Baada ya kuzinduliwa na Mark Rutte Dutch PM yatua KIA for the first time.

Jubilee ndio mnaharibu nchi yenu, ccm inawafundisha jubilee.
 
wacha ujinga wamesema fourth route to KLM and not worldwide!

Mjinga ni yule alieleta hiyo "maada". It is clearly written in the post "duniani". Na attempt yako ya kumuokoa mlumumba mwenzio ndio imekoroga zaidi. Huwezi kuongeza idadi ya flights halafu ukadai kuwa umeongeza route.
Well; labda uniambie kuwa sasa KLM wanaanza safari za Chato direct kutoka Schiphol hiyo itakuwa route mpya (Ila sio kuongeza flights zao za Dar kupitia KIA na kisha kuelekea Amsterdam).
 
sema ilo li mkuu wa wilaya limechapia eti BOMBADIER 787-10 wakati ni B787-10 ambayo za chini chini ATCL pia wame order that kind of plane tunaisubiria YETU ....
 
hili dege naona hapa route zake sio za kipuuzi puuzi yaani dubenga to amster, amster to kia, kia to dsm, dsm to amster .....
 

Wewe kweli ni zuzu. Kuna biashara bila earnings? Hizo top earnings routes KLM wanakwenda. Sasa wewe utuambie Tanzania inakuaje ya 4 kwenye biashara za KLM.
 
Acheni hshabjki wa kijinga basi. Huu ni msimu wa utalii (high season) KLM inatuaga na watalii wengi miaka yote na msimu ukiisha haiendi tena KIA. Baada ya high season mtabaki na Qatar, Condor, ET, KQ, PW na lile janga let ATCL.
 
Wewe kweli ni zuzu. Kuna biashara bila earnings? Hizo top earnings routes KLM wanakwenda. Sasa wewe utuambie Tanzania inakuaje ya 4 kwenye biashara za KLM.
Kama hela ya bundle huna si uzungushe bakuli humu tukununulie hata ya mwaka? Sina muda na wewe ila ukweli ndio huo ikikuuma sana jilipue.
 
90% ya Tanzania ni CCM, sasa huo mgawanyiko unatoka wapi? Hawa wapiga mayowe wa mitandaoni hata kumuingiza Mwenyekiti wa mtaa madarakani hawatoshi.
 

MK254,
Umeongea ukweli kabisa, wahusika lazima watakuwa wamekusoma.

2 Jul 2019
KLM 787-10 DREAMLINER to Kilimanjaro
This is the first comercial flight of the brandnew KLM Boeing 787-10 KL 571 Amsterdam Schiphol airport Netherlands to Kilimanjaro international airport Tanzania
 
KLM 100 years
30 Jun 2019
First Arrival of the KLM Boeing 787-10 with the KLM 100 years sticker. The registration is PH-BKA and the plane is named 'Oranje Bloesem'. The delivery was delayed by one day. KLM has ordered 9 787-10. There was a watersalute too, but the wind was to strong for the watersalute on the rightside of the plane. Filmed on: 30-6-2019.
 
Haha hapo kweli kabisa hilo soko Tzed haliwezi fikia masoko ya KLM kwenda India, South Africa ,Arabia ,Uturuki ,Australia ,Indonesia na kadhalika . Hapo ni kabla niweke soko za bara zima la Uropa ,Marekani ,Canada ,Japan na America kusini.
 
Hapa mmejaribu
 
Kama hela ya bundle huna si uzungushe bakuli humu tukununulie hata ya mwaka? Sina muda na wewe ila ukweli ndio huo ikikuuma sana jilipue.

Wewe unaishi kwa kumsifia jiwe. Mimi nalipa watu mishahara, na 90% ya kazi zetu ni online. SIHITAJI kupoteza muda wangu kuangalia video zilizotengenezwa na mburula.
Hata kuongopa (japo kwa kutunga uongo unaoweza kukaribiana na ukweli) hamuwezi. Hivi nyie ccm hamuoni aibu kuongopa? Karne hii utamdanganya nani zaidi ya bibi yako alie Ishinabulandi? Hapa kuna watu waelewa na wenye exposure kuliko nyie waimba mapambio.

Endeleeni kujidanganya eti nyie ni wa 4 kwa KLM kibiashara. KLM my foot! Labda KLM ya Chato ya kuruka kwa ungo mkiwa uchi.
 
Ongeza volume kaka Ongezaa….haya majibwa ya CCM wanaomaliza nchi watoke jukwaani
 
Mkuu una uchungu sana na Tanzania zaidi ya kenge kibao wa humu Tanzania!

Nakukubali san mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…