Baada ya kutunisha misuli na kauli za mikwara, hatimaye Tanzania imekubali kuachia korosho kwa kampuni ya Kenya

Baada ya kutunisha misuli na kauli za mikwara, hatimaye Tanzania imekubali kuachia korosho kwa kampuni ya Kenya

Tulieni, wakulima wenu watafaidi sana wakifanya ukulima biashara, unaoeleweka. Acheni kupenda kiki, visasi, ubabe wa peni mbili na siasa kwenye masuala simpo ya nipe nikupe.
Mbona wakulima wenu kila siku wanalia na kulalamika kwamba serikali yenu haiwajali inawapa bei ndogo ya mazao yao?. Magufuli effect ndiyo inayofanya makampuni ya Kenya kutoa bei nzuri huku Tanzania, lakini huko Kenya yanawaumiza wakulima kwasababu Kenya ni " man eat man society".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushukuru ni busara! Binafsi nawashukuru Wakenya kwa kuwa na kampuni jasiri, sio kampuni zetu zilizojaa woga (probably wako right, manake Magufuli hapendi matajiri wa kibongo).
 
Hakuna kitu kama hicho, pale magufuli alipo ban korosho, alitaka ziuzwe angalau 3,500, hio kampuni ya Kenya wakati huo ilikua ime outbid kampuni zengine na kuahidi kununua kwa 3,800...... kwahivyo hata mmepata loss afadhali mgenyamaza ili hio kampuni ya kenya inunue kwa 3,800!!
Hii inathibitisha uzwazwa wa kichwa chako, lete ushahidi unayosema. Magufuli alikutana na wafanyabiashara akawaambia bei isiwe chini ya 3000, walipokataa, Serikali ikanunua kwa 3300, sasa hili kampuni wamenunua kwa zaidi ya bei elekezi ya 3000.

Ninyi wakulima wenu wa miwa hamuwasaidii wanalalamika, wakulima wenu wa mahindi wsmedhulumiwa na serikali yenu dhalimu ya mabeparu hakuna mtu wa kuwasemea, njooni mjifunze kwa Magufuli jinsi anavyowalinda na kuwatetea wakulima na watu masikini, Kenya watu wa maisha ya chini hawathaminiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naaam! Kumbe unajua waligomea bei? Hadi mahakamani walifika na hilo suala likajadiliwa bungeni. Ndio point yangu sasa, hiyo ndio tofauti kuu kati ya mkenya na mtz. Zaidi ya yote GoK haikuhusisha KDF.
Kwenda bungeni kumesaidia nini wakati wakulima wanahitaji pesa kupeleka watoto shule?. Magufuli aliingilia kati baada ya wakulima kukataa kuuza korosho kwa bei waliyotoa wafanyabiashara kwa kisingizio cha bei ya chini katika soko la dunia. Sasa kwasababu ninyi hamkuhusisha KDF ndio the right way?, KDF haiwezi kuhusishwa kwasababu is very corrupt hakuna mkenya angekubali, No one trusts KDF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Its our time to Eat!!" ngoja tuziregeshe huko kwenu na packaging imeandikwa "premium product" Tena tunaipandisha bei kuruka, Lazima tuongeze faida!

Coffee-Kenya-Mark-of-Origin.jpg

Angalia hapo juu kwa packadging imeandikwa "world class!" hehe, kumbe korosho zengine zimetoka Tz

all-snacks-2.png

71700a45600b40c087e1f167690c99388691c787.jpg
Tatizo majirani zetu mliamka/amshwa saa 12 asubuhi halafu sie tukaamshwa saa 2 asubuhi, big difference.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye wameona busara ya kuruhusu kampuni ya Kenya kununua korosho zao tani laki moja. Hii ni baada ya patashika ya kila siku full mikwara.
-----------------------------------
Hapo nani mjanja?
Walanguzi walikaa bei ya 3,000,kaja mkenya kalipa 4,000
Itapunguza pia pengo la biashara
 
Hapo nani mjanja?
Walanguzi walikaa bei ya 3,000,kaja mkenya kalipa 4,000
Itapunguza pia pengo la biashara

Kuna bei ya kununua moja kwa moja kutoka kwa mkulima, na pia kuna bei ya kununua kutoka kwa serikali baada ya serikali kufanya shughuli zote za upakiaji, usafirishaji na mengine yote ambayo yangemgharimu Mkenya. Kwa kifupi aliyeumia hapa ni makampuni yote yanayohusika na usafiri pamoja na upakiaji maana serikali imengilia biashara yao na kuifanya yenyewe.
 
Acha uongo wewe!
-1.wakulima wenu waliamua nini sakata la sukari?? Kuua mumia sugar na wakulima wenu kwa kuleta sukari chafu toka brazil kwa kisingizio cha ku reprocess
-2.issue ya mahindi huioni??kununua mahindi ya nje kuacha ya ndani then unanunua very late kwa bei ya 2300kshs/90kgs wakati wakulima wanataka 3600kshs.je hujui Kenya farmers association wanagomea bei iliyotolewa?
Umesahau na wamaziwa, wanalia sana jana walikua na kikao wanataka waachane na biashara. Bei imekua ndogo mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna bei ya kununua moja kwa moja kutoka kwa mkulima, na pia kuna bei ya kununua kutoka kwa serikali baada ya serikali kufanya shughuli zote za upakiaji, usafirishaji na mengine yote ambayo yangemgharimu Mkenya. Kwa kifupi aliyeumia hapa ni makampuni yote yanayohusika na usafiri pamoja na upakiaji maana serikali imengilia biashara yao na kuifanya yenyewe.
kiongozi nasikia huko Ruto atasimama na odinga kama mgombea mwenza?
 
