Baada ya Lissu kutolewa Sero atahitajika kufanya Reforms ili kujenga Chama chake

Umesema vizuri, common sense is not common, hapo ndio Lissu anakwama. Momentum mojawapo ambayo ingempa upenyo wa kisiasa ilikuwq kushiriki uchaguzi apate wabunge wengi, wabunge hao wawe ngazi/daraja la kuitikisa CCM baada ya kuichachafya bungeni

Sahihi kabisa.
Pia angemtumia Mbowe kama Mbowe alivyomtumia
 
Utashambuliwa lakini ndio ukweli.

Vita inahitaji silaha zote na akili zote.
Ukienda vitani na akili moja lazima upigwe mapema sana.

Ulichokisema ndio ilipo Tofauti ya Mbowe na watu wengine huko CDM.
Ndipo ilipo tofauti ya JK na watu, ndio maana kila siku anaibuka mshindi.

Mfano Kabudi, yeye anajua alivyosoma darasani shuleni na kanisani sasa ukimleta kwenye dunia ya fujo lazima apigwe.
Ndio maana wale Wakenya wa Korosha walitupiga kitoto, maana unataka kutumia akili za darasani kufanya biashara na wahuni wenye akili zote, darasani na kitaa.

mitaa ya Khartoum Sudani.

Kweli kabisa.
Huyo Kikwete ni vile anazeeka na binadamu ana muda mchache duniani. Vinginevyo angeipeleka huu nchi kwa miaka mingi sana atakavyo
 
Sahihi kabisa.
Pia angemtumia Mbowe kama Mbowe alivyomtumia
Watanzania huwa wanaamini MTU anayeongea Sana Ana akili Sana wansahau kuwa akili haitokani na kupiga kelele .

Ccm ndo chama kinachojua mbinu za VITA kwakuwa huwa wale watu wanaofanisha mipango yao hawajulikani .

Ni rahisi MTU Kama Lissu kujimwambafai kwa vilaza na sio kila MTU .
 
U
Wabeba maono kama Lissu wanatengeneza Wafuasi na Wanafunzi wa asili. Hawahitaji kuwaandaa.

Thomas Sankara aliuwawa akiwa kijana hakuwa hata na mwanafuzi ila miaka zaidi ya 50 Ibrahim Traore anaongoza Bukrina Faso kwa Sera na fikra zilezile za Thomas Sankara.

Lissu amebeba kusudi la Mungu kwa Tanzania. Hata ukimbana vipi au ukimuua kusudi la Mungu kwa Watanzania alilolipandikiza lazima litimie.
UZI UFUNGWE.
 
Lissu anaweza kuwa na mapungufu yake lakini anayajua mengi na anauzoefu mwingi kuhusu mifumo ya Tanzania kuliko unavyodhani. Anajua anachokifanya.

Angekuwa mkurupukaji kama unavyodai asingeweza kushinda uenyekiti wa CHADEMA. Ile haikuwa bahati bali mkakati madhubuti.

Mkuu mimi naongea kama mtu huru. Na sina interest na yeyote au chama chochote zaidi ya mtanzania kama watanzania wengine.
Nilichoandika ndio alichobakiwa nacho Lisu.

Lisu angekuwa anajua kwa ufasaha jinsi mifumo ya nchi ilivyo, asingesogeza kete aliyoisogeza ambayo matokeo yake unayaona. Sisi tunaompigia chapuo atoke tayari tumeshaona Amekwama. Na hilo lipo wazi
BTW, wewe sio miongoni mwa wale waliodai hapa kuwa hawezi kushinda?

Inaonekana wewe mgeni humu. Ndio maana umeuliza swali hili.
Tafuta nyuzi zangu kuhusu Lisu kushinda utazipata
 
Watanzania huwa wanaamini MTU anayeongea Sana Ana akili Sana wansahau kuwa akili haitokani na kupiga kelele .

Ccm ndo chama kinachojua mbinu za VITA kwakuwa huwa wale watu wanaofanisha mipango yao hawajulikani .

Ni rahisi MTU Kama Lissu kujimwambafai kwa vilaza na sio kila MTU .

