mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kinachoendelea kati ya URUSI na UKRAINE, kitatokea tena kati ya CHINA na TAIWAN. Mabeberu wataichokonoa sana CHINA kwa kuitumia TAIWAN kama walivyoitumia UKRAINE. Japo kwa TAIWAN kuona jinsi mabeberu walivyoitosa UKRAINE labda wanaweza kushtuka wasiingizwe choo cha kike kama alivyoingizwa UKRAINE!
Hakuna kitu kinachoikera CHINA kama kuona mabeberu wanavyoivimbisha kichwa TAIWAN kwa kuiuzia silaha kali kali!! Marekani wanajifanya wako bega kwa bega na TAIWAN dhidi ya kitisho cha China. Lakini siku China akisema "enough is enough" akaamua kuichukua TAIWAN kwa nguvu za kijeshi, Marekani hatainua pua yake hapo!! Ila watafurahi sana kuwa wamepata kisingizio cha kuiwekea vikwazo vya kiuchumi ili kuiporomosha kiuchumi CHINA.