Eti 1,000 unaumwa. Alafu lift valley ndio wapi tena? Naelewa kwamba upo kazini kumtetea mzee wa mikwara kwahivyo rest easy.
Mimi siyo mtu wa mabandiko mahindi kenya yameuzwa 1000-1500kshs/90kgs,kama unatumia internet ni taharifa iliyo wazi wala ukutakiwa kujibu bila uhakika
 
Mimi siyo mtu wa mabandiko mahindi kenya yameuzwa 1000-1500kshs/90kgs,kama unatumia internet ni taharifa iliyo wazi wala ukutakiwa kujibu bila uhakika

Green Maize per bag: Nairobi Kshs 2,200 – Kisumu Kshs 2,200 – Mombasa Kshs 4,400 – Nakuru Kshs 1,800 – Eldoret Kshs 2,200 – Meru Kshs 2,300 – Kitui Kshs 2,000 – Kitale Kshs 2,000 – Kakamega Kshs 2,000 – Embu Kshs 2,300 – Bungoma Kshs 2,700
https://www.agricultureauthority.go...shs-2000-kitale-kshs-2000-kakamega-kshs-2000/

https://www.nation.co.ke/news/North...ew-maize-price/1056-4930906-rf4qhz/index.html
 
Green Maize per bag: Nairobi Kshs 2,200 – Kisumu Kshs 2,200 – Mombasa Kshs 4,400 – Nakuru Kshs 1,800 – Eldoret Kshs 2,200 – Meru Kshs 2,300 – Kitui Kshs 2,000 – Kitale Kshs 2,000 – Kakamega Kshs 2,000 – Embu Kshs 2,300 – Bungoma Kshs 2,700
https://www.agricultureauthority.go...shs-2000-kitale-kshs-2000-kakamega-kshs-2000/

North Rift farmers pleased by new maize price
nazungumzia kabla ya serikali kuanza kununua wakulima wameuza bei ya 1000-1500
 
Hawa majirani wetu kuwaelewa kunahitaji nguvu nyingi sana, wao ni kama kaka aliyebaki kijijini wakati wadogo wake wamekwenda kuneemekea mjini, sasa wakirudi kuwasabahi wazee, huyo kaka anaibuka kwa ukali na chuki zisizokua na mantiki.

Hatimaye wameona busara ya kuruhusu kampuni ya Kenya kununua korosho zao tani laki moja. Hii ni baada ya patashika ya kila siku full mikwara.
-----------------------------------

Arusha. A Kenyan firm will buy at least 100,000 tonnes of raw cashewnuts from Tanzania.
Following an agreement to the effect signed late yesterday evening the government will earn Sh418 billion.
The raw cashews to be exported is part of 213,000 tonnes recently purchased from the farmers under a coordinated operation by the government.
The minister for Industries and Trade Joseph Kakunda said yesterday's agreement was a relief to the government, which has been striving to get market for its raw cashew nuts.
https://www.thecitizen.co.tz/News/K...-of-cashew/1840340-4959484-vs9d34z/index.html

Why export raw cashew nuts instead of processed products(I mean value added products)? This is another blunder just as we continue to export raw products for instance Cotton, sisal, coffee, cocoa, maize! We are still a thousand years/miles away from Mwl Nyerere era! The fifth phrase government have a long way to go to repair damages down by the third and forth phase governments. The President Dr John Magufuli is laden with burden caused by greedy politicians who had been educated by taxpayers’ money and trusted by the Tanzanian mass sold the factories, corporations including minerals at a give away price!
 
Hii inathibitisha uzwazwa wa kichwa chako, lete ushahidi unayosema. Magufuli alikutana na wafanyabiashara akawaambia bei isiwe chini ya 3000, walipokataa, Serikali ikanunua kwa 3300, sasa hili kampuni wamenunua kwa zaidi ya bei elekezi ya 3000.

Ninyi wakulima wenu wa miwa hamuwasaidii wanalalamika, wakulima wenu wa mahindi wsmedhulumiwa na serikali yenu dhalimu ya mabeparu hakuna mtu wa kuwasemea, njooni mjifunze kwa Magufuli jinsi anavyowalinda na kuwatetea wakulima na watu masikini, Kenya watu wa maisha ya chini hawathaminiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kila siku hua ni lazima uingilie akili za watu kabla utoe comment? Uko na shida Sana muone daktari, sio lazima ujaribu Ku downgrade mtu ndo uwe 'superior' ...

Anyway, mi ndo nilikua nimesahau kidogo.... Kampuni ya India ilibidi for 30,000 tonnes at TSH 3,800 per kilo.. Kampuni ya Kenya ika bid for 100,000 tonnes (half of all Tz cashewnut) at tsh 3,500 per kilo directly kutoka Kwa wakulima...

Hii ni kabla magufuli Kuban uuzaji wa hizo korosho na kuzinunua Kwa 3,300 per kilo, kwahivyo kiufupi Kampuni ya Kenya ingewafaidisha wakulima zaidi , alafu pia hio Kampuni ya India ingefaidisha hao wakulima ambao wangeuza hio 30k tonnes....

-------
A Kenyan company was among two private companies that bid for Tanzanian cashew nuts at a price above the minimum set by the government but were locked out.
The Kenyan company, Indopower Solutions, had offered to buy 100,000 tonnes at $1,535 a tonne, while Kerera from India bid for 30,000 tonnes of raw cashews at $1,650, an official report, seen by The Citizen, shows.
The price per kilo translates to TSh3,500 (Sh157.3) and TSh3,800 (Sh169.3) for the offer by the Kenyan and Indian companies respectively.
Tanzanian President John Magufuli had directed that farmers be paid a minimum price of TSh3,300 (Sh146.9) per kilo for their produce.
Avertissement de redirection
---------
 
Back
Top Bottom