🤓🤓
 
Wabeba maono kama Lissu wanatengeneza Wafuasi na Wanafunzi wa asili. Hawahitaji kuwaandaa.
Hiyo haipo hivyo kisiasa na kiutawala
Ndio maana hao CCM wanashule na vyuo vyao vya uongozi na kuwafundisha watu itikadi zao. Sio wajinga.

Thomas Sankara aliuwawa akiwa kijana hakuwa hata na mwanafuzi ila miaka zaidi ya 50 Ibrahim Traore anaongoza Bukrina Faso kwa Sera na fikra zilezile za Thomas Sankara.

Traore unafikiri ataishia wapi?
Kila jambo ili liwe endelevu linahitaji successor ambaye lazima um-train.

Lissu amebeba kusudi la Mungu kwa Tanzania. Hata ukimbana vipi au ukimuua kusudi la Mungu kwa Watanzania alilolipandikiza lazima litimie.
Kusudi la Mungu anaweza kuwa amelibeba lakini kuna namna anashindwa kulitumia.

Hii nitaongea baada ya yeye kutoka
 
Umeongea jambo nimeona la muhimu sana kwenye bullet namba 1.
Ujue hata Yesu alikua na kund la maelfu wanaomfuata daily. Ni wafuasi tu, wanafuata kitu flan. Hata kuna time mwenyewe aliwaambia (licha ya kuwa wanamfuata daily) kwamba "najua mnanifuata kwasababu nilishawalishaga mkate na samaki".

Lakin out of maelfu alikua na kundi la wengine kama 120 hiv ,hawa ndio hata alipopaa kurud heaven akawaambia wwafuasi woote "msitoke mjini, mpaka mvikwe uweza toka juu" hawa 120 walisubiri kweli siku ya pentecoste bado walikua wadau wake.

Lakin pia alikua na Circle ya wale 12 , ambao ni wanafunzi na ndio walikua watenda kazi wake. Kuna time alikua anakaa na hawa 12 pekee anawapa shule ya peke yao kulinga na maandalizi yao aliokua nao.

Halaf ndani ya hao hao 12, alikua nao watatu [3] kama inner circle, hawa ndio hata mambo yalipokua magumu hakua anaona shida kuwaeleza na ndio alikua anawachukua kusaidiana nao mambo confidential. Mfano kabla ya kusubiwa akawabeba hawa wa 3 kwenda nao kusali na aka open up mambo ambao asingeweza kuwaambia wengine 12, kuwa "roho yangu ina huzuni kiasi cha kufa" twendeni kufanya maombi.

So kwenye leadership lazima lazima uwe na close confidants wako ambao unawajua kabisa hawa iwe jua iwe mvua hawaniachi.

Lissu needs this.
 
So kwenye leadership lazima lazima uwe na close confidanta wako ambao unawajua kabisa hawa iwe jua iwe mvua hawaniachi.

Lissu needs this.

Umenielewa na kufafanua vizuri sana ambapo hata kwa wengine wanaweza kuelewa kirahisi sana
 
Maelezo mengi ila Pumba !!.

Hamna namna yoyote ya Mwanadamu Mtanzania awe Ndani ya Chama au Nje ya Chama, anayeweza Kupambana na TUNDU LISSU Katika Mizani ya Haki, Usawa, Uwazi .

Kwa LISSU , Mbinu Ovu tu ndizo MTU anaweza zitumia Kupambana naye.( Na kama Hoja yako umeijengea hapa, kwamba bila Reforms ataendelea kuonewa, Sasa Shida hapo ni ya nani?).

LISSU sio tu ana Akili, Mungu amemzawadia kitu ambacho wengi hatuna !!.
Hizi Sasa sio Pumba Kuna vile ukipepeta ili upate pumba na hichi ulichoandika.

MAGUFURI NA LISSU wametofautiana kwenye sheria tu.
 
Umeongea jambo nimeona la muhimu sana kwenye bullet namba 1.
Ujue hata Yesu alikua na kund la maelfu wanaomfuata daily. Ni wafuasi tu, wanafuata kitu flan. Hata kuna time mwenyewe aliwaambia (licha ya kuwa wanamfuata daily) kwamba "najua mnanifuata kwasababu nilishawalishaga mkate na samaki".

