Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #41
Labda useme wanazijua tabia za WaTanzania hili la uumbaji ni uongo.
Hii jamii ina tabia zake hata kabla ya uhuru. Hakuna mwanaccm aliyeiumba. Kinachofanyika ni kuielewa.Tabia zinaumbwa na jamii.
CCM wameziumba tabia za watanzania wengi
Watanzania wengi ukiwaona kwa asilimia kubwa tabia zao zinatokana na uccm.
Unamzungmzia Lissu yupi? au unazungumzia akili zipi? kabla hata sijaendelea kusoma1. Lisu ni jasiri lakini asiyetumia Akili. Ni kweli Lisu ana akili lakini katika upande wa sheria lakini katika utawala na mambo ya siasa kidogo anatumia mihemko kuliko Akili.
Alieleta hapa mada ya kichoko ni nani?Unaniuliza mimi tena
Umeingia jana tu na hoja zako kusifia CCM ina watu smart bila kueleza usmart wenyewe uko wapi. CCM kwa sasa siyo chama cha siasa tena bali ni genge la kihalifu linalohujumu uchumi wa nchi hii na kutumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Kwenye uwanja sawa wa kisiasa CCM ni dhaifu sana kama TLP tu, bila mbeleko ya vyombo vya dola yaani TISS, Polisi, Mahakama na INEC hilo genge lako unalopigia debe haliwezi chochote. Tumechoka na huu ulimbukeni wako unaojaribu kuusambaza humu wadanganye watoto wenzako.Usichojua na kuelewa ccm Ina watu wenye akili Sana kumzidi huyo Lissu.
Anachojaribu kuongea hapa Mtibeli kinaleta maana kuwa VITA inahitaji akili .
Kupambana na Ccm bila akili utaishia kuuliwa , kutekwa , kuumizwa n.k
Ccm ndo Dola yenyewe kwahiyo ukitumia approaching za Lissu hauwezi fanikiwa.
Wewe kwa kuwasifia watu wanaohujumu nchi yako huo siyo ujinga tu bali ni upumbavu labda kama na wewe ni mnufaika wa moja kwa moja yaani uko kwenye Royal Family inayoinyonya nchi hii vinginevyo kuwasifia hawa na wewe ukiwa nje ya mfumo wao huo ni upumbavu kwa 100%.Kwahiyo watanzania sisi mil 60 ni wajinga ?
We mjinga sana kuingia Jana maana yake nini ? Haujui Mimi Niko JF since 2007 .Umeingia jana tu na hoja zako kusifia CCM ina watu smart bila kueleza usmart wenyewe uko wapi. CCM kwa sasa siyo chama cha siasa tena bali ni genge la kihalifu linalohujumu uchumi wa nchi hii na kutumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Kwenye uwanja sawa wa kisiasa CCM ni dhaifu sana kama TLP tu, bila mbeleko ya vyombo vya dola yaani TISS, Polisi, Mahakama na INEC hilo genge lako unalopigia debe haliwezi chochote. Tumechoka na huu ulimbukeni wako unaojaribu kuusambaza humu wadanganye watoto wenzako.
Sasa endelea kuamini kuwa unanyonywa bila kuandamana au kuchukua hatua.Wewe kwa kuwasifia watu wanaohujumu nchi yako huo siyo ujinga tu bali ni upumbavu labda kama na wewe ni mnufaika wa moja kwa moja yaani uko kwenye Royal Family inayoinyonya nchi hii vinginevyo kuwasifia hawa na wewe ukiwa nje ya mfumo wao huo ni upumbavu kwa 100%.
Ujinga wako uko kwenye kuwatetea watu wanaoiangamiza nchi unless useme nawe ni mmoja wa Royal Family mnaoifisadi hii nchi.We mjinga sana kuingia Jana maana yake nini ? Haujui Mimi Niko JF since 2007 .
Angalia unayojipinga mwenyewe watu wanaochukua hatua unawaponda na kuwasifia wanaohujumu nchi sasa una akili kweli wewe au unafikiri hatukusomi unasimamia nini hapa.Sasa endelea kuamini kuwa unanyonywa bila kuandamana au kuchukua hatua.
Mkuu hata hao unaoamini wanataka kuleta mabadiliko tunakaa nao chemba wanakula hela Sana Kama huyo Lissu amekula mabilioni sana since 2016 kupitia kikwete na walipomaliza kumtumia wakampiga risasiUjinga wako uko kwenye kuwatetea watu wanaoiangamiza nchi unless useme nawe ni mmoja wa Royal Family mnaoifisadi hii nchi.
Na ndiyo hoja iliyokuleta humu kumchafua Lissu, ila katika hili umepoteza. Unaposema uongo jitahidi huo uongo ufanane na ukweli, katika hili umebugi big time,hapa ni Jamii Forum Home of Great Thinkers, jaribu jukwaa lingine . Jitahidi watu wasijue kuwa huna akili.Mkuu hata hao unaoamini wanataka kuleta mabadiliko tunakaa nao chemba wanakula hela Sana Kama huyo Lissu amekula mabilioni sana since 2016 kupitia kikwete na walipomaliza kumtumia wakampiga risasi
Mmegukua GT msingeingia king na kuamini Chadema ni wapinzani halisi .Na ndiyo hoja iliyokuleta humu kumchafua Lissu, ila katika hili umepoteza. Unaposema uongo jitahidi huo uongo ufanane na ukweli, katika hili umebugi big time,hapa ni Jamii Forum Home of Great Thinkers, jaribu jukwaa lingine .
Waliokutuma kuja humu waambie kazi waliyokutuma haitekelezeki, labda nenda FB kwa watoto wenzako.Mmegukua GT msingeingia king na kuamini Chadema ni wapinzani halisi .
Nachokuambia Lissu anavuna karma hatokuja kuwa na Amani maisha take yote
Wewe hata ujue kanuni gani umeonyesha ujinga mwingi kwenye hili andikoKutumia Akili ukiwa down sio unyonge.
Hapo ndipo watu smart wanapowashinda wajinga.
Kanuni za predators unazijua?
Imekusaidia mjinga kama wewe kuandika pumbaPole sana Mkuu.
Kwani Lisu kukaa sero huu mwezi wa tatu inamsaidia nini Raia wa kawaida?
Huyu shetani ni UWT hana loloteWewe hata ujue kanuni gani umeonyesha ujinga mwingi kwenye hili andiko