Baada Ya 'Machinga' Kukiona cha Mtema Kuni..! Bodaboda Wa Mjini Kati Kaeni Chonjo

Baada Ya 'Machinga' Kukiona cha Mtema Kuni..! Bodaboda Wa Mjini Kati Kaeni Chonjo

Ila mji utapendeza.
Machinga warudi makwao waache kuchafua mji, shughuli ni za kufanya ni nyongi tu sio kazima uwe machinga wanajazana mjini bila sababu za msingi.
mtu ameshika tuboksi twa viberi au nyembe ati yupo mjini ana hustle.
Haha...Ila roba za mbao zitarudi kitaa
 
Labda zizuiliwe Bajaji na si bodaboda, kiukweli boda wanasaidia sana mjini. Utakuta upo kariakoo unataka kuwahi Benji posta ndipo boda wanapotu save
 
Kimeumana Tayari.....Bodaboda na Bajaji Marufuku Kuingia Town Kuanzia Novemba mosi mwaka huu...!
Hivi Mama aliposema Wapangwe ndo Alimaanisha haya Yanayotokes ?
 
Wahenga Wana msemo Wao... 'Mwenzio Akinyolewa Wewe chako Tia Maji'.

Tamko la Kuondolewa Machinga Likiendelea kwa Kasi huku Mabanda Sehemu Mbalimbali Yakiendelea Kuvunjwa Jijini Dar Kwa Mzee Amos Makalla.

Ni Vema Bodaboda wa mjini Kati Wajiandae Kisaikolojia maana Chochote Kinaweza Kutokea..!

Mambo yanaweza kurudi Kama Zamani Yaani boda mwisho ni huko nje Ya mji. ..! Ukikatiza tu basi mgambo Wa Jiji unao ..!!

Ila Yote kwa Yote kutesa Kwa Zamu , mkisikia uchaguzi unakuja fasta huwa Mnapanda Cheo mnakuwa nyinyi ndo Mabosi na msishangae Watoa Matamko wanawapigia Magoti.

...Kazi na Iendelee....!
Tamko la Kuondolewa Machinga Likiendelea kwa Kasi huku Mabanda Sehemu Mbalimbali Yakiendelea Kuvunjwa Jijini Dar Kwa Mzee Amos Makalla.

Ni Vema Bodaboda wa mjini Kati Wajiandae Kisaikolojia maana Chochote Kinaweza Kutokea..!

Huu utabiri umetimia haraka sana
 
Sasa Unaweza Kujiuliza hivi ni kweli Pikipiki mjini Zinaonekana ni Uchafu?
Basi Maduka Yote Yanayouza Bodaboda Yahamishiwe Mabwepande.
 
Back
Top Bottom