Baada ya kutoswa kama Msemaji wa Yanga FC hatimaye Jerry Muro kauwasha moto na kuikashifu mno Yanga

Nakiri kosa la mwandiko! Ungekuwa muungwana, na wewe ungekubali udhaifu wa kushindwa "summarization", kisha uanze kujirekebisha!
 
Nimemsikiliza Kaongea points tupu, sio hayo ulioandika, ww ni kati ya wale wasiolitakia mema soka letu.
Kusikia neno zuri na kuligeuza ili liwe baya na lenye kuudhi na kusababisha, teuzi ,au sajili au chaguzi au wasimamizi wa timu wa hivyo kabisa yaani ww ni wa kuogopwa kama ukoma
 
Tangu lini Genta akawa yanga? Kumbe Yanga nao mbumbumbu! Ukitaka kujua mbinu za adui yako kuwa rafiki yake. Ndicho anachofanya Genta.
 
Huyo jamaa GENTA mnyama sana aka rufaa FC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…