Wewe Chawa Ruto kasalimu amri. Kavunja Baraza la mawaziri. Endelea kupiga kelele.
Ruto ana hulka ya kusema na kutenda sifa ambazo wakiwa wanagombea katika awamu yao ya kwanza yeye akiwa mgombea mwenza,
Uhuru Kenyatta alitamka wazi na kuuthibitishia umma wa wa Kenya hadharini, kwamba Ruto ni mtu wa kusema na kutenda, na ndicho anachokifanya sasa hivi 🐒
ni mwana siasa kiongozi dhaifu pekee, ndie anaweza kusalimu amri kwa vibaka, majambazi, waporaji, wanyang'anyi na waharibifu wa mali za umma na miundombinu waliogawanyika na kupoteza lengo, dira na uelekeo kama gen z wa Kenya, bure kabisaa 🐒
ndio maana Ruto mwenye bidii , ujasiri na kujiamini sana, amejiandaa vizuri sana kuwakabili na kuwdhibiti wahalifu wote Kenya kisayansi,
na kwa utulivu amewaleza wazi Gen Zs, kama wanataka Rais mwingine wasubiri Uchaguzi 2027, vinginevyo hivi sasa wanajihangaisha tu na Ruto must go 🤣