Baada ya kuwatuliza Gen Z, mfalme wa siasa za Kenya Dr. William Ruto aanza tena siasa za majukwaani na ni dhahiri atashinda tena Urais 2027

Baada ya kuwatuliza Gen Z, mfalme wa siasa za Kenya Dr. William Ruto aanza tena siasa za majukwaani na ni dhahiri atashinda tena Urais 2027

Aaah hayupo mbona maandamano tu yamemtoa kwenye reli? Odinga akiungana na Gachagua mechi imeisha asubuhi kabisa. Wakikuyu ndio walimpa kura nyingi Ruto, zikigawanyika ni advantage kwa upinzani 2027.
huyo Raila aliungana na uhuru Kenyata mwenyewe dollar wakanyoroshwa na Ruto asubuh mapema kweupe, semblance RigyG anaekubalika kidogo sana huko nyeri alikowahi kua mbunge?🤣
 
huyo Raila aliungana na uhuru Kenyata mwenyewe dollar wakanyoroshwa na Ruto asubuh mapema kweupe, semblance RigyG anaekubalika kidogo sana huko nyeri alikowahi kua mbunge?🤣
Hawakunyooshwa, waliachama kura laki 3 pekee kati ya kura million 14!! Na ni sababu ya kura za Bungoma kwenda kwa Wetangula. Hilo pekee na hiyo laki 3 can easily be taken by Gachagua.
 
Hawakunyooshwa, waliachama kura laki 3 pekee kati ya kura million 14!! Na ni sababu ya kura za Bungoma kwenda kwa Wetangula. Hilo pekee na hiyo laki 3 can easily be taken by Gachagua.
kwamba RigyG anaeweza kupata kura laki3? hata nyeri tu kwenye county yake hapati yule 🤣

unazungumzia kwamba RigyG anaweza kupata kuungwa mkono huko nje ni kwasababu yuko ndani ya serikali na Ruto, akiwa nje pekeyake ndio utakua mwisho wa siasa zake za ukabila, hakuna ataambatana na mtu hata kwa kumtazama tu, unaona kabisaa mtagombana dakika chache zijazo 🐒

by the way,
utofauti wa kura laki3 ni gape kumbwa mno na ni ishara umeshindwa pia..

msigwa alishindwa kwa tofauti ya kura 4 tu na sugu huko Nyasa alipiga mayowe kama yote. Lakini ndio ameshashindwa hivyo hakuna namna 🤣
 
inamaana wewe hutambui haki zako kweli? kwan wao waweze wana nini na wengine washindwe wana nini ?🐒
kutambua haki ni jambo moja na viongozi kuziheshimu haki ni jambo jingine wameweza kwakua hata polisi wao sio chawa wa serikali wanasimamia kazi na majukumu yao wakijua hata watoto wao watateseka wakijidai kuwa chawa wa raisi kama manjagu wa bongo......

ogopa sana kada inayoisaidia serikali kukaa madarakani hata kwa kuiba kura ila uchaguzi ukiisha hawakumbukwi wanakaa kwenye nyuma kama mbayuwayu zimejaa michirizi kama mapango ya pimbi
 
sasa gentleman,
unachotaka kusema ni kwamba kuna mkwamo mahali unao kwamisha wewe kupata mahitaji yako ya msingi, right?

nchini kuna makundi mbalimbali muhimu sana, yenye nguvu na ushawishi kwa kumma na kwa serikali,

unadhani ni kundi lipi ambalo haliwajibiki vya kutosha katika kubadili hali ya kisasa, kijamii na kiuchumi inayokuudhi wew na wengine?🐒
 
Wewe Chawa Ruto kasalimu amri. Kavunja Baraza la mawaziri. Endelea kupiga kelele.
Ruto ana hulka ya kusema na kutenda sifa ambazo wakiwa wanagombea katika awamu yao ya kwanza yeye akiwa mgombea mwenza,
Uhuru Kenyatta alitamka wazi na kuuthibitishia umma wa wa Kenya hadharini, kwamba Ruto ni mtu wa kusema na kutenda, na ndicho anachokifanya sasa hivi 🐒

ni mwana siasa kiongozi dhaifu pekee, ndie anaweza kusalimu amri kwa vibaka, majambazi, waporaji, wanyang'anyi na waharibifu wa mali za umma na miundombinu waliogawanyika na kupoteza lengo, dira na uelekeo kama gen z wa Kenya, bure kabisaa 🐒

ndio maana Ruto mwenye bidii , ujasiri na kujiamini sana, amejiandaa vizuri sana kuwakabili na kuwdhibiti wahalifu wote Kenya kisayansi,

na kwa utulivu amewaleza wazi Gen Zs, kama wanataka Rais mwingine wasubiri Uchaguzi 2027, vinginevyo hivi sasa wanajihangaisha tu na Ruto must go 🤣
 
Back
Top Bottom