Baada ya Lundenga kukemea Matusi ya Mange, Wizara ya mambo ya ndani na Jeshi la Polisi latoa onyo

teh teh teh...
ROHO yake imemsuta...
kaamua kufuta post zake zote..!

Sasa yeye anafikiri kuwa anaweza kupoteza ushahidi kwa kufuta post zake katika karne hii ya sayansi na teknolojia.

Hayo ni mawazo primitive sana .
 
Halafu anapewa kichwa sychophants wenzake.

Halafu unaweza ukakuta anafikiri kuwa US basi ana immune ya kisheria.Ignorance ni mbaya sana
Mwambie akuulize kulichokupata baada ya kushupalia mtandaoni uoneshwe alipo mwamunyange
 
Hapa linakuja suala la jurisdiction kisheria, kama alichofanya uyo dada ni kosa ndani ya sheria za sehemu usika basi anaweza kushitakiwa uko uko alikofanya ilo kosa kwa maana ya Marekani anapoishi, ila kama sio kosa uko au ni kosa ila halina mlalamikaji uko aliko basi hataendelea kuwepo bila kushitakiwa mpaka apate mlalamikaji ndani ya marekani ikiwa ni kosa ndani ya nchi usika.
 
Zinaweza kuwepo. Kumbuka yule dogo aliye publish kwamba Jenerali Mwamunyange sijui kafanywaje fanywaje na amepelekwa nje ya nchi, alidakwa na anaendelea na kesi pale Kisutu. Sheria zipo na zinafanya kazi kama kawaida.

Sheria zipo ila hazifanyi kazi kama kawaida..zingekuwa zinafanya kazi kama kawaida nilitegemea huyu mama angekuwa anapest uchafu wake akiwa rumande.
 
Acheni upuuzi nyie...how comes mnamshabikia mtu mpuuzi kama huyo kichaa......I will deal with her ....she has to learn the hard way
 
Acheni upuuzi nyie...how comes mnamshabikia mtu mpuuzi kama huyo kichaa......I will deal with her ....she has to learn the hard way
Hatumshabikii lakin ukichokoza mzinga wa nyuki unategemea nini!! Mshtaki usimshtaki ashakuchafua, tell ur young sis to mind her own business for the sake of ur reputable family. SIMPLE!
 
Hatumshabikii lakin ukichokoza mzinga wa nyuki unategemea nini!! Mshtaki usimshtaki ashakuchafua, tell ur young sis to mind her own business for the sake of ur reputable family. SIMPLE!
who is my young sisy wewe...unakurupukia tu watu kwenye social media bila kujua

Ni ukichaa wa hali ya juu kushabikia upuuzi wa huyo mwanamke......of course ni retarded brains wanaoweza kufanya mambo kama hayo........why should you tukana mtu at first place....that's ujinga wa hali ya juu....ni sawa na vichaa wanaokimbizana uchi
 
huyo hana haja ya kufuata sharia ya mahakamani...ni bush law tu inaweza ku apply
 
Huyu bidada mwisho wake utakuwa mbaya..Siku atatua tu kwenye mikono ya vichaa wamfanye kitu mbaya
Hili la kuwa na mwisho mbaya halina shaka kwa huyu Mange.
Ipo siku ataingia kwenye eneo la Penalty la watu, ndipo atapokumbushwa yote hayo.
Hana mwisho mzuri kwenye maisha yake.
 
Ahsante sana mkuu...This lady has to face justice..whether legal justice or street justice...always anatukana watu
 
Hili la kuwa na mwisho mbaya halina shaka kwa huyu Mange.
Ipo siku ataingia kwenye eneo la Penalty la watu, ndipo atapokumbushwa yote hayo.
Hana mwisho mzuri kwenye maisha yake.
Ajichanganye mara ngap?sidhan kama Ana guts za kuja bongo miaka hii hata kuondoka alifake mtoto anaumwa na alivyofika US akaanza nyodo upya watu waliishililia pass pale O bay Polisi ile tu ilimfanya ajue any time kuna wengine watamtegua kiuno na kuna mwingine alimchapa vibao pale Dar Free Market na Polis alipoenda wakampotezea
 
Hatumshabikii lakin ukichokoza mzinga wa nyuki unategemea nini!! Mshtaki usimshtaki ashakuchafua, tell ur young sis to mind her own business for the sake of ur reputable family. SIMPLE!
Hata akimwambia mdogo wake vado yule ni mtu mzima ana utashi wake anaweza kukubali au kukataa...so unamfuataje mtu mwingine? Mi nafikiri siyo sawa.
 
Hatumshabikii lakin ukichokoza mzinga wa nyuki unategemea nini!! Mshtaki usimshtaki ashakuchafua, tell ur young sis to mind her own business for the sake of ur reputable family. SIMPLE!
Kwa hiyo wewe ukitukanwa kwa kosa la Mdogo wako ni poa?kweli akili ni nywele nyinyi ndio mnampa kichwa mpo nyuma ya key board wakat mwenzenu anajulikana anaishi kama digidigi akija bongo nyinyi mnajiachia
 
Hamna mtu anayempa kichwa, ushauri wa bure tu, kaa mbali na nyuki, mbona hatukani wasiomchokoza, mdogo wake hoyce alianza kumtukana mange na ukoo wake, kibao kimerudi wanalialia. Hoyce anza kumkanya mdogo wako, amtukane adui yake tu akihusisha ukoo basi na nyie tulieni wakat tukisoma siri zenu za ndani.
 
Mdogo wake hoyce alianza kumtukana mange na ukoo wake, inaelekea wewe unadakia mambo kwa juu juu tu, sasa kajibu kwa kutumia B52 wao wanalalamika. Namshaur hoyce aanze kumkanya mdogo wake kwanza sbb yeye na huyo mange ni mabingwa huko insta.
 
Wewe pia kumbe ni mjinga hivyo...wewe ukitukanwa na mdogo wa mtu na wewe unaanza kumtukana dada yake...hio ni akili au matope?

Alafu wewe kichaa akikukuta unaoga akakuchukulia nguo wewe ukaanza kumkimbiza ukiwa uchi na ukaanza kupiga kelele kwa watu wote wakuone ukiwa uchi...nani ni kichaa kati yako na yule aliyechukua nguo?

Alafu bado mpo humu mnamuona huyo mpuuzi yuko sahihi......Jiulize huyo dada ameshatukana watu wangapi...is that how blogging is supposed to be?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…