Baada ya kuzamia shimoni tangu atenguliwe, Nape Nnauye atinga Bungeni

Baada ya kuzamia shimoni tangu atenguliwe, Nape Nnauye atinga Bungeni

Ukisema Napę (poyoyo kisiasa) ninaweza kuwa na hoja za ku-justify, ni kiongozi wa kuunga-unga lakini uwezo wake ni mdogo, sawa na Mwigulu na Makamba (in my-books).

Lakini kuongelea DNA yake wakati mzee Nnauye mwenyewe hawajawahi kuomba partenity test ya mtoto wake maana muhusika hakuwa na shaka (hapo hata sijui nikusaidie vipi) wewe unaefikiria tofauti na baba mtu.

Usishinde sana chit-chat au kwenye jukwaa la mapenzi. Hakuna mwanaume rijali anaweza shinda siku nzima anaongea na wanawake ndio kunako mada zenye majibizano kama haya (uwezi kumpa, baba mtoto wa mtu; kiuanaume kama muhusika hana mashaka).

Kuna mambo watoto wakiume awaongelei (tafuta hotuba ya Kabudi) akiongelea haya mambo.
Ngoja nikanywe Tangawizi 😀😀😀😀😀😀😀:ClapHD::ClapHD::ClapHD::ClapHD::ClapHD::ClapHD:
 
Kwamba alikuwa haingii Bungeni ? Hivi kuingia Bungeni ni Uamuzi au ni Wajibu, yaani ni Lazima uingie utake usitake so long as ni Kodi zetu ndio zinakulisha na haukulazimishwa kugombea....
Pale ni kama chuoni hakuna anayekulazimisha kuingia darasani
 
Wakuu,

Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.

Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa:pepeLaughing::pepeLaughing:.

Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.

Leo kwa mara ya kwanza baada ya miezi kukata amejitokeza bungeni kuchangia, alimuuliza Majaliwa kuhusu uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala kutokana na ongezekeo la watu kwenye mitaa, vitongoji na vijiji.

Roporopo amerudi au ataendelea kuwa shimoni mpaka 2025?

View attachment 3139740
View attachment 3139752
Alienda kuwaandaa wasimamizi wa uchaguz Kwa ajili ya goli la mkono
 
Kabs
Kiukweli chadema hawana hoja, wameishiwa.
AA eti wanasema alienda kuandaa wasimamiz wa uchaguz maana alisema matokeo yanategemea Nan anasimamia na sio Nan kashnda!! Machadema aisee ,,kwani hawajui ni mzee wa goli la mkono dakika za jioniiiiiiiiiiiiii??
 
Kumbe kubwa jinga lipo.?

Anaongea kwa nidhamu saa hizi.
 
Wakuu,

Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.

Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa:pepeLaughing::pepeLaughing:.

Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.

Leo kwa mara ya kwanza baada ya miezi kukata amejitokeza bungeni kuchangia, alimuuliza Majaliwa kuhusu uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala kutokana na ongezekeo la watu kwenye mitaa, vitongoji na vijiji.

Roporopo amerudi au ataendelea kuwa shimoni mpaka 2025?

View attachment 3139740
View attachment 3139752
Bado miezi kumi na tano jimbo analitaka lazima atoke hata kama ana harufu ya choo!
 
Hata maji yakiwekwa kwenye glass huwa yanatikisika kwanza halafu yanatulia...
 
Mitazamo kama hii sababu zake ni mapishano ya uelewa tuu kwenye tofauti ya watu waliokuzwa na CCM; na shida halisi iliyopo kutoka kwenye makundi yafuatayo (Civil servants, baadhi ya wafanyabiashara na wahuni waliokubuhu ndani ya CCM).

Watu waliolelewa na CCM kama Napę (pamoja na upoyoyo wake) wanaelewa uongozi hasa nafasi za uwaziri ni kofia ya kuazima tu muda wowote unaweza nyan’ganywa. Kama ni serikali ya kupiga na wewe piga kama alivyofanya (maana CCM aifundishi uzalendo kwenye malezi yao, hilo ni swala la personal ethics).

Kutolewa kwake uwaziri Nape hilo ni jambo ambalo la kumkera kwa muda ila maisha yanaendelea anaelewa uwaziri sio permanent role.

Shida ni civil servants ambao hawajui maisha mengine zaidi ya deal za ufisadi serikalini, wafanyabiashara ambao wamezoea kufanya biashara na serikali tu (uhitaji kutumia akili nyingi kufanikiwa ni mbinu tu za kupata tender au kukwepa kodi). Na wanasiasa ambao wamezoea kushirikiana na haya makundi.

Hilo kundi la pili ndio hawataki mabadiliko kabisa, yaani hawa ukiwaambia Samia muhula wa pili ‘no’ unawachanganya akili kabisa. Wanataka mambo yawe hivi hivi; kwa sasa na kiongozi wao mkuu Jakaya Kikwete.

Nchi haiwezi endelea kwa kuendekeza kundi hilo la pili, things have to change. Anahitajika another version of Magufuli. Hakuna namna, sema asilete ushamba wa ukabila na kutamani mademu wa wenzake.
Ulikuwa na hoja nzito sana ila umeharibu mwishoni kwa kutamani nchi ipate tena Rais kama Jiwe
 
Back
Top Bottom