Nunc dimittis
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 1,142
- 777
kutafuta soko was plan B,after wanunuzi kuleta ujanjaujanja wa kwenda kununua polepole ili mvua ije wanunue kwa bei ndogoTunanunua ila baada ya kukaushiwa kwa mikwara kwamba mtaenda wenyewe kutafuta soko nje, sasa hatimaye mumeachia tununue.