Kama jambo lina uzito sana kwa upande wa serikali, na kama nchi aliyopo huyo Mtanzania ina "extradition treaty" (mkataba wa kurudishiana wahalifu/washtakiwa) na Tanzania, mtu huyo anaweza kurudishwa Tanzania kushtakiwa/kufungwa.
Tanzania ina extradition treaty na Marekani, hivyo Mtanzania akifanya uhalifu na kukimbilia Marekani (au akiwa Marekani na kufanya uhalifu Tanzania) na Mmarekani akifanya uhalifu na kukimbilia Tanzania (au akiwa Tanzania na kufanya uhalifu Marekani) extradition treaty inaruhusu mtu huyu kurudishwa Tanzania/Marekani kushtakiwa/kufungwa.
Nchi ambazo zina extradition treaty na Marekani hizi hapa
List of United States extradition treaties - Wikipedia, the free encyclopedia