Elections 2010 Baada ya Kuzomewa Kikwete apanda Hasira; Atamka Atashinda kwa Kishindo


Hivi wengine mna Pihechidi za matani watu..!?? :becky::becky::becky:
 
Kuzomewa kwake kume prove failure ya safari yake aliyoianza 2005. Utitiri wa ahadi hewa and all those vimechosha wananchi na sasa wameamua kufanya mapinduzi ya kisiasa. Say BIG NO to him on 31st October, 2010.

And you think Tanzanians are that stupid! toa hoja siyo kudandia hoja ambazo hatahujui ni za kweli au zimechakachuliwa.
 
:tonguez::llama::llama::llama::llama::llama::tonguez:
 
prepare your gun or spear cause the results will not be on your favor.

Sijakuelewa hapo juu hicho kidhungu kinamaanisha Kapotolo aweke silaha tayari maana oct 31, 2010 ushindi hautoenda kwa chama chake bali CCM. Yaani unamuamasisha ajiandae na mapambano au? ina maana yeye na wenzake wakishindwa wapigane? Ujue siamini kama maneno hayo yametoka kwako? pliz futa kauli /maneno yako pliz makuomba. Ujue katika watetezi wachache wa kikwete na CCM humu JF ni wachache sana wanaotoa utetezi wenye ujazo miongoni mwao ni wewe. lakini kwa kauli hiyo hapo juu umenichanganya.Au umejibu kimzaa zaidi? ujue vita na vurugu kwa ajili ya uchaguzi ni hatari ndugu yangu
 
anajua kuwa wao CCM ni kiboko kwa kuiba kura, na watazichakachua mbya maana hali yao mbaya mwaka huu :A S 13:
 

Ndio maana akamwomba mshikaji wake Lt. Gen. Shimbo atishie wananchi!
 
FAMILIA YAKE itampigia kura kwa KISHINDO maana hiyo ndiyo inayo msaport

Hali ni ngumu CCM hata kampeini imekuwa ni suala la Familia,hawataki kusema lakini inaonekana Vikongwe wa chama wamemsusia Muungwana. Wapo wapi akina Mwinyi,Mkapa,Salim,Msuya,Warioba,Sumaye,Butiku,Mangula,Kingunge,Lowassa na hata Pinda ili wamsaidie huyu Muungwana?Naona Kampeini inaendeshwa Kifamilia zaidi huku rafiki wa Ridhiwani nao wakiwa mbio mbio Wilayani na Mikoani kumsaidia Baba......CCM hii sio ile aliyoiacha Mwalimu.Haya ndio malipo ya siasa za makundi na baadaye kusahau fadhila!.....Zimebaki siku 25 ukweli utajulikana!
 
Niliiona iyo kwenye TV mzee mzima jazba imempanda.
Najua atakuwa amejifunza mengi mwaka huu na alivyo na visirani kazi tunayo hasa akipita kwa kuchakachua
 
Jamani jamani jamani, acheni propaganda, hii itafanya wafirigiswa wa slaa muonekane mnazua mambo kumdhihaki mheshimiwa jk, mbona mnaongea vitu ambavyo hamna source navyo?
 


:nono: utatimiza yaleyale aliyosema mnajimu mkuu wa jeshi.
 
Mungu Baba,mfufue Mwl.Nyerere aje leo atushauri nani tumnyime kura!

Are you undicided? hadi Nyerere afufuke akushauri usimpe Kikwete kura kwa sababu ni hopeless presida of our time? You must be jocking .
 

Leta source tupambane naye!!
 
Tuombee ashindwe maana akishinda tutakula nyasi. Kama miaka yake mitano yeye anaona amelete maendeleo makubwa wakati sisi wananchi tunaona maisha ni magumu kupindukia itakuwaje kama akipata kipindi cha pili?
 
Sheet!!!!! hata mimi nimeona jana kwenye taarifa ya habari namna JK alivyokuwa anazungumza kwa Jazba huku akitetemeka, jamani kuna mtu ana hicho kipande akitundike hapa kwenye youtube ili watu wote waone huyu ndugu alivyo na hamu ya kurudi tena ikuru.

Mwenye 'post' hii ni mfurukutwa. unaliona neno hilo kwenye 'bold' sijui lina maana gani. lakini naelewa alikuwa anataka kumananisha nini. Kazi tunayo kweli kweli.
 
chanzo cha habari yako ni nini? Kama huna source huna haki ya kuandika!!! Kama wewe ni msomi utanielewa lakini kama wewe ni mfurukutwa au vinginevyoo ruksa!!!

Jamani, msijifanye wasomi sana, si kila kitu kinahitaji source....hayo yalipitwa na wakati na kwa taarifa yako yaliyumiwa na wakoloni ili kukufanya wewe uwaamini kwa kuwa wao walikuwa na maandishi na sisi hatukuwa na maandishi, hiyo tunaiita colinial slavery, ndo inayoukusumbua mpwa, kama huamini angalia na soma baadhi ya historical books utakuta kitu kinachoitwa nguvu ya maandishi.

Usiniulize ni wapi, nenda katafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…