Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.
Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa
.
Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.
Leo kwa mara ya kwanza baada ya miezi kukata amejitokeza bungeni kuchangia, alimuuliza Majaliwa kuhusu uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala kutokana na ongezekeo la watu kwenye mitaa, vitongoji na vijiji.
Roporopo amerudi au ataendelea kuwa shimoni mpaka 2025?
View attachment 3139740
Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.
Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa

.Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.