GE2025 Baada ya kuua mamia kwa maelfu mnataka maridhiano. Mnataka turidhiane nini na nani?

GE2025 Baada ya kuua mamia kwa maelfu mnataka maridhiano. Mnataka turidhiane nini na nani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kwakina itafakari

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
739
Reaction score
1,657
Watu MAMIA KWA MAELFU wameuliwa kwa MAKUSUDI kabisa pasipo chamber ya HURUMA wala UTU

Kibaya zaidi KAULI NA MATENDO yao mpaka dakika hii,hayaonyeshi hata kwa bahati mbaya KUJUTIA kile walichikifanya

Ajabu kuna watu wanatuambia story za maridhiano na kusubiri,kipi cha kuridhiana?kipi cha kusubiri? Ili hali wao wanasema WAGENI NJOONI TANZANIA KILA KITU SHWARI?

Tumeshaitwa WAHALIFI,WAGENI KUTOKA NJE,MAGAIDI nk nk,na bado miili ya ndugu zetu hawataki kuirudisha ili tuwape HESHIMA ya mwisho

Endapo sasa tutaamua kurudi nyuma,endapo sasa tutamua kurudhiana na watesi wetu hawa,Utakuwa USALITI wa kiasi gani kwa wote walipoteza maisha yao,walioumizwa na wale wote ambao mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi kutokana na kadhia hii?

MAUMIVU haya hayawezi kuisha pasipo USHINDI, na ushindi kwetu ni LAZIMA pasi na shaka YOYOTE ile TUTASHINDA tu

WITO wetu mkubwa ni kwa WaTanzia wote mlio huko nje ya Nchi kufanya vyovyote mnawvyoweza kufanikisha SILAHA za kutosha zinatufika tuliopo MSTARI WA MBELE

Kutoka upande wao hii ni VITA,kwa nini sisi bado tunajivuta vuta?

MSIOGOPE kwa maana siku zote KILIO HUENDA KWA MASHUJAA
 
Kabisa, mwananchi yeyote atake asitake maisha yake yapo rehani. Kilichobaki ni kila mtu kujihami.
Wenzao hawaamini katika maandamano ila vita, raia wanaenda kwa amani kama kondoo kitu ambacho sio kweli bora wabaki wasiandamane.
 
Chauma
ACT
Kunje
Doyo
Maridhiano
Wengine hawa kama ambavyo polisi wameona kuwa ni watuhumiwa wa
Uhaini
Ugaidi
 
Waridhiane kwanza na walio wapiga risasi za kichwa na kifuani wananchi wasio kua na silaha.
 
Maridhiano ndio ujinga gani?
Yani mniulie mtoto, mke au mume,wazazi then simple tu TURIDHINE?!!
We kuweza?

Halafu mbona vyama vingine havina shida si mmeshinda kwa asilimia 98? Hebu tuendelee kuishi hivi hivi.

Kwanini amani yetu inawatesa?
Sisi tumekubali hamjiamini uko maofisini au?
 
Maridhiano wanafanya na nani? Maandamano yalikuwa ya raia wala si ya chama chochote. Ndo maana waliokufa wengine ni CCM etc
 
Mnipige risasi ya mguu Leo mnaleta ngonjera za maridhiano?
 
Mungu jaalia atokee mwenye access hata na pistol tu azimwage kama 5000 kwa raia azigawe sehemu tofauti kwa raia au mwenye ujuzi atufundishe kutengeneza mabomu ya kienyeji ya kurusha ..Mioyo Yetu ina Maumivu sana
kuna watu tunawadai
 
Back
Top Bottom