Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 2,468
- 2,905
Ila mkuu upo vizuri kwenye matumizi ya lugha eti "BAADA YA KUPOPOLEWA"Wakuu,
Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.
Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa.
Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.
Leo kwa mara ya kwanza baada ya miezi kukata amejitokeza bungeni kuchangia, alimuuliza Majaliwa kuhusu uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala kutokana na ongezekeo la watu kwenye mitaa, vitongoji na vijiji.
Roporopo amerudi au ataendelea kuwa shimoni mpaka 2025?
View attachment 3139740
Kifupi Hali yake ni mabaya sana jimboni Mtama, anakabiliwa upinzani Mkubwa toka kwa mgombea mtarajiwa wa CHADEMA, Steve Membe, ambaye kwanza wana Mtama wanataka kuwa na mbunge Native mwenyeji na anayeishi kwenye mazingira yao, sio Nape ambaye ni mgeni sio mwenyeji anatembelea jina la Mzee Moses Mnauye ambaye pia wanasema Babake halisi ni Mtu wa Mbeya na sio Mzee Mnauye.Wakuu,
Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.
Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa.
Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.
Leo kwa mara ya kwanza baada ya miezi kukata amejitokeza bungeni kuchangia, alimuuliza Majaliwa kuhusu uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala kutokana na ongezekeo la watu kwenye mitaa, vitongoji na vijiji.
Roporopo amerudi au ataendelea kuwa shimoni mpaka 2025?
View attachment 3139740
Kigezo cha chato kuwa mkoa ni nini?! Hadi useme inastahili?Anaomba kuongezwa maeneo ya utawala!Mbona Chato walikataa kuwa mkoa wakati inastahili hivyo?huyo ni ndumila kuwili na maccm yake.
Ndiyo mchezo waoGoli la mkono ingekuwa ni nchi nyingine sio Hawa maccm angeshtakiwa!
Kupe unaumia ukiwa wapi?😹😹Angekaa muda mwingi kwenye madaraka bado mngesema kwa nn haondolewi - mna roho za kishetani kbs
wanasahau AMEWAZIDI kila kituAngekaa muda mwingi kwenye madaraka bado mngesema kwa nn haondolewi - mna roho za kishetani kbs
Huyu ni mtoto wa Moses Nnauye lakini kibaiolojia inasemekana ni mtoto wa Prof. Mwandosya......Wakuu,
Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.
Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa.
Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.
Leo kwa mara ya kwanza baada ya miezi kukata amejitokeza bungeni kuchangia, alimuuliza Majaliwa kuhusu uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala kutokana na ongezekeo la watu kwenye mitaa, vitongoji na vijiji.
Roporopo amerudi au ataendelea kuwa shimoni mpaka 2025?
View attachment 3139740
View attachment 3139752
Character assassination ambazo hazina uhusiano na nafasi ya mtu au mawazo yake huo ni wivu wa kike.Huyu ni mtoto wa Moses Nnauye lakini kibaiolojia inasemekana ni mtoto wa Prof. Mwandosya......
Afanyiwe tambiko... 🙂 🙂
Hii inaitwa stalkingWakuu,
Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.
Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia mtandaoni, haikuwa kawaida. Ni kama vile alienda kujificha kwa aibu badala ya kupopolewa.
Itakuwa alikuwa anaogopa kuulizwa kama CCM ndio wale aliwasema wapo nyuma ya mabox ya kura.
Leo kwa mara ya kwanza baada ya miezi kukata amejitokeza bungeni kuchangia, alimuuliza Majaliwa kuhusu uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala kutokana na ongezekeo la watu kwenye mitaa, vitongoji na vijiji.
Roporopo amerudi au ataendelea kuwa shimoni mpaka 2025?
View attachment 3139740
View attachment 3139752
Hivyo basi ni vyema tuhitimishe kwa TAMBIKO... 🙂Character assassination ambazo hazina uhusiano na nafasi ya mtu au mawazo yake huo ni wivu wa kike.
Kitanda akizai haramu, ilimradi huyo mzee Nnauye kamlea kama wake ni wake. Na kusema vinginevyo ni kumdharau mzee Nnauye sio Napę. Tuache kuwatungia watu hadithi kama hatuna hoja.
Tuheshimu familia za watu, kuna madogo zake ambao wanafaidika sana na Napę hapo halipo.
2025 lazma ateme bungo, dogo membe atakula kichwa hiko chapKifupi Hali yake ni mabaya sana jimboni Mtama, anakabiliwa upinzani Mkubwa toka kwa mgombea mtarajiwa wa CHADEMA, Steve Membe, ambaye kwanza wana Mtama wanataka kuwa na mbunge Native mwenyeji na anayeishi kwenye mazingira yao, sio Nape ambaye ni mgeni sio mwenyeji anatembelea jina la Mzee Moses Mnauye ambaye pia wanasema Babake halisi ni Mtu wa Mbeya na sio Mzee Mnauye.
😂Anatafuta cheo kipya hapo, naibu mbunge wa jimbo maana kwenye kinyang'anyiro lazma ang'oke tu.Alikua bandani muhuni katolewa Uwaziri anawaza balaa anaona hizo kazi ni za kwao tu..
Tena ni Cyberstalking .....Mkuki kwa mtamu mchungu kwa bin adam Nguru wee...Hii inaitwa stalking
Ukisema Napę (poyoyo kisiasa) ninaweza kuwa na hoja za ku-justify, ni kiongozi wa kuunga-unga lakini uwezo wake ni mdogo, sawa na Mwigulu na Makamba (in my-books).Hivyo basi ni vyema tuhitimishe kwa TAMBIKO... 🙂