Baada ya kwenda Kulamba Miguu ya aliyemchukia Haji Manara, Kujipendekeza kwa GSM hatimaye Ali Kamwe kuwa Msemaji wa Yanga SC

Baada ya kwenda Kulamba Miguu ya aliyemchukia Haji Manara, Kujipendekeza kwa GSM hatimaye Ali Kamwe kuwa Msemaji wa Yanga SC

Hivi inakuaje mtu anaacha kazi Azam then anaenda Yanga au Simba ambako security ya Anita yake ni ndogo, kwanini hasa?
Au pale hawalipwi vizuri
1. Umaarufu Kukua maradufu
2. Kukopesheka Kiurahisi
3. Kusafiri mno na Ndege
4. Kukupatikiwa na Mademu
5. Posho Kubwa kuliko Mshahara
6. Kunyenyekewa na Wana Habari
7. Uwezekano wa kuwa Mbunge baadae kuwa ni mkubwa.

Kama una Swali lingine niulize tena.
 
Straight hiyo ni kwa Yanga tu,na tena ni ya kichuki baada ya huko siku za nyuma kunyimwa nafasi ya ukatibu mkuu ambayo alikua anasubiri kutangazwa tu ila makolo wakamvurugia kwa kumsainisha mchezaji wake gadiel na mtu aliefanikisha usajili huo kwa 80% ni manara na makonda walimlaghai yule dogo kwenye michuano ya afcon alipokua na stars
Kuna kitenge yeye hata kambi ya simba watu wakivuta sigara kashapost kuna gef lea hao wote ni kuongelea mambo ya simba tu kwani simba haiwakeri Tatizo manara kashawakamata mmebakia kulalamika tu mara karia mara kazumari jufunzeni kunyamaza kama simba na viongozi wake kama mo dewji na babra licha ya kutukanwa na kudhalilishwa na manara hakuna anayemjibu wala kumfuatilia ila yanga au manara akiguswa tu kelele kibao .
 
Kazumari yupo straight mpaka anakera kwa wote waliojaa ushabiki uliopitiliza na mahaba.
Hakeri chochote misifa tu na uchawi.....ukiona JITU linatoswa na wachezaji kwenye issue ya umeneja ujue hilo ni TAKATAKA
 
Hivi inakuaje mtu anaacha kazi Azam then anaenda Yanga au Simba ambako security ya Anita yake ni ndogo, kwanini hasa?
Au pale hawalipwi vizuri
AZAM hawalipi vizuri watu wanafuata brand tu ukiachana na kwenye mpira hata kwenye viwanda vyake vya production hamna maslahi wanaolipwa vizuri ni ngozi nyeupe wageni ila bongo lala utachezea laki 3 kama hutaki aacha kazi ukalime hzo ndo kauli zao za ujeuri
 
Kuna kitenge yeye hata kambi ya simba watu wakivuta sigara kashapost kuna gef lea hao wote ni kuongelea mambo ya simba tu kwani simba haiwakeri Tatizo manara kashawakamata mmebakia kulalamika tu mara karia mara kazumari jufunzeni kunyamaza kama simba na viongozi wake kama mo dewji na babra licha ya kutukanwa na kudhalilishwa na manara hakuna anayemjibu wala kumfuatilia ila yanga au manara akiguswa tu kelele kibao .
We jamaa 😀,manara alipokua huko makolo nani pale Yanga alinusurika na matusi,ulishawahi kuona kuna alielalamika,manara alikua anaenda mpaka jangwani pale kuwadhihaki Yanga,yote watu walichukulia utani,sasa leo hii ajaribu mida ya jioni kukanyaga pale msimbazi kama hajapigwa,
 
We jamaa [emoji3],manara alipokua huko makolo nani pale Yanga alinusurika na matusi,ulishawahi kuona kuna alielalamika,manara alikua anaenda mpaka jangwani pale kuwadhihaki Yanga,yote watu walichukulia utani,sasa leo hii ajaribu mida ya jioni kukanyaga pale msimbazi kama hajapigwa,
Unadhani akili za mashabiki wa simba ni kama yanga waliopiga shabiki wa coastal union pale arusha na kupelekea umauti na siku yanga wanakabidhiwa ubingwa mlifanya fujo kwa maksudi kwenye jengo la simba pale nani aliwafukuza mlijua mtafanyiwa fujo ila watu waliwapotezea maana akili hamna.
 
Rage akukosea kuwaita mbu3
 
Attachments

  • 1200937367.mp4
    3.1 MB
Hata aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wenu Yanga SC Luc Eymael Raia wa Ubelgiji hakukosea alipowaita Yanga SC wote ( ipo YouTube ) kuwa ni Nyani, Mbwa na Sokwe.
Sawa nyani mwenzetu
Screenshot_20220927-074708_Gallery.jpg
 
Hongera mno Ally Shabaan Kamwe kwani ni Suala la muda tu unaenda Kutangazwa kuwa Msemaji Mpya ( Afisa Habari Mpya ) wa Yanga SC.

Pongezi nyingi Kwako pia kwa kwenda Kumlamba Miguu ( Kumpigia Magoti ) Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara ambaye Ulimdhalilisha sana Redioni na Mitandaoni Kwako Ili akusamehe na akupigie Chapuo kwa GSM Mwenyewe na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Kufanikiwa nalo.

Kongole zaidi Kwako kwa kutumia Nguvu Kubwa ( hadi ile ya Kiutamaduni ) achilia mbali ya Kutoa Pesa na Kuwaahidi Watu wa karibu na Uongozi wa Yanga SC kuwa ukiwa Afisa Habari wa Yanga SC utawalipa Fadhila na hata Kuwafanikishia Watu wengine Mambo yao ndani ya Yanga SC.

Ni matumaini yangu utakuwa Afisa Habari Mpya Mstaarabu na Makini ndani ya Yanga SC mwenye Uweledi zaidi kama Ahmed Ally wa Simba SC.
Msemaji wa yanga ni taji liundi sio huyo mpuuzi
 
Yule nanidinyo mbona kama ana wenge kwny kipindi chao cha sport au ndo anawaza ka ulaji ka usemaji yani anakua amezubaaa
 
Huu ni uongo banaa ,uongooo
Siku zingine ukiiona hii ID iheshimu na iogope sawa? Kwa Kujiamini kabisa ( Kama Kawaida yangu MINOCYCLINE ) Nilisema Ally Kamwe atakuwa Msemaji ( Afisa Habari ) Mpya wa Yanga SC na ukasema Mimi ni Muongo je, mpaka sasa Mimi ni Muongo na FISFÈ
 
Back
Top Bottom