Hana nywele zake za asili mpaka ana vaa katani kichwani?
hivi huwa anatukanaga nini maana mi najua matusi hayajai kurasa tatu huwa ana matusi mapya ama ni haya ya kawaida ama ni kashfa ama anasemaga nn ni wapi naweza kuta matusi yake nikaome nione na miemange huwa hatukani mtu bila sababu..ukimuanza ...anamaliza mbaya...
ukawa hawatamsahau...😛😀
Kama hizi.............?Hana nywele zake za asili mpaka ana vaa katani kichwani?
kwani alimwambiaje Hoyce?!
!
Huyu huwa anatukana hadi marehemu huyu. Hachagui huwa anatukana mno. Huyu dada ana vidole vichafu mno aisee daaah. Ila huyu Temu Hoyce aisee alimchafua mno.
Duh,sasa kwanini afanye yote haya? Au kuna matatizo mengine ya kisaikolojia watu wanayo tu na yashakuwa chronicSakata la Kuchafua watu kupitia mitandao lililofanywa na blogger Mamnge Kimambi linazidi kuingia katika hatua nyingine baada ya mtoto wa mfanyabiashara wa Zambia Lawrance Sikutwa kudai kuwa hana Account Instar-gram na familia yake kudhamiria kuchukua hatua za kisheria kwa kuchafuliwa na blogger huyo kwenye mitandao ya kijamii bila sababu yoyote ya msingi
Blogger huyo aliweka katika akaunti yake mawasiliano fake kwa jina la Salima-sikutwa akijidai kwamba ni mawasiliano yake kumbe alitengeneza akaunti fake na kujifanya kuwa ni mtoto wa Lawrance Sikutwa.
Tabia hii amekuwa nayo sana akifanya hivyo kwa watu wengi.Alishawahi ku-fake akaunti na kujifanya ni ya hoyce na anafanya hivyo kwa watu wengi. Yote haya ni ya nini?
Ben brodah!!Duh,sasa kwanini afanye yote haya? Au kuna matatizo mengine ya kisaikolojia watu wanayo tu na yashakuwa chronic
Her condition can be treated by psychiatrist,i guess!
Hizi dramma zoote si bure.
kwani alimwambiaje Hoyce?
Mange si ndo yule aliyeshea bwana yeye na mama yake na dada yake?
yule bwana sijui aliitwa Kim??
Ben brodah!!
Don't even waste your time with Mange issues.
Umesahau alikuwa anamahusiano na Kim, and funny enough mtu mmoja wakatembea nae yeye na ndugu zake? unadhan kuna utimamu wa akili apo?
Halafu eti alidiriki kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia CCM!

what i have learn in this life, some people are here to cause chaos and not to make this world a happy place to live. Usimtegemee mtu ambaye hata maisha yake ya ndoa ni matangazo kwenye mitandao aje amshauri mtu kwa hekima.Duh ,This is a serious case.So disguisting...........!
Unajua kwa mtu mwenye akili ya kawaida tu ambaye ni decent kuna maneno hupaswi kutumia in public.Hata kama hujaenda shule au hauna exposure yoyote lakini common sense tu inakukataza kusema au kufanya matendo fulani
Ukiona watu wanashauri wengine kutafuta wanaume wenye hela badala ya kuwashauri walinde utu wao na wajijenge kujitegemea wao binafsi ujue mtu huyo ni mchafu asiye na staha yoyote.
Ni mtu asiyeelewa chochote kuhusu utu.Kwake pesa tu.Ni mtu anayeweza kufanyiwa lolote au unaweza kumfanya lolote ilimradi ume-bargain nae pesa tu.
To make it worse unaandika kama vile unatoa lecture ya maana kwenye "World Economic Forum" .Unafundisha watu jinsi ya kutumia miili yao kupata pesa badala ya jinsi ya kutumia brain yao na utu wao kujijenga binafsi na kumrudishia mwenyezi Mungu sifa na utukufu wake
Mtu huyo utakuta anatukana watu decent wanaofanya kazi kwa bidii kwa kutumia elimu na talent zao .
Kweli hakuna Utimamu.Ni Psychiatric Case !
Hahaha ukawa wana hasira nae....mange huwa hatukani mtu bila sababu..ukimuanza ...anamaliza mbaya...
ukawa hawatamsahau...[emoji14]😀
Tena itakuwa wanarefresh page yake mara kwa mara kupata post mpya [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji6]Kwi kwi kwi...sikujua kuwa JF members wengi ni followers wa binti wa Kimambi....
Kumbe mnasoma vizuuuuri