Baada ya Lundenga kukemea Matusi ya Mange, Wizara ya mambo ya ndani na Jeshi la Polisi latoa onyo

Mkuu are you serious, huyu ndo mange mwenyewe! Yesuuuu
 
Hana nywele zake za asili mpaka ana vaa katani kichwani?
mange.jpg
 
mange huwa hatukani mtu bila sababu..ukimuanza ...anamaliza mbaya...
ukawa hawatamsahau...😛😀
 
!
!
Huyu huwa anatukana hadi marehemu huyu. Hachagui huwa anatukana mno. Huyu dada ana vidole vichafu mno aisee daaah. Ila huyu Temu Hoyce aisee alimchafua mno.
kwani alimwambiaje Hoyce?
Mange si ndo yule aliyeshea bwana yeye na mama yake na dada yake?
yule bwana sijui aliitwa Kim??
 
Sakata la Kuchafua watu kupitia mitandao lililofanywa na blogger Mamnge Kimambi linazidi kuingia katika hatua nyingine baada ya mtoto wa mfanyabiashara wa Zambia Lawrance Sikutwa kudai kuwa hana Account Instar-gram na familia yake kudhamiria kuchukua hatua za kisheria kwa kuchafuliwa na blogger huyo kwenye mitandao ya kijamii bila sababu yoyote ya msingi

Blogger huyo aliweka katika akaunti yake mawasiliano fake kwa jina la Salima-sikutwa akijidai kwamba ni mawasiliano yake kumbe alitengeneza akaunti fake na kujifanya kuwa ni mtoto wa Lawrance Sikutwa.

Tabia hii amekuwa nayo sana akifanya hivyo kwa watu wengi.Alishawahi ku-fake akaunti na kujifanya ni ya hoyce na anafanya hivyo kwa watu wengi. Yote haya ni ya nini?
Duh,sasa kwanini afanye yote haya? Au kuna matatizo mengine ya kisaikolojia watu wanayo tu na yashakuwa chronic

Her condition can be treated by psychiatrist,i guess!

Hizi dramma zoote si bure.
 
Ben brodah!!
Don't even waste your time with Mange issues.
Umesahau alikuwa anamahusiano na Kim, and funny enough mtu mmoja wakatembea nae yeye na ndugu zake? unadhan kuna utimamu wa akili apo?
 
Duh ,This is a serious case.So disguisting...........!

Unajua kwa mtu mwenye akili ya kawaida tu ambaye ni decent kuna maneno hupaswi kutumia in public.Hata kama hujaenda shule au hauna exposure yoyote lakini common sense tu inakukataza kusema au kufanya matendo fulani

Ukiona watu wanashauri wengine kutafuta wanaume wenye hela badala ya kuwashauri walinde utu wao na wajijenge kujitegemea wao binafsi ujue mtu huyo ni mchafu asiye na staha yoyote.

Ni mtu asiyeelewa chochote kuhusu utu.Kwake pesa tu.Ni mtu anayeweza kufanyiwa lolote au unaweza kumfanya lolote ilimradi ume-bargain nae pesa tu.

To make it worse unaandika kama vile unatoa lecture ya maana kwenye "World Economic Forum" .Unafundisha watu jinsi ya kutumia miili yao kupata pesa badala ya jinsi ya kutumia brain yao na utu wao kujijenga binafsi na kumrudishia mwenyezi Mungu sifa na utukufu wake

Mtu huyo utakuta anatukana watu decent wanaofanya kazi kwa bidii kwa kutumia elimu na talent zao .

Kweli hakuna Utimamu.Ni Psychiatric Case !
 
Halafu eti alidiriki kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia CCM!

CCM ni chama cha hovyo Sana.
hata Kama angegombea huko ni sawa tu.
 
Duh ,This is a serious case.So disguisting...........!

