Baada ya maandamano ya D9 kufeli habil atakuja na story gani tena?

Baada ya maandamano ya D9 kufeli habil atakuja na story gani tena?

Sawa we si umesema walimpigia kura uyo mama enu adi saa 5 asubuhi...basi acha longo longo leta picha apa
Picha wakipiga kura au mkichoma vituo? Hueleweki sisi hatukwenda kupiga picha tulienda kupiga kura bwashee! Ila mlivyoanza kuchoma ndo tukaanza kuchukua picha unazitaka?
 
Picha wakipiga kura au mkichoma vituo? Hueleweki sisi hatukwenda kupiga picha tulienda kupiga kura bwashee! Ila mlivyoanza kuchoma ndo tukaanza kuchukua picha unazitaka?
Leta picha za foleni ndefu kwenye vituo vya kupigia kura acha longo longo
 
Yaani wewe jamaa bana!Mbona watu mnajitoa ufahamu kiasi hiki lkn??
1.Kwamba hujui kwa nini watu waliandamana na zile fujo zilisababibishwa na nini??
2.Unasema hupendi fujo: Je unapenda watu wanavyotekwa na kupotezwa bila taarifa na serikali ina kaa kimya??Au kwa sababu wewe au ndugu yako wa karibu hayajamkuta ili ujue uchungu walionao??
3.Et unalinganisha uchaguzi kati ya Lowassa na Magu na huu wa sasa na matokeo yake.Hivi kweli;Lowassa watu walifanya uchaguzi kwa kiasi chake ndo maana hata tofauti ya idadi ya kura ilikua reasonable, ni matokeo ya kidemocrasia..watu wakatii..Hiki kilichofanyika juzi ulikiona, ??Kilichofanyika uchaguzi serikali ya mtaa 2024 ulikiona???Hiyo ni haki???
4.Ulitaka watu wafanyeje!!!Waende wapi, wamtafute nani???Mahakamani, polisi wapi kuna msaada hapa TZ??
5.Diaspora huoni ndo walikua safe distance kuongelea mambo ya nchi???Walioongea hapa huoni walichofanywa???
6.Unawalaumu diaspora kwa lipi sasa???Kwa nini mnatumia kichaka cha uzalendo ili kuendelea kubagaza nchi??

7.Et hupendi fujo??Wewe unafikiri kuna binadamu anapenda fujo???Unafikiri DRC, Sudan, Somalia, Gaza, nk wanapenda fujo na vita???
8.Civil disobedience imefanya kazi ulimwenguni na itaendelea kufanyakazi ili kuzishinikiza serikali za kidikteta zisikilize wananchi.
9.South Africa wakati watu wanafanya maasi:wanachoma mashule, wanafanya migomo, mpaka wakaingia vitani - terrorism...unafikiri walikuwa wanapenda???Ni ukandamizaji na kuwabana wananchi, mpaka wakakosa kupumua, mianya yote ya kusuruhisha kidemokrasia inaminywa.
10.Kipindi cha nyuma, hapa Tz tumehifadhi sana viongozi wa vyama vya upinzani vilivyokua vinapigania uhuru au havikubaliani na sera za serikali zao; Utawahukumu kuwa walikimbia nchi na wanaibagaza et sio wazalendo????

Nyie watu msijikate vichwa....usijudge matokeo, tafuta source.
CIVIL DISOBEDIENCE IMEKUWEPO NA ITAENDELEA KUWEPO DUNIANI KAMA HAKI HAZITATENDEKA....NA VITA VITAENDELEA KUPIGANWA TU.HATA HAPA VIONGOZI WETU WAKIENDELEA KUNGENFEUKA - FUJO ZITATOKEA TU TENA, MALI ZITAHARIBIWA TENA NA WATU WATAKUFA TENA KWA MAELFU.
Huo ndo ukweli mchungu wa maisha ya hapa duniani...LABDA HAMA UKAISHI MWEZINI
 
Sisi tu
Kwa Tanzania ya Kifisadi hiyo hata huhitaji uraia pacha ila kufaidika nayo. Unakuja tu na kununua passport kwa laki tano.

Pesa wanazotuma Diaspora kuja TZ ni Trilioni 2.5 kwa mwaka. Hizi ni mbali na miradi waliyo nayo TZ.
Ukiweka na pesa inayozalishwa ndani ni zaidi ya trilioni tatu kwa mwaka. Hiyo pesa ni sawa na bajeti yote ya wizara ya afya.

