Baada ya kuzamia shimoni tangu atenguliwe, Nape Nnauye atinga Bungeni

Ngoja nikanywe Tangawizi 😀😀😀😀😀😀😀
 
Kwamba alikuwa haingii Bungeni ? Hivi kuingia Bungeni ni Uamuzi au ni Wajibu, yaani ni Lazima uingie utake usitake so long as ni Kodi zetu ndio zinakulisha na haukulazimishwa kugombea....
Pale ni kama chuoni hakuna anayekulazimisha kuingia darasani
 
Alienda kuwaandaa wasimamizi wa uchaguz Kwa ajili ya goli la mkono
 
Kabs
Kiukweli chadema hawana hoja, wameishiwa.
AA eti wanasema alienda kuandaa wasimamiz wa uchaguz maana alisema matokeo yanategemea Nan anasimamia na sio Nan kashnda!! Machadema aisee ,,kwani hawajui ni mzee wa goli la mkono dakika za jioniiiiiiiiiiiiii??
 
Kumbe kubwa jinga lipo.?

Anaongea kwa nidhamu saa hizi.
 
Bado miezi kumi na tano jimbo analitaka lazima atoke hata kama ana harufu ya choo!
 
Hata maji yakiwekwa kwenye glass huwa yanatikisika kwanza halafu yanatulia...
 
Ulikuwa na hoja nzito sana ila umeharibu mwishoni kwa kutamani nchi ipate tena Rais kama Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…