Elections 2010 Baada ya Kuzomewa Kikwete apanda Hasira; Atamka Atashinda kwa Kishindo

Elections 2010 Baada ya Kuzomewa Kikwete apanda Hasira; Atamka Atashinda kwa Kishindo

Kila mahali anapata somo ...............ameipata amechezea watz amewalinda mafisadi.;...........alafu anataka ushindi wa lazima,,,thubutuuuuuu
 
Nasikia uchungu mkubwa once i see matukio haya, hukumu ya wananchi ni kubwa kushinda everything, nani PIGA KURA YA MABADILIKO, vote for CHANNGE not for
CHENGE and alike. kwisha 31 OCT DR new President





lakini jana aliongeza kuwa "wachache wape?!":mad2:
So mwaka huu hata mkimchagua Slaa, CCM watapata kura chache lakini ndio wanataka watangazwe. Mwenyewe anajua kuwa hawezi kushinda.

Kwa wageni wengi ambao wamejiunga JF wiki hii ambao ni wengi, jueni kuwa Watanzania wako tayari kufanya mabadiliko. Ninyi msibaki nyuma.

Mafanikio ya Jk haya hapa chini kwa wageni ambao hawamjui





CHAGUO LA MUNGU: "Mafanikio" ya Kikwete 2005-2010 Katika Picha.


1689bp1.jpg



UBISHI TUUU: HUU UTITIRI WA MASHANGINGI SIO UTHIBITISHO WA MAISHA BORA?SASA HIYO NI AWAMU YA KWANZA.AWAMU IJAYO NI BAJAJ KWA WAJAWAZITO NCHI NZIMA




Maji+1%5B1%5D.jpg



MAJI BWERERE




MAISHA+BORA.jpg



MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YAMEWEZEKANA




HURUMA.jpg



USHAHIDI WA MAISHA BORA UNAONEKANA HATA KWA WATOTO WADOGO




ADHA+YA+MAJI.JPG



YOU SEE, TATIZO LA MAJI MIJINI NA VIJIJINI LIMEPATIWA UFUMBUZI WA KUDUMU




USAFIRI+WA+WANAFUNZI.jpg


TATIZO LA USAFIRI KWA WANAFUNZI MIJINI LIMEMALIZWA.MNATAKA MAISHA BORA YAPI ZAIDI YA HAYA?



POLISI+MSIMBAZI.jpg


MNAONA?POLISI WENYE MAKAZI DUNI SASA WANA SWIMMING POOL HAPO MSIMBAZI POLICE FLATS.MAISHA BORA KWA POLISI YAMEPELEKEA WAACHE KUDAI RUSHWA NA KUBAMBIKIZA KESI KWA WALALAHOI





zjgfo4.jpg


KURA ZA ALBINO ZIMEZAA MATUNDA.HUYO MGOMBEA WA CCM WANAYEDAI NI MTUHUMIWA WA BIASHARA YA VIUNGO VYA ALBINO NI SIASA ZA MAJITAKA TU



25p4yv6.jpg


HATA SUPAMODO NAOMI CAMPBELL ALIPOTEMBELEZA TANZANIA ALIRIDHISHWA NA HALI ALIYOKUTA WODI YA AKINAMAMA.NA AKATOA MACHOZI YA FURAHA



MATREKTA+KILIMO+KWANZA.JPG


BARABARA ZETU NI MARIDADI.TUMELETEWA MATREKTA MENGI MNO KWA KILIMO KWANZA HADI INABIDI YAFANYE KAZI YA KUVUTA MALORI.EBO!KWANI CHA AJABU NINI TREKTA KUVUTA LORI?NI FERI ZA NCHI KAVU HIZO



MATOPE.JPG


CHAGUA KIKWETE NA CCM KWA BARABARA BORA.NA 2010-2015 BARABARA KAMA HIYO HAPO JUU ZITAKUWA UPGRADED TO FLYOVER.



