Baada ya kutolewa shutuma za kuihujumu klabu ya Yanga, kamati ya utendaji ya imemsimamisha kazi Kaimu katibu mkuu, Wakili Simon Patrick

Baada ya kutolewa shutuma za kuihujumu klabu ya Yanga, kamati ya utendaji ya imemsimamisha kazi Kaimu katibu mkuu, Wakili Simon Patrick

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
1605695687151.png
 
Senzo effect! Ila sijui kafanya nini lakini mkono wa Senzo
 
Hili Sakata la mukoko anaangushiwa mtu fuko la lawama.....

😂😂😂
 
Sio bure Itakuwa kuhusu kutoa siri ya mkataba wa mukoko tonombe.
Sio hilo tu...kwenye utetezi alioutoa hakuna sehemu katajwa mukoko..... Inshu ya Morrison
Kama mkatataba ulikua hovyo simon ndio aliyeuandika.
 
Sio hilo tu...kwenye utetezi alioutoa hakuna sehemu katajwa mukoko..... Inshu ya Morrison
Kama mkatataba ulikua hovyo simon ndio aliyeuandika.
Wanaigana tu hakuna cha mkataba wa Morrison wala Mukoko.
Yanga na Simba ni kama mapacha, mmoja akifanya hiki mwingine anafanya kile ilimradi tu kuweka stori kwenye mzani sawa. Kule Simba Akina Rweyemamu, Kocha wa Makipa nk nk wamepewa talaka, huku kwingine wakaona isiwe tabu nawao wamejibu mapigo kwa kumtimua Wakili.
Maisha yatasonga tu hakuna namna.
 
Maisha bila usalitu hayaendi.
Wakili ametumika, amejulikana, Ametenwa.
 
Vyura bhana! Wakisikia Simba kamsimamisha kazi kiongozi wake basi wanakuja na Speed ya Rocket kucomment utopolo wao! Lakini kwakuwa Yanga ndiye aliyesimamisha Kiongozi basi huu Uzi hawauoni.
 
Ameihujumu timu kwa namna gani?

1.Hakubaliani na lile goli la penati mlilopewa,lililofanya game iishe kwa 1-1?

2.Amesababisha mshindwe kumkwapua Triple C kutoka Unyamani?

3.Amevujisha loop holes zilizopo kwenye mkataba wa Mukoko Tonombe?

...Mlijivunga wajanja sana na Senzo wenu, sasa ndo mtajua kwamba hamjui. Simba siyo ya mchezo mchezo! Subirini spana kadhaa mnazoandaliwa labda akili zitawakaa sawa kwa siku zijazo.
 
Back
Top Bottom