Atatoa rushwa na kuloga2025 ana kibarua kigumu mbeleko ya Kamilius haipo 🐼
KARMA !Time is everything….!!! Ajikwezae atashushwa..!!
Wapo huko kwao wanaujua Ulozi mpaka basi hawezi kufua dafu mbele yao !Atatoa rushwa na kuloga
Safari hii hakwenda kufanya Yale matambiko alifanya kabla ya kutembea juu ya makalio ya akina mama wamelala sakafuni. Ilikua ni maajabuWapo huko kwao wanaujua Ulozi mpaka basi hawezi kufua dafu mbele yao !
Nao wanautaka Ubunge !
Anaomba kuongezwa maeneo ya utawala!Mbona Chato walikataa kuwa mkoa wakati inastahili hivyo?huyo ni ndumila kuwili na maccm yake.Wakuu,
Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.
Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa.
Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.
Leo kwa mara ya kwanza baada ya miezi kukata amejitokeza bungeni kuchangia, alimuuliza Majaliwa kuhusu uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala kutokana na ongezekeo la watu kwenye mitaa, vitongoji na vijiji.
Roporopo amerudi au ataendelea kuwa shimoni mpaka 2025?
View attachment 3139740
Goli la mkono ingekuwa ni nchi nyingine sio Hawa maccm angeshtakiwa!Huyu hana akili
Haendi kugombea kuleAtatoa rushwa na kuloga
Mngetumia majeshi yote ya nchi hii kupambana nayo? Watu wanakimbia ofisi ili Chadema wasirudishe form unafikiri mchezo, Chadema haijawahi kupoa.Kiukweli chadema hawana hoja, wameishiwa.