Ismoo
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,101
- 1,573
Polisi Tz wangeli simama kama polisi halafu CCM isimame kama CCM then Chadema pia isimame kama Chadema hapo tungelishuhudia siasa zakweli na ushidani ungelikua mkubwa mnoo nchi ingelikua na maendeleo pia kutokana na ukiwa madarakani ukiharibu ujue msimu wa uchaguzi haurudi tena kuwa kiongozi. Kama nchi tungelipiga hatua.