mhhh mbona umenipa cheo wakati sina cheo ndugu? sawa nakubali naacha kuwasema diaspora lakini na wao waipende nchi waliyotoka hata kama ina mapungufu na yapo kweli tena mengi tusemane humu humu ndani sio kutaka kuichoma nchi huku tunashangilia watadhani hawajaacha ndugu zao bongo banaTuepuka kuleta kauli zenye kuchochea hasira na kuanzisha upya vugu vugu la maandamano. Chonde chonde wanaJF, wanasiasa, viongozi na wanaharakati, tuchukue somo fupi la yaliyotokea MO29. Usiwepo upande wa kujinasibu kwamba umeshinda, bali turekebishe kasoro na malalamiko tuijenge na kuiimarisha Tanzania yetu.
Mh. Amosi Makalla tambua wewe Sasa si karibu mwenezi wa CCM bali mkuu wa mkoa. Kauli zako zitoke kuwa za kichama, propaganda na kubeza bali zijikite kutia matumaini, kuponya majeraha na kuwaleta watanzania pamoja bila kujali vyama.
simshabikii Samia wala CCM , wala chadema, kwangu Magufuli ndo kidogo alinionyesha ana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko bila unafki na kwa magufuli nilikuwa najitokeza kabisa namtetea hata akikosea kwa sababu niliamini alikuwa anakosea sio kwa nia mbaya ni wakati wa utekelezaji tu au mihemko yake. ila sitaki kabisa vurugu kabisa, Samia katiba ilishampa japo na yeye alituchezea faulu dodoma lakini tuwe na utaratibu wa kupelekana kistaarabu, nilimshabikia sana Lowassa na alishinda kweli mbona wafuasi wake hawakuchoma nchi na walikuwa wengi khata humo ccm wangechinjana kama sudan angesema mbwai mbwaiKitu gani kinachokufanya umshabikie Samia Suluhu?
sijui tufanye kama Israel kila mtu apitie JKT miaka 3 ya uzalendo na ukakamavuTatizo la MaGenzi wa bongo ni wafata mkumbo,mtu yoyote akiwaambia waingie barabarani hata kama hawamjui kwa sura wao wanaingia kichwa kichwaa tu ,
Sasa hawana plan na wengi ukiwauliza wanachoamdamana ni nini hawajui!
Kwa kifupi wapo kama manyumbu kule mboga ya Serengeti!!
Ukimsikiliza utajiuliza anaongea kama general wa NSA = National Security Agency ya marekani hao ndo wanaoveride systems nyingi duniani , Lakini manyumbu walimsikiliza sana na kibaya walimwamini mno na kumshabikia alikuwa na followers mpaka elfu 10 wakati anaongea cha ajabu karibu elfu 6 ni diasporaMi nilimwambia habil tapeli
simshabikii Samia wala CCM , wala chadema, kwangu Magufuli ndo kidogo alinionyesha ana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko bila unafki na kwa magufuli nilikuwa najitokeza kabisa namtetea hata akikosea kwa sababu niliamini alikuwa anakosea sio kwa nia mbaya ni wakati wa utekelezaji tu au mihemko yake. ila sitaki kabisa vurugu kabisa, Samia katiba ilishampa japo na yeye alituchezea faulu dodoma lakini tuwe na utaratibu wa kupelekana kistaarabu, nilimshabikia sana Lowassa na alishinda kweli mbona wafuasi wake hawakuchoma nchi na walikuwa wengi khata humo ccm wangechinjana kama sudan angesema mbwai mbwai
Mi nilimwambia habil tapeli
Tunaomba picha za mistari mirefu ya watu wakienda kupiga kura Oktoba 291. Kwa diaspora , poleni sana mlikuwa mnashadadia sana sana maandamano ya fujo yatokeee mjifariji huko kwenye barafu kuwa mna ushawishi kwa hivyo vi send wave zenu na remitly za dola 30 mpaka 100 sasa ngoma imebuma rasmi.
