Baada ya kwenda Loliondo kanimwaga.

Baada ya kwenda Loliondo kanimwaga.

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,095
Mchumba angu alisafiri wiki 2 zilizo pita kwenda Loliondo kunywa kikombe kwa babu. Nilivyo muuliza gonjwa gani sugu linalo kupeleka huko kwa babu akasema Kisukari huwa kinamsumbua mara kwa mara nikamwambia mbona hujawahi niambia akasema ndo hivyo. Basi nikampa baraka zote aende akapige kikombe kwa babu. Toka arudi Loliondo amebadilika sana yaani hakuna mawasiliano kabisa imefikia kipindi namuuliza kulikoni mama anasema kwaresima dah yaani kwaresima ndo inafanya hata kujuliana hali iwe ngumu. Nisadieni huyu mchumba angu nifanyaje au ndo baada ya kupiga kikombe basi ameamua kunipotezea? Msaada jamani hata usingizi sipati na kila nikumsms hajibu nikipiga anapokea anapo taka. Naona kama dalili za mawingu. Hizi naona ni dalili za kupigwa kibuti.
 
una umri gani wewe? unajua maana ya mchumba? tofauti ya mchumba, rafiki, rafiki mwandani-boyfriend/girlfriend unaijua?

mchumba lazima awe ametambulishwa kwa wazazi pande zote, huyo ni girl/boyfriend tu a.k.a hawara.

kwa ushauri kutokana na story yako kacheck afya yako.
 
wahi gereji ukaguliwe labda afya mbovu inaitaji matengenezo
 
una umri gani wewe? unajua maana ya mchumba? tofauti ya mchumba, rafiki, rafiki mwandani-boyfriend/girlfriend unaijua?

mchumba lazima awe ametambulishwa kwa wazazi pande zote, huyo ni girl/boyfriend tu a.k.a hawara.

kwa ushauri kutokana na story yako kacheck afya yako.

Tulisha tambulishana kwa kaka zake wanaishi Tabata
 
Babu anasema kama una ngoma nenda kanywe kikombe na mwenzio, la sivyo usipoenda nae halafu ukaendeleza mchezo ngoma itakurudia na kikombe hakitakuponya tena, maana hutakiwi kunywa mara mbili. Muulize vizuri alienda kutibiwa nini kwa Babu.

Mchumba angu alisafiri wiki 2 zilizo pita kwenda Loliondo kunywa kikombe kwa babu. Nilivyo muuliza gonjwa gani sugu linalo kupeleka huko kwa babu akasema Kisukari huwa kinamsumbua mara kwa mara nikamwambia mbona hujawahi niambia akasema ndo hivyo. Basi nikampa baraka zote aende akapige kikombe kwa babu. Toka arudi Loliondo amebadilika sana yaani hakuna mawasiliano kabisa imefikia kipindi namuuliza kulikoni mama anasema kwaresima dah yaani kwaresima ndo inafanya hata kujuliana hali iwe ngumu. Nisadieni huyu mchumba angu nifanyaje au ndo baada ya kupiga kikombe basi ameamua kunipotezea? Msaada jamani hata usingizi sipati na kila nikumsms hajibu nikipiga anapokea anapo taka. Naona kama dalili za mawingu. Hizi naona ni dalili za kupigwa kibuti.
 
Amekutambulisha kwa kaka zake je wazazi pande zote wanatambua uhusiano wenu
Ongea nae kuhusu mabadiliko hayo ukiona hana mwelekeo bora kuanzisha maisha mapya
 