Sasa kwasababu ni mjinga unaouuza watu wenye impact kubwa kama hiyo. Pole sana.
Mbona tunawajua wengi mumesusa kurudi home baada ya kuwaona mliowacha bongo wamewapiga gape la kimaendeleo. Mfano mdogo angalia kariakoo,magomeni,ilala,Tandika,Temeke,Tanga mjini, Dodoma mjini etc,minara ya magorofa yanayopanda wengi ni wabongo mliyotuacha hii inaleta hasira. Bora mrudi uchumi wa Ughaibuni umeshuka.Hamna mchango wowot
 
Sijawahi kupoteza muda kumsikiliza MPUUZI Habili maana baada ya kusoma humu habari zake nikaona anawalisha watu matango pori na sauti yake ya Magic Voice.
 
Kwa Tanzania ya Kifisadi hiyo hata huhitaji uraia pacha ila kufaidika nayo. Unakuja tu na kununua passport kwa laki tano.

Pesa wanazotuma Diaspora kuja TZ ni Trilioni 2.5 kwa mwaka. Hizi ni mbali na miradi waliyo nayo TZ.
Ukiweka na pesa inayozalishwa ndani ni zaidi ya trilioni tatu kwa mwaka. Hiyo pesa ni sawa na bajeti yote ya wizara ya afya.

Sasa kwasababu ni mjinga unaouuza watu wenye impact kubwa kama hiyo. Pole sana.
Yaani wewe kweli una matatizo kichwani , kwanza Trump kaweka hiyo sheria ili kuwazuia watu kama wewe na ni dola milioni tano ambayo ni bilioni 12 sio triolioni hii inaonyesha unaendesha forklift huko au upo shift ya kufanya usafi restaurant, halafu usisahau wewe umepata ki passport kwa kusingizia ukimbizi either ushoga au kuoa kibibi huko lakini yeye anatarget corporate clients wafanyakazi wataalam wanaolipiwa na mashirika yao sio nyie wakimbizi na sasahivi hizo mnabanwa kweli kweli mpka ukumbuke kwenu Songea au mbulu , nakuhakikishia Diaspora muhimu marekani na Canada hawafiki 150 ulaya sijui sana labda australia nawajua kama 6 ma engineers wa migodi na new zealand wapo ma lecturer kama 2 hivi lakini majority wabeba mabox na kulea wazeee sana sana madereva ma trucks na PSW
 
Sisi tu

Mbona tunawajua wengi mumesusa kurudi home baada ya kuwaona mliowacha bongo wamewapiga gape la kimaendeleo. Mfano mdogo angalia kariakoo,magomeni,ilala,Tandika,Temeke,Tanga mjini, Dodoma mjini etc,minara ya magorofa yanayopanda wengi ni wabongo mliyotuacha hii inaleta hasira. Bora mrudi uchumi wa Ughaibuni umeshuka.Hamna mchango wowot
Ndugu upo sahihi asilimia 1000 nje unaingiza dola 5000 kwa mwezi unatumia dola 4300 saving ni 700 au chini ya hapo , sasa ukiwa unaingiza dola 3000 ndo utaishia kubadilisha Nike na reebok tu kamwe hata kiwanja cha mkopo thubutu , raha ya nje ni kwa masikini sana ambaye hana ajira kabisa tz kwa hiyo aende tena akiwa mdogo akadanye shoga apate PR asome chap chap vyuo vizuri awahi kurudi kabla hajafikisha 40 , nawajua jamaa kibao Canada wanatia Aibu wana miaka 20,30,40 kila siku kusingizia tu hana nyumba kwa sababu kasomesha ndugu zake nani hasomeshi?
 
tafuta watu walioko huko ujue maisha yao ninaongea nikiwa nayajua maisha ya Tanzania, marekani, canada na netherland kwa kuishi wakati nasoma na kufanya kazi kidogo jumla miaka 15 nimerudi bongo 2016 mpaka leo naona tofauti kubwa sanaaaaaa ya kimaisha , sasahivi nina hela mno na ninakua kibiashara kwa kasi sana kuliko enzi nalipwa dola 4000 bi weekly lakini nilikuwa siwezi kusave dola 2000 nikitaka hela mpaka nikachukue line of credit , maisha gani
 
Back
Top Bottom