Unajua kwa mtu mwenye akili ya kawaida tu ambaye ni decent kuna maneno hupaswi kutumia in public.Hata kama hujaenda shule au hauna exposure yoyote lakini common sense tu inakukataza kusema au kufanya matendo fulani

Ukiona watu wanashauri wengine kutafuta wanaume wenye hela badala ya kuwashauri walinde utu wao na wajijenge kujitegemea wao binafsi ujue mtu huyo ni mchafu asiye na staha yoyote.

Ni mtu asiyeelewa chochote kuhusu utu.Kwake pesa tu.Ni mtu anayeweza kufanyiwa lolote au unaweza kumfanya lolote ilimradi ume-bargain nae pesa tu.

To make it worse unaandika kama vile unatoa lecture ya maana kwenye "World Economic Forum" .Unafundisha watu jinsi ya kutumia miili yao kupata pesa badala ya jinsi ya kutumia brain yao na utu wao kujijenga binafsi na kumrudishia mwenyezi Mungu sifa na utukufu wake

Mtu huyo utakuta anatukana watu decent wanaofanya kazi kwa bidii kwa kutumia elimu na talent zao .

Kweli hakuna Utimamu.Ni Psychiatric Case !
what i have learn in this life, some people are here to cause chaos and not to make this world a happy place to live. Usimtegemee mtu ambaye hata maisha yake ya ndoa ni matangazo kwenye mitandao aje amshauri mtu kwa hekima.
Imagine taasis ya ndoa ilivyo na usiri lkn kutwa yeye kutangaza siri za ndoa yake, yaani mumewe akinunua hata pant mpya tu utaikutemo kaitupiamo kwenye blog..... utegemee nini toka kwa mtu kama huyu?
 
Mara nyingi sana najaribu kuyachukia maneno ya Mange lakini nashindwa kwa sababu Mange ni "kiwakilishi" cha jamii yetu ya vijana wa sasa, bad enough wanawake kwa wanaume!!

Huko kwenye I (instagram) kuna page nyingi sana ambazo zote kwa namna moja au nyingine zinafuata nyayo za Mange!! Hizo page zipo Maalum kwa ajili ya kuchafuana kwa Matukio ya ukweli na uwongo! Hii sio sawa kabisa!!! Kama tunachukia anachofanya Mange nadhani it's time basi hii mambo za double standards tuachane nazo vinginevyo watakao kuwa sehemu mbaya after all this is said and done ni vizazi vyetu (watoto wetu, Ndugu, Jamaa na Rafiki zetu pia)!!

***Wazee wetu walisema "Ukimchekea Nyani utavuna Mabua"!!
 
Mange ni dada mmoja veeery amazing. . . Nyie wenyewe hapa mnamsema vibaya but thats very okay.. . .Akitukanwa yeye na kuwekwa picha za chupi chafu kuambiwa ni zake its veeery okay. . . . .Kuna uzi nilisoma humu humu watu wanamtukana hadi baba yake aliyekufa but thats veeery okay. . . Yeye sasa akiamua kujibu ndo anakuwa kichaa na mtu mbaya duniani hakuna. . .

What I love about her ni kuwa she is being herself. . Hahitaji fake account kumnyoosha mtu. . .Na akitukanwa huwa anafight back kwa kiasi alichofanyiwa. .Ukimtukania familia yake lazma ataibua ya familia yako. .Ukimtukania babake atakutukania babako. . .

Sidhani kama huwa anaamua tu kufanya anayofanya. Wengi huwa wanamuanza.....But ndo hivyo ana damu kama ya Wema. . Akitukanwa nobody care, mashabiki wake wakiamua kumtetea kila mtu anakuja juu kuwa wema anawatuma.....

NAJISKIA KUTUKANAAAAA..
WATUKANEE..
NIWATUKANEEEE...?

Ney bana. . Hahaha
 
mange huwa hatukani mtu bila sababu..ukimuanza ...anamaliza mbaya...
ukawa hawatamsahau...[emoji14]😀
Hahaha ukawa wana hasira nae....

Huyu dada ilibidi nimu-unfollow kipindi cha kampeni maana alizidi kashfa...baada ya kampeni nikamfollow fasta maana ningepitwa na umbea wa mjini
 
Back
Top Bottom