Baada ya kwenda Kulamba Miguu ya aliyemchukia Haji Manara, Kujipendekeza kwa GSM hatimaye Ali Kamwe kuwa Msemaji wa Yanga SC

Hivi inakuaje mtu anaacha kazi Azam then anaenda Yanga au Simba ambako security ya Anita yake ni ndogo, kwanini hasa?
Au pale hawalipwi vizuri
1. Umaarufu Kukua maradufu
2. Kukopesheka Kiurahisi
3. Kusafiri mno na Ndege
4. Kukupatikiwa na Mademu
5. Posho Kubwa kuliko Mshahara
6. Kunyenyekewa na Wana Habari
7. Uwezekano wa kuwa Mbunge baadae kuwa ni mkubwa.

Kama una Swali lingine niulize tena.
 
Kuna kitenge yeye hata kambi ya simba watu wakivuta sigara kashapost kuna gef lea hao wote ni kuongelea mambo ya simba tu kwani simba haiwakeri Tatizo manara kashawakamata mmebakia kulalamika tu mara karia mara kazumari jufunzeni kunyamaza kama simba na viongozi wake kama mo dewji na babra licha ya kutukanwa na kudhalilishwa na manara hakuna anayemjibu wala kumfuatilia ila yanga au manara akiguswa tu kelele kibao .
 
Kazumari yupo straight mpaka anakera kwa wote waliojaa ushabiki uliopitiliza na mahaba.
Hakeri chochote misifa tu na uchawi.....ukiona JITU linatoswa na wachezaji kwenye issue ya umeneja ujue hilo ni TAKATAKA
 
Hivi inakuaje mtu anaacha kazi Azam then anaenda Yanga au Simba ambako security ya Anita yake ni ndogo, kwanini hasa?
Au pale hawalipwi vizuri
AZAM hawalipi vizuri watu wanafuata brand tu ukiachana na kwenye mpira hata kwenye viwanda vyake vya production hamna maslahi wanaolipwa vizuri ni ngozi nyeupe wageni ila bongo lala utachezea laki 3 kama hutaki aacha kazi ukalime hzo ndo kauli zao za ujeuri
 
We jamaa 😀,manara alipokua huko makolo nani pale Yanga alinusurika na matusi,ulishawahi kuona kuna alielalamika,manara alikua anaenda mpaka jangwani pale kuwadhihaki Yanga,yote watu walichukulia utani,sasa leo hii ajaribu mida ya jioni kukanyaga pale msimbazi kama hajapigwa,
 
Unadhani akili za mashabiki wa simba ni kama yanga waliopiga shabiki wa coastal union pale arusha na kupelekea umauti na siku yanga wanakabidhiwa ubingwa mlifanya fujo kwa maksudi kwenye jengo la simba pale nani aliwafukuza mlijua mtafanyiwa fujo ila watu waliwapotezea maana akili hamna.
 
Rage akukosea kuwaita mbu3
 

Attachments

  • 1200937367.mp4
    3.1 MB
Msemaji wa yanga ni taji liundi sio huyo mpuuzi
 
Yule nanidinyo mbona kama ana wenge kwny kipindi chao cha sport au ndo anawaza ka ulaji ka usemaji yani anakua amezubaaa
 
Huu ni uongo banaa ,uongooo
Siku zingine ukiiona hii ID iheshimu na iogope sawa? Kwa Kujiamini kabisa ( Kama Kawaida yangu MINOCYCLINE ) Nilisema Ally Kamwe atakuwa Msemaji ( Afisa Habari ) Mpya wa Yanga SC na ukasema Mimi ni Muongo je, mpaka sasa Mimi ni Muongo na FISFÈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…