2. Mlikuwa na katoto kajinga kanajifanya kamehack systems za BOT , Central goverment na sehemu zote nyeti tarehe 1 anazima na hakutakuwa na malipo yeyote tena Tanzania, WAKAAMINI NA YALIKUWA WANASHANGILIA KWELI utadhani ni rahisi kama kutoa mimba ya mchepuko, kinachosikitisha wengine tulidhani wana exposure wangedundua huo ujinga mapema lakini wapi ,
NDO DIASPORA WANAYOTAKA URAIA PACHA AHAAAA MZIGO TU KWA TAIFA ( Mzigo kwa kuwa na kelele nyingi akili kidogo mchango wa kifedha mdogo sana) hamnunui hata nyumba za NHC tu basi tuwaite wawekezaji au hata UTT hatusikii diaspora wakiwa na contribution ya 1% badala yake mitaji inatoka humu humu ndani bora hata wakinga wakulima wa viazi wa njombe wamechanga bilioni 30 mtaji wa benki yao, wachimbaji wadogo wa madini wamefungua benki yao mtaji bilioni 300 michango yao, Diaspora tukiwaita yote sidhani kama tutapata hata bilioni 3 ? watatujia na Nike na vimiwani vyao tu,
3. Mwisho wanaoshangalia sana mabaya ya Tanzania tuwaangalie sana tuwafanyie due diligence wanapoingia Tz tuchuje makapi mapema tumejifunza October 29 Watz wenzetu walisambaza sana video mbaya mbaya tu
Anasema madili 26 anayoyajua ya hapa tanzania mengine ya zama za kiza 2006 huko. Kalia sana na kushindwa kula baga aliyoagiza mana mdomo uliparalaizi kwa kujua watu wamekua mamilionea baada ya kustaafu uongoziMi nilimwambia habil tapeli
Ili zikusaidie nini? Vituo vilikuwa vingi Sana kulikuwa hakuna haja ya kupanga mafoleni kama ya miaka ya tisini. Ni kama system ilinusa kitu ili mkilianzisha kazi iwe imeisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na kweli bwana mkaanza saa tano watu washampa mama kura zote...hutaki vimba upasuke.Tunaomba picha za mistari mirefu ya watu wakienda kupiga kura Oktoba 29
1. Kwa diaspora , poleni sana mlikuwa mnashadadia sana sana maandamano ya fujo yatokeee mjifariji huko kwenye barafu kuwa mna ushawishi kwa hivyo vi send wave zenu na remitly za dola 30 mpaka 100 sasa ngoma imebuma rasmi.
2. Mlikuwa na katoto kajinga kanajifanya kamehack systems za BOT , Central goverment na sehemu zote nyeti tarehe 1 anazima na hakutakuwa na malipo yeyote tena Tanzania, WAKAAMINI NA YALIKUWA WANASHANGILIA KWELI utadhani ni rahisi kama kutoa mimba ya mchepuko, kinachosikitisha wengine tulidhani wana exposure wangedundua huo ujinga mapema lakini wapi ,
NDO DIASPORA WANAYOTAKA URAIA PACHA AHAAAA MZIGO TU KWA TAIFA ( Mzigo kwa kuwa na kelele nyingi akili kidogo mchango wa kifedha mdogo sana) hamnunui hata nyumba za NHC tu basi tuwaite wawekezaji au hata UTT hatusikii diaspora wakiwa na contribution ya 1% badala yake mitaji inatoka humu humu ndani bora hata wakinga wakulima wa viazi wa njombe wamechanga bilioni 30 mtaji wa benki yao, wachimbaji wadogo wa madini wamefungua benki yao mtaji bilioni 300 michango yao, Diaspora tukiwaita yote sidhani kama tutapata hata bilioni 3 ? watatujia na Nike na vimiwani vyao tu,
3. Mwisho wanaoshangalia sana mabaya ya Tanzania tuwaangalie sana tuwafanyie due diligence wanapoingia Tz tuchuje makapi mapema tumejifunza October 29 Watz wenzetu walisambaza sana video mbaya mbaya tukweli ujinga ni mzigo. Hivi huoni matatizo mliyonayo mpaka uanze kuishambulia Diaspora?
100%Kwa Tanzania ya Kifisadi hiyo hata huhitaji uraia pacha ila kufaidika nayo. Unakuja tu na kununua passport kwa laki tano.
Pesa wanazotuma Diaspora kuja TZ ni Trilioni 2.5 kwa mwaka. Hizi ni mbali na miradi waliyo nayo TZ.
Ukiweka na pesa inayozalishwa ndani ni zaidi ya trilioni tatu kwa mwaka. Hiyo pesa ni sawa na bajeti yote ya wizara ya afya.
Sasa kwasababu ni mjinga unaouuza watu wenye impact kubwa kama hiyo. Pole sana.
Sawa we si umesema walimpigia kura uyo mama enu adi saa 5 asubuhi...basi acha longo longo leta picha apaIli zikusaidie nini? Vituo vilikuwa vingi Sana kulikuwa hakuna haja ya kupanga mafoleni kama ya miaka ya tisini. Ni kama system ilinusa kitu ili mkilianzisha kazi iwe imeisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na kweli bwana mkaanza saa tano watu washampa mama kura zote...hutaki vimba upasuke.
Nakuambiaje, Serikali imeshinda pakubwa. Kama mnabisha njooni tena siku yeyote mchezee risasi. Eti GenZ wanaogopwa? Nani awaogope? Kwanza hamna akili kabisaTuepuka kuleta kauli zenye kuchochea hasira na kuanzisha upya vugu vugu la maandamano. Chonde chonde wanaJF, wanasiasa, viongozi na wanaharakati, tuchukue somo fupi la yaliyotokea MO29. Usiwepo upande wa kujinasibu kwamba umeshinda, bali turekebishe kasoro na malalamiko tuijenge na kuiimarisha Tanzania yetu.
Mh. Amosi Makalla tambua wewe Sasa si katibu mwenezi wa CCM bali mkuu wa mkoa. Kauli zako zitoke kuwa za kichama, propaganda na kubeza bali zijikite kutia matumaini, kuponya majeraha na kuwaleta watanzania pamoja bila kujali vyama.