Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
katika moja ya mikutano yake kanda ya ziwa, rais anayeondoka madarakani bwana jakaya kikwete alijikuta katika hali ngumu baada ya kuzomewa na wananchi pale alipotoa ahadi iliyotafsirika kama upupu kwa watanzania.
Katika kulinda hadhi yake na pengine kutapatapa, bwana jk alisikika akisema:
"oktoba 31 kapigeni kura. Mchagueni yoyote munayemtaka. Ccm itashinda kwa kishindo"
wakati akiendelea kutetemeka jukwaani kwa kuaibishwa, baadhi ya wananchi walikuwa wakiondoka kwenda kutafuta 'mkate' kwa ajili ya familia zao.
chanzo cha habari yako ni nini? Kama huna source huna haki ya kuandika!!! Kama wewe ni msomi utanielewa lakini kama wewe ni mfurukutwa au vinginevyoo ruksa!!!
Katika moja ya Mikutano yake kanda ya Ziwa, Rais anayeondoka madarakani Bwana Jakaya Kikwete alijikuta katika hali ngumu baada ya kuzomewa na wananchi pale alipotoa ahadi iliyotafsirika kama upupu kwa Watanzania.
Katika kulinda hadhi yake na pengine kutapatapa, Bwana JK alisikika akisema:
"Oktoba 31 kapigeni kura. Mchagueni yoyote munayemtaka. CCM itashinda kwa kishindo"
Wakati akiendelea kutetemeka jukwaani kwa kuaibishwa, baadhi ya Wananchi walikuwa wakiondoka kwenda kutafuta 'mkate' kwa ajili ya familia zao.
chanzo cha habari yako ni nini? Kama huna source huna haki ya kuandika!!! Kama wewe ni msomi utanielewa lakini kama wewe ni mfurukutwa au vinginevyoo ruksa!!!
prepare your gun or spear cause the results will not be on your favor.(Katika kulinda hadhi yake na pengine kutapatapa, Bwana JK alisikika akisema:
"Oktoba 31 kapigeni kura. Mchagueni yoyote munayemtaka. CCM itashinda kwa kishindo" )
Mungu wangu tumeshaibiwa!!!! Tunusuru na wizi huu ewe muumba wa mbingu na ardhi
Mhh hawa watasuswa !
Katika moja ya Mikutano yake kanda ya Ziwa, Rais anayeondoka madarakani Bwana Jakaya Kikwete alijikuta katika hali ngumu baada ya kuzomewa na wananchi pale alipotoa ahadi iliyotafsirika kama upupu kwa Watanzania.
Katika kulinda hadhi yake na pengine kutapatapa, Bwana JK alisikika akisema:
"Oktoba 31 kapigeni kura. Mchagueni yoyote munayemtaka. CCM itashinda kwa kishindo"
Wakati akiendelea kutetemeka jukwaani kwa kuaibishwa, baadhi ya Wananchi walikuwa wakiondoka kwenda kutafuta 'mkate' kwa ajili ya familia zao.
Karibu sana jukwaani TANZANIA KWANZA. Source ni taarifa ya habari ya jana saa mbili usiku ITV.chanzo cha habari yako ni nini? Kama huna source huna haki ya kuandika!!! Kama wewe ni msomi utanielewa lakini kama wewe ni mfurukutwa au vinginevyoo ruksa!!!
chanzo cha habari yako ni nini? Kama huna source huna haki ya kuandika!!! Kama wewe ni msomi utanielewa lakini kama wewe ni mfurukutwa au vinginevyoo ruksa!!!
Habari ni nzuri lakini mbona iko nusu nusu? Sema mkutano ulikuwa sehemu fulani tarehe furahi... hofu ya nini...
Chanzo ni Kikwete mwenyewe.....muulize