1. Kwa diaspora , poleni sana mlikuwa mnashadadia sana sana maandamano ya fujo yatokeee mjifariji huko kwenye barafu kuwa mna ushawishi kwa hivyo vi send wave zenu na remitly za dola 30 mpaka 100 sasa ngoma imebuma rasmi.
2. Mlikuwa na katoto kajinga kanajifanya kamehack systems za BOT , Central goverment na sehemu zote nyeti tarehe 1 anazima na hakutakuwa na malipo yeyote tena Tanzania, WAKAAMINI NA YALIKUWA WANASHANGILIA KWELI utadhani ni rahisi kama kutoa mimba ya mchepuko, kinachosikitisha wengine tulidhani wana exposure wangedundua huo ujinga mapema lakini wapi ,
NDO DIASPORA WANAYOTAKA URAIA PACHA AHAAAA MZIGO TU KWA TAIFA ( Mzigo kwa kuwa na kelele nyingi akili kidogo mchango wa kifedha mdogo sana) hamnunui hata nyumba za NHC tu basi tuwaite wawekezaji au hata UTT hatusikii diaspora wakiwa na contribution ya 1% badala yake mitaji inatoka humu humu ndani bora hata wakinga wakulima wa viazi wa njombe wamechanga bilioni 30 mtaji wa benki yao, wachimbaji wadogo wa madini wamefungua benki yao mtaji bilioni 300 michango yao, Diaspora tukiwaita yote sidhani kama tutapata hata bilioni 3 ? watatujia na Nike na vimiwani vyao tu,
3. Mwisho wanaoshangalia sana mabaya ya Tanzania tuwaangalie sana tuwafanyie due diligence wanapoingia Tz tuchuje makapi mapema tumejifunza October 29 Watz wenzetu walisambaza sana video mbaya mbaya tu