Baada ya kuzamia shimoni tangu atenguliwe, Nape Nnauye atinga Bungeni

Wakuu,

Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.

Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa:pepeLaughing::pepeLaughing:.

Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.

Leo kwa mara ya kwanza baada ya miezi kukata amejitokeza bungeni kuchangia, alimuuliza Majaliwa kuhusu uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala kutokana na ongezekeo la watu kwenye mitaa, vitongoji na vijiji.

Roporopo amerudi au ataendelea kuwa shimoni mpaka 2025?

View attachment 3139740
Ila mkuu upo vizuri kwenye matumizi ya lugha eti "BAADA YA KUPOPOLEWA"

naama anastahili lugha baada KUPOPOLEWA 🤣🤣🤣🤣
 
Wakuu,

Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.

Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa:pepeLaughing::pepeLaughing:.

Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.

Leo kwa mara ya kwanza baada ya miezi kukata amejitokeza bungeni kuchangia, alimuuliza Majaliwa kuhusu uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala kutokana na ongezekeo la watu kwenye mitaa, vitongoji na vijiji.

Roporopo amerudi au ataendelea kuwa shimoni mpaka 2025?

View attachment 3139740
Kifupi Hali yake ni mabaya sana jimboni Mtama, anakabiliwa upinzani Mkubwa toka kwa mgombea mtarajiwa wa CHADEMA, Steve Membe, ambaye kwanza wana Mtama wanataka kuwa na mbunge Native mwenyeji na anayeishi kwenye mazingira yao, sio Nape ambaye ni mgeni sio mwenyeji anatembelea jina la Mzee Moses Mnauye ambaye pia wanasema Babake halisi ni Mtu wa Mbeya na sio Mzee Mnauye.
 
Anaomba kuongezwa maeneo ya utawala!Mbona Chato walikataa kuwa mkoa wakati inastahili hivyo?huyo ni ndumila kuwili na maccm yake.
Kigezo cha chato kuwa mkoa ni nini?! Hadi useme inastahili?
 
Mitazamo kama hii sababu zake ni mapishano ya uelewa tuu kwenye tofauti ya watu waliokuzwa na CCM; na shida halisi iliyopo kutoka kwenye makundi yafuatayo (Civil servants, baadhi ya wafanyabiashara na wahuni waliokubuhu ndani ya CCM).

Watu waliolelewa na CCM kama Napę (pamoja na upoyoyo wake) wanaelewa uongozi hasa nafasi za uwaziri ni kofia ya kuazima tu muda wowote unaweza nyan’ganywa. Kama ni serikali ya kupiga na wewe piga kama alivyofanya (maana CCM aifundishi uzalendo kwenye malezi yao, hilo ni swala la personal ethics).

Kutolewa kwake uwaziri Nape hilo ni jambo ambalo la kumkera kwa muda ila maisha yanaendelea anaelewa uwaziri sio permanent role.

Shida ni civil servants ambao hawajui maisha mengine zaidi ya deal za ufisadi serikalini, wafanyabiashara ambao wamezoea kufanya biashara na serikali tu (uhitaji kutumia akili nyingi kufanikiwa ni mbinu tu za kupata tender au kukwepa kodi). Na wanasiasa ambao wamezoea kushirikiana na haya makundi.

Hilo kundi la pili ndio hawataki mabadiliko kabisa, yaani hawa ukiwaambia Samia muhula wa pili ‘no’ unawachanganya akili kabisa. Wanataka mambo yawe hivi hivi; kwa sasa na kiongozi wao mkuu Jakaya Kikwete.

Nchi haiwezi endelea kwa kuendekeza kundi hilo la pili, things have to change. Anahitajika another version of Magufuli. Hakuna namna, sema asilete ushamba wa ukabila na kutamani mademu wa wenzake.
 
Hivi spika aliyekosa sana Ndugai bado anaingia bungeni au yupo mafichoni?
 
