kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
- Thread starter
-
- #21
Haha...Ila roba za mbao zitarudi kitaaIla mji utapendeza.
Machinga warudi makwao waache kuchafua mji, shughuli ni za kufanya ni nyongi tu sio kazima uwe machinga wanajazana mjini bila sababu za msingi.
mtu ameshika tuboksi twa viberi au nyembe ati yupo mjini ana hustle.
Tamko la Kuondolewa Machinga Likiendelea kwa Kasi huku Mabanda Sehemu Mbalimbali Yakiendelea Kuvunjwa Jijini Dar Kwa Mzee Amos Makalla.Wahenga Wana msemo Wao... 'Mwenzio Akinyolewa Wewe chako Tia Maji'.
Tamko la Kuondolewa Machinga Likiendelea kwa Kasi huku Mabanda Sehemu Mbalimbali Yakiendelea Kuvunjwa Jijini Dar Kwa Mzee Amos Makalla.
Ni Vema Bodaboda wa mjini Kati Wajiandae Kisaikolojia maana Chochote Kinaweza Kutokea..!
Mambo yanaweza kurudi Kama Zamani Yaani boda mwisho ni huko nje Ya mji. ..! Ukikatiza tu basi mgambo Wa Jiji unao ..!!
Ila Yote kwa Yote kutesa Kwa Zamu , mkisikia uchaguzi unakuja fasta huwa Mnapanda Cheo mnakuwa nyinyi ndo Mabosi na msishangae Watoa Matamko wanawapigia Magoti.
...Kazi na Iendelee....!
Duuusifa kuu ya kiongozi dhaifu,ni kuruhusu matabaka katika jamii.
yule mwamba kipindi anasema machinga waachwe hakuwahi kuwa mjinga.