Kipindi JPM anakamata serikali tu alipandisha tozo za utalii, mlipaga mayowe kweli kipindi kile kwamba watalii wanaikimbia nchi sababu ya tozo kubwa na kwamba JPM anaharibu uchumi wa nchi"Watu kama ninyi ndio mnaosababisha bangi ionekane mbaya".
pumbavu sana, mmeboresha mazingira gani ya utalii???Kipindi JPM anakamata serikali tu alipandisha tozo za utalii, mlipaga mayowe kweli kipindi kile kwamba watalii wanaikimbia nchi sababu ya tozo kubwa na kwamba JPM anaharibu uchumi wa nchi
Sasa kimefika wapi? Mbona airlines zinazidi kuleta vyombo vikubwa zaidi na kuongeza safari zaidi japo tozo hazijapunguzwa?
Hili la KLM linakuja ikiwa haijapita hata mwezi baada ya Qatar nayo kuleta dege Lao kubwa zaidi huko huko KIA
Nyinyi mtabaki tu na cinemas za kujiteka.
mpuuzi wewe, hadi amalize utawala wake hiyo ndege itatua Chato tuOna ulivyovurugwa hata bundle huna la kuangalia video fupi hivyo
hii taarifa inauhusiano gani na jukwaa la Kenya News???Ni ndege kubwa kuliko zote kumilikiwa na KLM katika Fleet yake na baada tu ya juzi kuzinduliwa na kiongozi wa Netherlands Mark Rutte, Tanzania imekua ni Nchi ya kwanza ndege hii kubwa kutua na itakua ikifanya safari za kila siku kutua Kilimanjaro
Tanzania ni nchi ya 4 katika masoko Makubwa duniani ya biashara ya KLM, itakua ikileta watalii zaidi ya 350 kila siku kwenye uwanja wa Kilimanjaro
VivaTanzania
Viva JPM
Nimemwangalia huyo DC anavyoropoka[emoji846][emoji846] utafikiri ndge ya Tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ona ulivyovurugwa hata bundle huna la kuangalia video fupi hivyo
Ona ulivyovurugwa hata bundle huna la kuangalia video fupi hivyo
Mbona inawezeka hiyo Africa kama kipindi kile Tanzanite ya tz waliokuwa wanaoongoza kwa masoko ni Kenya na IndiaSihitaji kupoteza muda kuangalia video hiyo (ulichokiandika kinatosha kwa mtu yeyote mwenye akili ya kawaida kujua kuwa ni upumbavu mtupu). Unafahamu KLM ni shirika la wapi? Routes zao muhimu duniani ni zipi? Tanzania imo kwenye hizo route?
Au unadhani mameneja wao ni sawa na Magufuli hadi watoe priority kwenye route isiyokuwa the most profitable kupeleka ndege yao kubwa kabisa?
Kujisifia upumbavu unadai "Tanzania ni nchi ya 4 katika masoko Makubwa duniani ya biashara ya KLM, itakua ikileta watalii zaidi ya 350 kila siku kwenye uwanja wa Kilimanjaro". What are you drinking?
Tanzania iwe ya 8 kwa idadi ya watalii Africa halafu iwe ya 4 soko la biashara ya KLM duniani?
Hivi Unajua KLM ina destinations ngapi Tanzania?Sihitaji kupoteza muda kuangalia video hiyo (ulichokiandika kinatosha kwa mtu yeyote mwenye akili ya kawaida kujua kuwa ni upumbavu mtupu). Unafahamu KLM ni shirika la wapi? Routes zao muhimu duniani ni zipi? Tanzania imo kwenye hizo route?
Au unadhani mameneja wao ni sawa na Magufuli hadi watoe priority kwenye route isiyokuwa the most profitable kupeleka ndege yao kubwa kabisa?
Kujisifia upumbavu unadai "Tanzania ni nchi ya 4 katika masoko Makubwa duniani ya biashara ya KLM, itakua ikileta watalii zaidi ya 350 kila siku kwenye uwanja wa Kilimanjaro". What are you drinking?
Tanzania iwe ya 8 kwa idadi ya watalii Africa halafu iwe ya 4 soko la biashara ya KLM duniani?
Hivi Unajua KLM ina destinations ngapi Tanzania?
Unajua World airlines competitiveness analysis au unatema shudu tu hapa?
Jifunzeni kutochanganya mambo ya maendeleo na siasa za nchi, hii video mlikosea kuchomekea humo mambo ya siasa, mara mnamponda Membe, mara ununuzi wa urais Dodoma, yaani hata kitu kizuri kinaishia kupondwa. Mjifunze tunavyotoa taarifa za mazuri ya Kenya, humo hatuchanganyi siasa, tunaiweka kizalendo ambapo inaishia kusifiwa na Wakenya wote wenye mitazamo tofauti ya kisiasa.
Makada wa CCM kwenye mitandao mnaharibu nchi yenu mkiona kwa macho, mnafaa mpate darasa jinsi gani ya kuunganisha nchi, hebu ona hata mpira juzi kule Misri, nilishangaa sana nchi yote mligawanyika kati, yaani mechi baina ya mataifa hufahamika kama njia ya kuwaleta wananchi wote pamoja na kuwa kimoja, lakini MaCCm mliiteka timu na kusababisha baadhi ya Watanzania kushabikia kushindwa kwa timu ya taifa, hivi kweli mumepofushwa kiasi hamuoni mnakoipeleka nchi, hamna kizuri ambacho hamkitii uchafu.
Hili la ndege mngeitangaza yenyewe kama yenyewe na kusifia nchi yenu kuwa ya kwanza kuipokea, lakini video imejaa tambo za kisiasa.
ππππ top 10 revenue-earning flights in the global ranking zina uhusiano gani na KLM as the company top scored global markets? Bro English ni tatizo kwako naona, then isolate yourself from this debate for dignity sake cause there is nosingle reference to strengthen your fact which is in Swahili, sasa hata nikikuletea proof of my point ni vipi tunaenda kuelewana?Viwanja vya ndege nchi hii vinafahamika. KLM hawaendi Songea.
Soma hapo chini (kama hujui English omba msaada) halafu tuambie Tanzania ni ya ngapi kwenye hiyo list.
This Airline Route Makes $1 Billion Annually
The list of the world's top-earning flights might surprise you.www.forbes.com