Wakuu,

Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.

Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa:pepeLaughing::pepeLaughing:.

Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.

Leo kwa mara ya kwanza baada ya miezi kukata amejitokeza bungeni kuchangia, alimuuliza Majaliwa kuhusu uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala kutokana na ongezekeo la watu kwenye mitaa, vitongoji na vijiji.

Roporopo amerudi au ataendelea kuwa shimoni mpaka 2025?

View attachment 3139740
View attachment 3139752
Huyu ni mtoto wa Moses Nnauye lakini kibaiolojia inasemekana ni mtoto wa Prof. Mwandosya......
Afanyiwe tambiko... 🙂 🙂
 
Character assassination ambazo hazina uhusiano na nafasi ya mtu au mawazo yake huo ni wivu wa kike.

Kitanda akizai haramu, ilimradi huyo mzee Nnauye kamlea kama wake ni wake. Na kusema vinginevyo ni kumdharau mzee Nnauye sio Napę. Tuache kuwatungia watu hadithi kama hatuna hoja.

Tuheshimu familia za watu, kuna madogo zake ambao wanafaidika sana na Napę hapo halipo.
 
Wakuu,

Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.

Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa:pepeLaughing::pepeLaughing:.

Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.

Leo kwa mara ya kwanza baada ya miezi kukata amejitokeza bungeni kuchangia, alimuuliza Majaliwa kuhusu uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala kutokana na ongezekeo la watu kwenye mitaa, vitongoji na vijiji.

Roporopo amerudi au ataendelea kuwa shimoni mpaka 2025?

View attachment 3139740
View attachment 3139752
Hii inaitwa stalking
 
Character assassination ambazo hazina uhusiano na nafasi ya mtu au mawazo yake huo ni wivu wa kike.

Kitanda akizai haramu, ilimradi huyo mzee Nnauye kamlea kama wake ni wake. Na kusema vinginevyo ni kumdharau mzee Nnauye sio Napę. Tuache kuwatungia watu hadithi kama hatuna hoja.

Tuheshimu familia za watu, kuna madogo zake ambao wanafaidika sana na Napę hapo halipo.
Hivyo basi ni vyema tuhitimishe kwa TAMBIKO... 🙂
 
Kifupi Hali yake ni mabaya sana jimboni Mtama, anakabiliwa upinzani Mkubwa toka kwa mgombea mtarajiwa wa CHADEMA, Steve Membe, ambaye kwanza wana Mtama wanataka kuwa na mbunge Native mwenyeji na anayeishi kwenye mazingira yao, sio Nape ambaye ni mgeni sio mwenyeji anatembelea jina la Mzee Moses Mnauye ambaye pia wanasema Babake halisi ni Mtu wa Mbeya na sio Mzee Mnauye.
2025 lazma ateme bungo, dogo membe atakula kichwa hiko chap
 
Hivyo basi ni vyema tuhitimishe kwa TAMBIKO... 🙂
Ukisema Napę (poyoyo kisiasa) ninaweza kuwa na hoja za ku-justify, ni kiongozi wa kuunga-unga lakini uwezo wake ni mdogo, sawa na Mwigulu na Makamba (in my-books).

Lakini kuongelea DNA yake wakati mzee Nnauye mwenyewe hawajawahi kuomba partenity test ya mtoto wake maana muhusika hakuwa na shaka (hapo hata sijui nikusaidie vipi) wewe unaefikiria tofauti na baba mtu.

Usishinde sana chit-chat au kwenye jukwaa la mapenzi. Hakuna mwanaume rijali anaweza shinda siku nzima anaongea na wanawake ndio kunako mada zenye majibizano kama haya (uwezi kumpa, baba mtoto wa mtu; kiuanaume kama muhusika hana mashaka).

Kuna mambo watoto wakiume awaongelei (tafuta hotuba ya Kabudi) akiongelea haya mambo.
 
Back
Top Bottom