ELIMU+CHINI+TENA.jpg


SERIKALI YA KIKWETE IMEWAJALI SANA WANAFUNZI NA KUWANUNULIA MADAWATI BORA MNO HADI YANAWACHOSHA KUYAKALIA NA KUAMUA KUKAA SAKAFUNI



KIBANO+UDSM.jpg


HAPANA.KOSA LA MSOMI HUYO WA CHUO KIKUU ANAYEFUKUZWA NA FFU NI KUGOMA KUCHUKUA HELA ZA KUJIKIMU ZILIZOINGIZWA KWENYE AKAUNTI YAKE KABLA HAJAWASILI CHUONI.HAPO ASKARI WA FFU ANAMHAMASISHA MSOMI HUYO AENDE BENKI.CHAGUA KIKWETE USOME KWA RAHA MUSTAREHE



elimu+chini+.jpg


NDIO MAANA RAIS MPENDWA JAKAYA KIKWETE ALISEMA MIMBA ZA WANAFUNZI NI KIMBELEMBELE CHAO TU.ANGALIA MWENYEWE MAZINGIRA BORA KABISA YA NAMNA VIJANA WETU WANAVYOPATA ELIMU.KIKWETE OYEEE



kikwete+na+pipi.JPG


BAADA YA MABILIONI YA KIKWETE,NA KAGODA KUREJESHA MABILIONI,SASA MAISHA BORA NI KWA MWENDO WA PIPI KWA KILA MTOTO.YAH,PIPI KWANZA KISHA LAPTOP KWA KILA MWANAFUNZI.HALAFU HUYO SLAA ANAPOSEMA ATATOA ELIMU YA BURE KWANI MIE NAUZA HIZI PIPI?



Jakaya-safarini-218x300.jpg


SAFARI MOJA HUANZISHA NYINGINE.KWANI MLIPONICHAGUA MLITAKA NIOTE MATENDE IKULU?



rostam_1.jpg


MFANO HAI WA AMANI NA UTULIVU



SAFARI+MOJA.JPG


ZAPATERO ANAELEKEA KUSHANGAA: HIVI KAMA HUYO JAMAA ANA MAWAZO YA HALI YA JUU KIASI HIKI KWANINI BADO NCHI YAKE NI MASIKINI?NO,HAPO KIKWETE ANAHUBIRI KUHUSU CHANZO CHA UMASIKINI WA AFRIKA JAPO HAFAHAMU KWANINI TANZANIA NI MASIKINI



AKINAMAMA.JPG


AKINAMAMA WAMEPEWA KIPAUMBELE CHA HALI YA JUU KATIKA MIPANGO YA SERIKALI YA KIKWETE.PICHA INAWAONYESHA KAMA WANA MAJONZI LAKINI UKWELI NI KUWA WAMESHIKWA NA BUTWAA KUTOKANA NA KAZI NZURI YA CHAGUO LA MUNGU KIKWETE





TwinTowers.jpg


MMENG'ANG'ANIA TU SUALA LA EPA NA KAGODA NA KUSAHAU MINARA PACHA.BY THE WAY,FEDHA ZA EPA HAZIKUIBWA BALI ZILIAZIMWA TU,NDIO MAANA NILIWASIHI TULIOWAAZIMA WAZIREJESHE.WALIOAZIMWA WANAREJESHA IN KIND KWA KUCHANGIA KAMPENI ZA CCM



Richmond.jpg


TEH TEH TEH,NICHEKE MIE.KIKWETE MTU BOMBA SANA.SIE TUMEKUJA NA KABRASHA TUPU LEO HII TUNA MABILIONI KWENYE AKAUNTI.ASANTE DOWANS KWA KUTURITHI,ASANTE KARAMAGI NA MSABAHA.ASANTE WATANZANIA KWA KUMWAMINI KIKWETE.SI MNAONA SASA TATIZO LA UMEME NI HISTORIA KAMA ALIVYOAHIDI CHAGUO LA MUNGU KIKWETE?



regina.jpg


MWAKYEMBE NA TUME YAKE NI ROHO MBAYA TU.KAMA MUME WANGU LOWASSA ALIHUSIKA NA UFISADI WA RICHMOND MBONA KIKWETE AMEKUJA JIMBONI KUMPIGIA DEBE?



lowassa.jpg


TATIZO LENU WATANZANIA MNA KUMBUKUMBU HAFIFU.MMESAHAU ENZI ZA Boyz II Men?MIE NA JAKAYA HATUJAFAHAMIANA MTAANI.MNABISHA?SI MMEONA JINSI MAJUZI ALIVYOMWAGIA SIFA JIMBONI MONDULI?




