Baada ya Lundenga kukemea Matusi ya Mange, Wizara ya mambo ya ndani na Jeshi la Polisi latoa onyo

Baada ya Lundenga kukemea Matusi ya Mange, Wizara ya mambo ya ndani na Jeshi la Polisi latoa onyo

Hoyce is doing a great job yenye impact positive kwa jamii yetu

Yeye all he can do is to kumshauri that hoe septum jinsi ya kubadili wanaume

Typical hoer behavior

Afu kuna watu wanamuongezea kichwa kuwa she is bright hahahaaaaaaa
Wonders shall never end...AF mwanamke ambae anawashauri wenzie kupata mabwana wa maana huwa namuona kama anatamani kuwa changudoa ila ujasiri wa kujipanga kwenye macasino hana
 
Anaweza kuchukuliwa hatua za kisheria.

Vilevile jalada likifunguliwa polisi na TCRA hatua za kisheria zitachukuliwa

Hapo sheria ya Marekeni Lazima ihusike sio rahisi hivyo Maana yeye anaandika akiwa huko, au la mpaka kumsubiri akirudi
 
Miss Tz mwambie mdogo wako aache kutukana watu mitandaoni, ilivyokuuma wewe ndivyo inavyowauma wenzio. Na kwa mange ukimchokoza jiandae kung'atwa, hata ukishtaki tayari ameshakuanika vibaya na sasa tunajua kuwa kumbe uliliwa tigo kha!!!
Hivi ulimwomba sorry richa adhia kwa kumbagua waziwazi kisa rangi yake???
Mmmmh
Mdogo wake ana matusiiiiiiiiiiiiiiiii mange haoni ndani
 
Hamna mtu anayempa kichwa, ushauri wa bure tu, kaa mbali na nyuki, mbona hatukani wasiomchokoza, mdogo wake hoyce alianza kumtukana mange na ukoo wake, kibao kimerudi wanalialia. Hoyce anza kumkanya mdogo wako, amtukane adui yake tu akihusisha ukoo basi na nyie tulieni wakat tukisoma siri zenu za ndani.
kwa hiyo mnahalalisha mahakama za matusi. mtu akikutukania ndugu yako na wewe mtukanie ndugu zake. huu ni upungufu wa uwezo wa kufikiri na akili za namna hii ni tatizo ktk ulimwengu wa leo wa watu wastaarabu. tujiongeze.
 
Kwi kwi kwi...sikujua kuwa JF members wengi ni followers wa binti wa Kimambi....
Kumbe mnasoma vizuuuuri
 
Afu kuna watu wanamuongezea kichwa kuwa she is bright hahahaaaaaaa
Wonders shall never end...AF mwanamke ambae anawashauri wenzie kupata mabwana wa maana huwa namuona kama anatamani kuwa changudoa ila ujasiri wa kujipanga kwenye macasino hana
hata akijipanga kwenye macasino hata pata wateja,,bibi amekongoroka hata nyama hana
 
Hatumshabikii lakin ukichokoza mzinga wa nyuki unategemea nini!! Mshtaki usimshtaki ashakuchafua, tell ur young sis to mind her own business for the sake of ur reputable family. SIMPLE!
Au niww mbona unatetea mambo ya kipuuzi
 
Huyu Mange ni hii hii serikali imemlea hadi akafikia kilele cha matusi,
ni kwanini wanamfuga na bila soni wanamchukua kupiga kampeni.
Mange hafai katika jamii ya wastaarabu labda akaishi na wanyama huko msituni.
Sakata la Kuchafua watu kupitia mitandao lililofanywa na blogger Mamnge Kimambi linazidi kuingia katika hatua nyingine baada ya mtoto wa mfanyabiashara wa Zambia Lawrance Sikutwa kudai kuwa hana Account Instar-gram na familia yake kudhamiria kuchukua hatua za kisheria kwa kuchafuliwa na blogger huyo kwenye mitandao ya kijamii bila sababu yoyote ya msingi

Blogger huyo aliweka katika akaunti yake mawasiliano fake kwa jina la Salima-sikutwa akijidai kwamba ni mawasiliano yake kumbe alitengeneza akaunti fake na kujifanya kuwa ni mtoto wa Lawrance Sikutwa.

Tabia hii amekuwa nayo sana akifanya hivyo kwa watu wengi.Alishawahi ku-fake akaunti na kujifanya ni ya hoyce na anafanya hivyo kwa watu wengi. Yote haya ni ya nini?
 
Wiki iliyopita kupitia mtandao wa Instagram,Blogger Mange Kimambi alimshambulia kwa matusi Aliyekuwa Miss Tanzania Hoyce Temu kwa kisa ambacho hata hakihusiani nae.Vilevile katika kashfa na tuhuma hizo walihusishwa hata watu wasiohusika katika ugomvi wa Mange na Ndugu yake Hoyce kinyume na sheria.

Hoyce Temu alieleza kusikitishwa kwake na maneno ya kashfa yasiyokuwa na chembe ya ukweli yaliyoelekezwa kwake na blogger huyo

Wadau mbalimbali walitoa maoni yao akiwepo Mratibu wa Miss Tanzania Hashim Lundenga aliyelaani vikali tabia hiyo iliyofanywa na Blogger huyo kuchafua majina ya watu kwa kashfa na tuhuma za uongo kwa malengo yasiyoeleweka.

Alisema inasikitisha kuona mtu ambaye anaisaidia jamii kwa hali na mali akitungiwa kashfa za uongo na kuchafuliwa jina pasipo sababu yoyote ya msingi.

Vilevile waziri wa mambo ya ndani ameonya kuwa Jeshi la polisi litachukua hatua kali bila huruma na bila kujali mhusika alipo kwa wale wote wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya huku msemaji wa jeshi hilo akitoa msimamo mkali dhidi ya wale wote wanaotumia mitandao vibaya.

Amewataka wote ambao wanachafuliwa kwa njia ya mitandao waripoti TCRA au jeshi la polisi kwa hatua kali bila kujali jiografia ya makazi ya wahusika au mipaka.
Hivi mange anakuwaga mdudu gn huyo?
 
Mtu ambaye ana uwezo wa kukaa chini na kuandika kurasa 3 zimejaa matusi mwanzo mwisho lazima medula oblangata yake haijakaa sawa au dishi limebadili uelekeo linashika channel tofauti... Sio mzima ajuza yule!
 

Attachments

  • mange1.jpg
    mange1.jpg
    72.4 KB · Views: 21
Hana nywele zake za asili mpaka ana vaa katani kichwani?
 
Back
Top Bottom