Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Maccm mkae mkijuwa Sugu ni rafiki wa Balozi wa Marekani Tanzania.Wakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru.
Polisi masikini mwenye mshahara duni anampiga Bilionea mwenye koneksheni ya Dunia bila sababu yoyote, kisa katumwa na ccm! Hakika hii Nchi yapo yanayokuja ambayo hakuna atakayeyazuia
View attachment 3068702
Duuuu jogwe kazechezea kipondo na watoto wadogoWakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru.
Polisi masikini mwenye mshahara duni anampiga Bilionea mwenye koneksheni ya Dunia bila sababu yoyote, kisa katumwa na ccm! Hakika hii Nchi yapo yanayokuja ambayo hakuna atakayeyazuia
View attachment 3068702
Kila ubaya utalipwaDuuuu jogwe kazechezea kipondo na watoto wadogo
Kicheko chake ni cha muda mfupi sanaNaona alipo tumbili Peter Msigwa anafurahia sana.
Masihara hayo Mzee Tyson4R inawakilisha nini? Nijuzwe tafadhali.
Lazima wengi wameuliwa na kutupwa hifadhi ya KataviKhaaaaah, kama Sugu kapewa kichapo Sugu tu hao wanachama wengine tutawaona kweli eeeenh
usiondoke jfPicha jinsi alivyopigwa?