Lakin out of maelfu alikua na kundi la wengine kama 120 hiv ,hawa ndio hata alipopaa kurud heaven akawaambia wwafuasi woote "msitoke mjini, mpaka mvikwe uweza toka juu" hawa 120 walisubiri kweli siku ya pentecoste bado walikua wadau wake.

Lakin pia alikua na Circle ya wale 12 , ambao ni wanafunzi na ndio walikua watenda kazi wake. Kuna time alikua anakaa na hawa 12 pekee anawapa shule ya peke yao kulinga na maandalizi yao aliokua nao.

Halaf ndani ya hao hao 12, alikua nao watatu [3] kama inner circle, hawa ndio hata mambo yalipokua magumu hakua anaona shida kuwaeleza na ndio alikua anawachukua kusaidiana nao mambo confidential. Mfano kabla ya kusubiwa akawabeba hawa wa 3 kwenda nao kusali na aka open up mambo ambao asingeweza kuwaambia wengine 12, kuwa "roho yangu ina huzuni kiasi cha kufa" twendeni kufanya maombi.

So kwenye leadership lazima lazima uwe na close confidants wako ambao unawajua kabisa hawa iwe jua iwe mvua hawaniachi.

Lissu needs this.

Kwa sasa Tanzania inahitaji activists Wapya wenye IQ nzuri na wenye maono.

Kikwete ameanza kuitawala mifumo ya siasa tangu 1980s mpaka Leo 2025 anajipigia tu anavyotaka

Kwahiyo kukabiliana na MTU Kama kikwete unahitaji ujipange kimkakati na sio Kama lissu anavyofanya siasa zake hivi.
 
Utashambuliwa lakini ndio ukweli.

Vita inahitaji silaha zote na akili zote.
Ukienda vitani na akili moja lazima upigwe mapema sana.

Ulichokisema ndio ilipo Tofauti ya Mbowe na watu wengine huko CDM.
Ndipo ilipo tofauti ya JK na watu, ndio maana kila siku anaibuka mshindi.

Mfano Kabudi, yeye anajua alivyosoma darasani shuleni na kanisani sasa ukimleta kwenye dunia ya fujo lazima apigwe.
Ndio maana wale Wakenya wa Korosha walitupiga kitoto, maana unataka kutumia akili za darasani kufanya biashara na wahuni wenye akili zote, darasani na kitaa.

mitaa ya Khartoum Sudani.
Lumumba elfu 7, mnakuja mbio JF kuiaminisha jamii propaganda ambazo hata watoto wa std 4 wanazijua
 
Akitoka ni kuendelea tu wala hakuna cha reform, maana wakati yupo ndani campaign yake inaendelezwa na : ccm, Mahakama, Police, na vyama vyote vya siasa bila kujua.
 
1. Lisu ni jasiri lakini asiyetumia Akili. Ni kweli Lisu ana akili lakini katika upande wa sheria lakini katika utawala na mambo ya siasa kidogo anatumia mihemko kuliko Akili
Kutumia akili ndio kufanya kitu gani cha upekee? Siasa za TZ ni dhidi ya chama tawala kama uko upinzani, ni mwanasiasa gani aliyetumia akili mbele za CCM akafanikiwa? Huyo anafaa kuwa mfano bora kwa Lissu kumfuata. Kama una mifano tafadhali.
 
Kwa sasa Tanzania inahitaji activists Wapya wenye IQ nzuri na wenye maono.

Kikwete ameanza kuitawala mifumo ya siasa tangu 1980s mpaka Leo 2025 anajipigia tu anavyotaka

Kwahiyo kukabiliana na MTU Kama kikwete unahitaji ujipange kimkakati na sio Kama lissu anavyofanya siasa zake hivi.
Hao wapya watatoka wapi sasa kama wasipoandaliwa na hawa waliopo. Acha tu akina Lissu waendelee na waliopo watajifunza kwa makosa yao
 
Back
Top Bottom