Dah,pole ina maana hujaona?ni kwamba huyo hakwenda kwa kisukari sina uhakika ila nahisi huyo mchumba wako alijijua hayuko salama na ametembea nawe na anajua kama ulikua mzima lazima atakua amekupa ngoma .sasa bada ya kikombe anadhani kapona anajiweka mbali nawe maana anajua unao na kikombe hujanywa hivo unaweza kumpa tena ngoma.
Kama hujatembea naye which is nearly impossible yeye alijijua ana ngoma anahisi kapona hana uhakika na afya yako hivo anajiweka mbali ili msi do .
Asilimia kubwa ya waendao loliondo ni waathirika wanaficha kwa kusingizia kisukari kumbe walishaukwaa.
Ndiposa tujue wengi humu tz ni waathrika TAKE CARE PEOPLES
 
Amekutambulisha kwa kaka zake je wazazi pande zote wanatambua uhusiano wenu
Ongea nae kuhusu mabadiliko hayo ukiona hana mwelekeo bora kuanzisha maisha mapya

Na mm ndugu zangu wanamjua kama wife to be lakini ndo hivyo kabadilika baada ya kupiga kikombe.
Siku hizi hata kuja geto haji kabisaa na kaka zake nimesha wajulisha hili kuwa dada ao simwelewi kabisa amekata mawasiliano.
 
Anaogopa kuathirika kwa mara ya pili labda...
 
Pole kijana, mulize vzr kilichompeleka kwa babu, yawezekana anaogopa MAAMBUKIZI MAPYA anashindwa kukwambia. Na wewe mwambie unaenda kupata kikombe labda ukirudi atapiga moyo konde. Mchunguze vzr.
 
Everywhere I go, I see very much the same thing. I see the same compassion for people who live half a world away. I see the same concern about events beyond these borders. And, increasingly, I see the same conviction that we can and we must join together to stop the scourge of AIDS and poverty.
-- Bono
 
Mchumba angu alisafiri wiki 2 zilizo pita kwenda Loliondo kunywa kikombe kwa babu. Nilivyo muuliza gonjwa gani sugu linalo kupeleka huko kwa babu akasema Kisukari huwa kinamsumbua mara kwa mara nikamwambia mbona hujawahi niambia akasema ndo hivyo. Basi nikampa baraka zote aende akapige kikombe kwa babu. Toka arudi Loliondo amebadilika sana yaani hakuna mawasiliano kabisa imefikia kipindi namuuliza kulikoni mama anasema kwaresima dah yaani kwaresima ndo inafanya hata kujuliana hali iwe ngumu. Nisadieni huyu mchumba angu nifanyaje au ndo baada ya kupiga kikombe basi ameamua kunipotezea? Msaada jamani hata usingizi sipati na kila nikumsms hajibu nikipiga anapokea anapo taka. Naona kama dalili za mawingu. Hizi naona ni dalili za kupigwa kibuti.

Dogo nenda kapime kwanza afya ndipo tukusaidie aidha uende Loliondo au uanze kunywa ARV. Kumbuka ukimwi sio ugonjwa ni upungufu wa kinga mwilini tu, wahi angaza.
 
Nenda na wewe kapige kikombe ....tehe,....duh, sasa kikombe cha babu kinaleta mambo, mpaka kukimbiana?
 
pole sna kaka.waswahili husema mwenzako akinyolewa wewe tia maji, hivyo ningekushauri uende ukapime kwakuwa inaonyesha kuwa kuna dalili ya kuambukizwa HIV ingawaa huyo mchumba wako hataki kukueleza wazi, pole sana kwa hilo kaka,

ukienda kupima usisite kurudi kuja kuomba ushauri tena.
 
Kacheck afya kwanza kisha urudi tukushauri.
 
Kaka kabla mlishawahi kupima? Huenda kaona kaponea tundu la simba.
Wahi nawe Loliondo fasta, piga picha na babu wakati unapata kikombe then njoo muoneshe.
 
ukiona pa mwenzio panateketea i pako panafuka moshi.......na ww unatakiwa ukapige kikombe fasta, alaf uenende zako uctende dhambi tena. Si unakumbuka Yesu alvokuwa akiwaambia wale alokuwa akiwaponya??? Ukirudia tu unalo na hutapona.
 
Back
Top Bottom