huyo Raila aliungana na uhuru Kenyata mwenyewe dollar wakanyoroshwa na Ruto asubuh mapema kweupe, semblance RigyG anaekubalika kidogo sana huko nyeri alikowahi kua mbunge?π€£Aaah hayupo mbona maandamano tu yamemtoa kwenye reli? Odinga akiungana na Gachagua mechi imeisha asubuhi kabisa. Wakikuyu ndio walimpa kura nyingi Ruto, zikigawanyika ni advantage kwa upinzani 2027.
Hawakunyooshwa, waliachama kura laki 3 pekee kati ya kura million 14!! Na ni sababu ya kura za Bungoma kwenda kwa Wetangula. Hilo pekee na hiyo laki 3 can easily be taken by Gachagua.huyo Raila aliungana na uhuru Kenyata mwenyewe dollar wakanyoroshwa na Ruto asubuh mapema kweupe, semblance RigyG anaekubalika kidogo sana huko nyeri alikowahi kua mbunge?π€£
kwamba RigyG anaeweza kupata kura laki3? hata nyeri tu kwenye county yake hapati yule π€£Hawakunyooshwa, waliachama kura laki 3 pekee kati ya kura million 14!! Na ni sababu ya kura za Bungoma kwenda kwa Wetangula. Hilo pekee na hiyo laki 3 can easily be taken by Gachagua.
kutambua haki ni jambo moja na viongozi kuziheshimu haki ni jambo jingine wameweza kwakua hata polisi wao sio chawa wa serikali wanasimamia kazi na majukumu yao wakijua hata watoto wao watateseka wakijidai kuwa chawa wa raisi kama manjagu wa bongo......inamaana wewe hutambui haki zako kweli? kwan wao waweze wana nini na wengine washindwe wana nini ?π
sasa gentleman,kutambua haki ni jambo moja na viongozi kuziheshimu haki ni jambo jingine wameweza kwakua hata polisi wao sio chawa wa serikali wanasimamia kazi na majukumu yao wakijua hata watoto wao watateseka wakijidai kuwa chawa wa raisi kama manjagu wa bongo......
ogopa sana kada inayoisaidia serikali kukaa madarakani hata kwa kuiba kura ila uchaguzi ukiisha hawakumbukwi wanakaa kwenye nyuma kama mbayuwayu zimejaa michirizi kama mapango ya pimbi
Ruto ana hulka ya kusema na kutenda sifa ambazo wakiwa wanagombea katika awamu yao ya kwanza yeye akiwa mgombea mwenza,Wewe Chawa Ruto kasalimu amri. Kavunja Baraza la mawaziri. Endelea kupiga kelele.
Master Plan.Point of correction, Mfalme wa Siasa za Kenya ni BABA, ndio maana Ruto kafanya juu chini kumsogeza + kusaini hii sheria mpya ya Tume ya Uchaguzi