REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Ni ndege kubwa kuliko zote kumilikiwa na KLM katika Fleet yake na baada tu ya juzi kuzinduliwa na kiongozi wa Netherlands Mark Rutte, Tanzania imekua ni Nchi ya kwanza ndege hii kubwa kutua na itakua ikifanya safari za kila siku kutua Kilimanjaro
Tanzania ni nchi ya 4 katika masoko Makubwa duniani ya biashara ya KLM, itakua ikileta watalii zaidi ya 350 kila siku kwenye uwanja wa Kilimanjaro
VivaTanzania
Viva JPM
Tanzania ni nchi ya 4 katika masoko Makubwa duniani ya biashara ya KLM, itakua ikileta watalii zaidi ya 350 kila siku kwenye uwanja wa Kilimanjaro
VivaTanzania
Viva JPM