Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Ushahidi wa kupigwa na kuumizwa yeye uko wapi ?!!!Wakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru.
Polisi masikini mwenye mshahara duni anampiga Bilionea mwenye koneksheni ya Dunia bila sababu yoyote, kisa katumwa na ccm! Hakika hii Nchi yapo yanayokuja ambayo hakuna atakayeyazuia
Pia soma=> Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA
Msemaji ni wewe...
Muaminishaji ni wewe...
Mtendaji ni wewe....
Hakimu ni wewe....
Uzwazwa huu