GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,796
- 4,497
Nakiri kosa la mwandiko! Ungekuwa muungwana, na wewe ungekubali udhaifu wa kushindwa "summarization", kisha uanze kujirekebisha!Na Wewe ulipokuwa Shule ulilielewa vizuri sana somo la Mwandiko? Hivi Mwalimu wako aliyekufundisha Mwandiko alikuambia kuwa neno ' ulipokuwa ' likiandikwa linaandikwa kama ulivyoandika Wewe ' ulipo kuwa ' kwa kuachanisha maneno? Usiwe mwepesi Kushabikia Choo cha jirani yako kimejaa wakati chako kipo hadi pomoni na Mifunza juu inatambaa huku wengine ukiwatumia kama Kitoweo katika Chakula chako unachokula.