SAFARI+ZAIDI.JPG


MNASEMA NASAFIRI SANA?KWANI MLIPONICHAGUA MLIKUWA HAMFAHAMU KUWA NILIPOKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NILIKUWA NASAFIRI SANA?ACHENI UZUSHI,SAFARI ZANGU ZITAILETEA TANZANIA SIFA YA KUVUNJA REKODI YA VASCO DA GAMA.



Bartlett+with+Jakaya+Mrisho+Kikwete+and+wife+at+Mystic+Mountain.jpg


MTAJIJU....ACHE MIE NIBEMBEE



KIKWETE+MWANAE.jpg


JIJENGE HUKO UVCCM.SI UMEONA FAMILIA YA BUSH ILITOA MARAIS WAWILI KAMA YA KABILA HUKO DRC?BASI NA WEWE JIANDAE.MIE NAITWA CHAGUO LA MUNGU,WEWE UTAITWA CHAGUO LA BABA



JK+RIZI+WANI+CLASS.jpg


WE KATUNI HUELEWI SOMO LIPI TENA?YANI UNAKUWA KAMAMIE NISIYEELEWA KWANINI TANZANIA NI MASIKINI!



dance+kikwete.jpg


PICHA YA JUU NA YA CHINI: CHAGUO LA MUNGU DANCING.BY THE WAY "Never Trust a Spiritual Leader who cannot Dance".-Mr Miyagi,The Next Karate Kid,1994




MAKAMBA.jpg


HUYU SLAA ANATAKA KUNIWEKEA MCHANGA BADALA YA UBWABWA KWENYE SAHANI HII.HIZI HABARI ZA MIE KUFUKUZWA UALIMU ZA NINI TENA MUDA HUU?



Makamba+(1).jpg


WANAKUJA NA USHAHIDI NINI?WANATOKEA HUKU AU KULE?ANYWAY,HAWAWEZI KUTHIBITISHA LOLOTE



makamb.jpg


MGOSI,UNAKUMBUKA SIKU ZILEEEE KATIKA SHULE ILEEE...BASI SLAA KAINYAKA HIYO ISHU.
 
Duh, hiyo sijaiona hiyo, kwamba mchagueni yeyote mnayemtaka.......halafu? Natamani nipate hiyo video...duh...maana hiyo ni sawa na kusema nitawabaka tu.

Chagueni yeyote mnayemtaka.....tutachakachua tutashinda...Huku ndio kutoa ahadi ya kubaka haki ya mtanzania kuchagua kiongozi anayempenda.
 
Jinsi CCM wanavyoendesha mikutano yao ya kampeni wanastahili more than kuzomewa. Kukusanya watoto wa primary ambao hata hawana umri wa kupiga kura!!! Means wao hawajui umuhimu wa elimu. Lol!

Mikutano imejaa ubabe, ulaghai, ufedhuli, unafki, wizi wa fedha za Wtz (ufujaji) uongo, hila, point less na upupu mwingiiiii. Wamezomewa ila kwa mimi nikiwaona I am sure nitachemsha maji ya moto niwamwagie cause wanaboa sanaaaaaaaaa!!! Ole wao wapitie anga zangu..[/QU

Wandugu bora mnajikumbuka kule busanda yaliyowatokea mana hyo ulioyosema Chadema ndo wanafanya kwahiyo msije shangaa kuona jahazi liondoka mkabaki imekuwaje chama chenu hakina wapigakura kuna wapambe hivyo sisiem tunawkata wima
 
si ndo imekuwa ivyo! kweli tunahitaji mbinu mpya ya kuiondoa ccm...
 
chanzo cha habari yako ni nini? Kama huna source huna haki ya kuandika!!! Kama wewe ni msomi utanielewa lakini kama wewe ni mfurukutwa au vinginevyoo ruksa!!!

Sasa ndio umechangia nini hapo? si bora ungekaa kimya tu! crap!
 
Back
Top Bottom