Nunc dimittis
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 1,142
- 777
kutafuta soko was plan B,after wanunuzi kuleta ujanjaujanja wa kwenda kununua polepole ili mvua ije wanunue kwa bei ndogoTunanunua ila baada ya kukaushiwa kwa mikwara kwamba mtaenda wenyewe kutafuta soko nje, sasa hatimaye mumeachia tununue.
taarifa umeitumia vibaya, hizo bei zilitolewa baada ya serikali kushtukia mgomo baridi wa wanunuzi walipokwenda kununua kwa makubaliano ya 3300tshs /kg..,hiyo ilifanya serikali kuona kuna cartel inataka kuharibu zoezi la manunuzi,na kumbuka hofu ya mvua ilikuwepo pia.wEwe uoni ajabu serikali ingekataaje bei kubwa ?hao walikuja last minutesAnd this you're pulling from your head.
Why don't you give sources to your stories.
I've given you a link to support my claim - https://www.thecitizen.co.tz/News/I...-800-per-/1840340-4892048-14khwocz/index.html
The fact is Magufuli gave farmers less than they were being offered by several private companies.
You have nothing to prove otherwise.
kwani pande hiyo udikteta umeishaa?wewe huoni mlivyo single part sasa hivi after hand shake.uchaguzi mnafanya kuachiana maeneo !!!!tafakari vizuri wewe!!!???He did exactly that.
Zinaitwa roadside declarations za dictator.
Na nyie punguzeni kutuletea sukari za sumu kupitia silali na ugandaTulieni, wakulima wenu watafaidi sana wakifanya ukulima biashara, unaoeleweka. Acheni kupenda kiki, visasi, ubabe wa peni mbili na siasa kwenye masuala simpo ya nipe nikupe.
Acha uongo wewe!Hasara itakuwa ni kwa nani kama sio wakulima na watanzania kwa ujumla? Dah, hivi unadhani kama ni Kenya wakulima wangeketi kitako kama wanyonge kwa uoga wa miungu watu? Aisee, kweli hatufanani kabisa.
Remember ******** has seized thousands tonnes of cashews from poor people, he will come and say "we have got profit".The big question should be how much did the Government of Tanzania buy from the farmers and how much are they selling to the Company?? Any one with the facts? If there is a margin....then good job Magufuli!!! If not, it was a waste of time and energy.
Hakuna kitu kama hicho, pale magufuli alipo ban korosho, alitaka ziuzwe angalau 3,500, hio kampuni ya Kenya wakati huo ilikua ime outbid kampuni zengine na kuahidi kununua kwa 3,800...... kwahivyo hata mmepata loss afadhali mgenyamaza ili hio kampuni ya kenya inunue kwa 3,800!!Hivi wakenya lini mtakua na akili?, Magufuli alikataa bei ndogo ambayo wafanyabiashara walitaka kuwapa wakulima, akachimba mkwara ili wapandishe bei, na kweli amefanikiwa kwasababu katika soko la dunia bei ilipanda sana kutokana na Tanzania kukataa kuwauzia wafanyabiashara, hili kampuni la Kenya limekubali kutoa bei iliyopendekezwa na Magufuli, sasa nani mshindi?.
Sent using Jamii Forums mobile app
walipeana 3,500 kwa tani elfu mbili na Magala ipo na tani 200k..Hakuna kitu kama hicho, pale magufuli alipo ban korosho, alitaka ziuzwe angalau 3,500, hio kampuni ya Kenya wakati huo ilikua ime outbid kampuni zengine na kuahidi kununua kwa 3,800...... kwahivyo hata mmepata loss afadhali mgenyamaza ili hio kampuni ya kenya inunue kwa 3,800!!
"Its our time to Eat!!" ngoja tuziregeshe huko kwenu na packaging imeandikwa "premium product" Tena tunaipandisha bei kuruka, Lazima tuongeze faida!Alafu unakuta zinaenda kubanguliwa kenya ama kokote wanapojua alafu zinakuwa packaged kisha zinawekwa lebel ya made in kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni moja ya Kenya Haiwezi ikanunua korosho zote za Tz, hata hivyo, the maximum weight a regular trailer truck is allowed to carry on Kneyan roads is 56 tonnes (devided over six axles), kwahivyo 2000 tonnes is equivalent to 36 fully loaded trailers... Thats not a small feet for a single company. Kumbuka pia wanapata supply ya korosho kutoka Kenyawalipeana 3,500 kwa tani elfu mbili na Magala ipo na tani 200k..
Hiyo sio biashara baba..Mnunuzi lazima achukue 20000 tonnea kwenda juu. Hii sio biashara ya mamalishe
Naaam! Kumbe unajua waligomea bei? Hadi mahakamani walifika na hilo suala likajadiliwa bungeni. Ndio point yangu sasa, hiyo ndio tofauti kuu kati ya mkenya na mtz. Zaidi ya yote GoK haikuhusisha KDF.Acha uongo wewe!
-1.wakulima wenu waliamua nini sakata la sukari?? Kuua mumia sugar na wakulima wenu kwa kuleta sukari chafu toka brazil kwa kisingizio cha ku reprocess
-2.issue ya mahindi huioni??kununua mahindi ya nje kuacha ya ndani then unanunua very late kwa bei ya 2300kshs/90kgs wakati wakulima wanataka 3600kshs.je hujui Kenya farmers association wanagomea bei iliyotolewa?
Korosho si zimelimwa kwa miaka mingi lkn?Wewe ni limbukeni..Ulitaka Tz ijenge viwanda ndani ya miezi miwili? Korosho ikishambaguliwa inapoteza shelflife (inaharibika haraka)
Lazima kuwe na longterm & shorterm solutions..na bidhaa nyingine ni bora uuze zikiwa unprocessed sababu ya kuharibika.
Ukikurupuka usiage mahindi yote TZ iwe unga eti unaongeza value itakubidi uuze hizo tani zote chini ya 60 days ama ungie hasara
Unajua ninachokisema. Korosho sio ugali au wali. Kaeni nazo huko.
Ndio binadamu hatufanani ili tufaaneHasara itakuwa ni kwa nani kama sio wakulima na watanzania kwa ujumla? Dah, hivi unadhani kama ni Kenya wakulima wangeketi kitako kama wanyonge kwa uoga wa miungu watu? Aisee, kweli hatufanani kabisa.
wewe hujui lift valkey mahindi yaliuzwa 1000kshs/bag.Naaam! Kumbe unajua waligomea bei? Hadi mahakamani walifika na hilo suala likajadiliwa bungeni. Ndio point yangu sasa, hiyo ndio tofauti kuu kati ya mkenya na mtz. Zaidi ya yote GoK haikuhusisha KDF.
Jahazi gani wameokoa wakati msimu huu korosho tunayo sisi tu mpaka tumesababisha sokoni bei ipande.tumefanya biashara hakuna uokozi soko li wazi na ni msimu wetuKenya wameokoa jahazi
tz jeshi linaruhusiwa kusaidia nchi wakati wa peace cause limeundwa la wananchiNaaam! Kumbe unajua waligomea bei? Hadi mahakamani walifika na hilo suala likajadiliwa bungeni. Ndio point yangu sasa, hiyo ndio tofauti kuu kati ya mkenya na mtz. Zaidi ya yote GoK haikuhusisha KDF.
That's why Alshabab kills you.He did exactly that.
Zinaitwa roadside declarations za dictator.