame angekuwa wetu tungekuwa mbali🤣🤣
Watoto wa chawa na ccm elites wao wanafanya kazi gani?Baada ya Mkutano wa usuluhishi kukamilika Dar es salaam Rais Kagame wa Rwanda amesema " hakuna wa Kutupangia" linapokuja swala la ulinzi na ustawi wa Rwanda
Watoto wa Kagame Wote ni Wanajeshi
Credit: Citizen TV
Unajua faida ya uwepo Kwa usalama wa congo Dr??? Watu wanaangalia soko la biashara kwani congo ni landlocked country, hvyo mizigo Yao inapitia bandari ya dsm. So lazima kuwe na amani Kwa mustakali wa uchumu wetu.Mambo ya wakongomani na wanyarwanda tuachane nayo na tuangalie yetu. Kwani hata huyo tchekedi sijui, huyo raisi wa congo hayupo madarakani kihalali. Hakuna sababu ya kupoteza muda na vijana wetu.
Ukisikia kujiamini ndio huko sasa. Hataki kupelekeshwa
Na hapo kwenye mchezo ole wake umfunge goli au udake mpira aliopiga usiingie goilini