Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Sio hilo tu...kwenye utetezi alioutoa hakuna sehemu katajwa mukoko..... Inshu ya MorrisonSio bure Itakuwa kuhusu kutoa siri ya mkataba wa mukoko tonombe.
Wanaigana tu hakuna cha mkataba wa Morrison wala Mukoko.Sio hilo tu...kwenye utetezi alioutoa hakuna sehemu katajwa mukoko..... Inshu ya Morrison
Kama mkatataba ulikua hovyo simon ndio aliyeuandika.
Mchukueni mtu wenuYanga haiwezi kuishi bila ya Simba Abadan! And vice versa is not true.
Mchukueni mtu wenu