Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Ha...ha...haaaaaa umenimaliza"Watu kama ninyi ndio mnaosababisha bangi ionekane mbaya".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha...ha...haaaaaa umenimaliza"Watu kama ninyi ndio mnaosababisha bangi ionekane mbaya".
KLM inatua mwaka mzima all year around na si seasonal as a matter of fact was the first European airline to ply KIA!Acheni hshabjki wa kijinga basi. Huu ni msimu wa utalii (high season) KLM inatuaga na watalii wengi miaka yote na msimu ukiisha haiendi tena KIA. Baada ya high season mtabaki na Qatar, Condor, ET, KQ, PW na lile janga let ATCL.
KLM haitui Mombasa as a matter of fact katika EA it is only in Tanzania KLM lands at two airports!Hizo zote mbwembwe uchwara tu bro.
Siku zote KLM inayotua KIA inanzia Mombasa inakuja KIA na kumalizia DAR. tofauti ni ipi?
Au mnataka kutuaminisha kua serikali ya awamu ya tano kwa utendaji kazi wake imeishawishi KLM kuleta ndege kubwa right?
The translation of the initial announcement has said that the seats have a ‘fish leg’ (We believe it might mean fin) design that allows all passengers access to the aisle.“Japanese aircraft designer Jamco has designed the new seat called “Venture”.The seat has a lower weight than previous models, thus helping to reduce fuel consumption and thus the cost of the airline” – businessclass.no
Hizo zote mbwembwe uchwara tu bro.
Siku zote KLM inayotua KIA inanzia Mombasa inakuja KIA na kumalizia DAR. tofauti ni ipi?
Au mnataka kutuaminisha kua serikali ya awamu ya tano kwa utendaji kazi wake imeishawishi KLM kuleta ndege kubwa right?
Bado sijaelewa logic ya kelele zako, unashangilia KLM Kutua na watalii 352 KIA? au unashangilia direct flight ya hilo B787 DAR-amsterdam?ACHA KUWA ZEZETA nili post na video clip ya mwakilishi wa KLM eastern africa tena alikuwa akihojiwa na KBC ya kenya ilikuwa last year alitoa taarifa ya ujio wa B787-10 na alisema kabisa itakuwa ikianzia route TZ kwenda holland na baadae ndio itaanza route za kuja JKIA na kuna mdau kasema hapo ya kuwa KLM ni wajanja na ni profit oriented sio kama vishirika vyetu hivi ..nafikiri unatambua ya kuwa ni high season ktk sekta ya utalii ss juzi tu walivyo drop KIA walitema watu 352
Acha UPUUZI katafute KAMUSI alafu utafute maana ya neno KELELE !! kwan iyo ndege ni ya ATCL KLM ndio wanashangilia kuuza seat 352 from amster to kilimanjaro ... ss tunashangilia tunaingiza izo foreign currency au hujui maana ya FAIDA ?Bado sijaelewa logic ya kelele zako, unashangilia KLM Kutua na watalii 352 KIA? au unashangilia direct flight ya hilo B787 DAR-amsterdam?