Baada ya maelezo ya CDF juu ya uraia wa wateule, tunaomba kufahamu uraia wa viongozi wetu

Tuambie kwanza uraia wako wewe.

Mimi ni Mtanganyika asilia, na ninaipenda sana nchi yangu ya Tanganyika. Ndiyo maana Zanzibar nimeitembelea mara moja tu, ingawa nina moango wa kuitembelea tena mwaka huu.
Karibu Zanzibar mkuu ukija njoo nikutembeze zenji
 
Hata hawa watendaji wakuu wa taasisi mbalimbali, ikiwemo hii TANESCO na Uhamiaji nao waangaliwe pia, kwa ufupi taasisi zote za kimkakati hapa nchini mwetu

Wakimbizi wanaturudisha nyuma kimaendeleo
 
Msihangaike na wanasiasa hao ni wanafiki tu mbona tunanuana sana.Makamu wa rais anatokea n hi jirani,majaliwa hana shida.kuna wakuu wa idara wengi siyo raia hasa wanatokea Burundi,Rwanda nk lkn kule Ruvuma hakuna sana shida hiyo bali Kigoma,Musoma,Kagera hili tatizo ni kubwa.kwa bahati nzuri tunawafahamu sana na tunaweza weka mkeka humu ndani
Mkuu weka huo mkeka
 
Wazazi wake. Asili ya wazazi wa mtu ni asili yake pia.

Obama alizaliwa US lakini ana asili yake Kenya pia.

Rishi Sunak ni mzaliwa wa Southampton Hampshire UK na wazazi wa Kihindu wa ukoo wa Punjab. Mama yake akiwa mzaliwa wa Kigoma na baba Nairobi.
Endelea tu kuandika uwongo. Baba ya Fredrick De Klerk alikuwa anaitwa Johannes "Jan" de Klerk na alizaliwa tarehe 22 July 1903 kwenye Kitongoji cha Burgersdorp, Cape Colony, South Africa. Alifariki mwaka 1979

Naye hakuwa na uhusiano wowote na Kenya.

Ukitaka kuwa mwongo jipange vizuri
 
Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe.

Lakini tuanzie kwenye uraia wa viongozi wakuu wa nchi yetu; wale wanne wanaoheshimika na Bashe. Maana wengine anasema hawatambui. Yaani Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu, na naibu waziri mkuu. Uraia wao ukoje??

Sipendi sana rais anavyojinasibisha na uarabu maana ni kama ile syndrome ya US na one drop theory. Ni kulidhalilisha taifa. Makamu wa rais ni mtu wa Kigoma, huko ni mchanganyiko wa wakimbizi. Waziri mkuu yeye anatokea mpaka wa Kusini, kule wamakonde wa TZ na Msumbiji wanatembeleana. Naibu waziri mkuu Huyu nilidhani ni msukuma lakini kuna ndogo ndogo zinakuja juu ya ukimbizi kutoka nchi jilani. Twambieni, na wengine hadi hawa mawaziri.

Bashe tulijadili sana hali yake na mpaka leo inatia utata maana ana nyaraka rasmi zenye maelezo tofauti wakati ni yeye kwa utu uzima wake ndo alizijaza. Hadi kubadili mwaka wa kuzaliwa kila wakati. Yawezekana ni wengi ndani ya wizara zetu.
Niliimba sana hapa RAIA FEKI ....RAIA FEKI ....RAIA FEKI nikaendelea kuimba kua kama kina rostam azizi wasipo uliwa basi ni lazima taifa litaangamia wajinga wakashindwa kunielewa ila kelele zangu zikawagutusha baadhi ya raia feki wakafanya kikao na vibaraka wao cha siri kuwa wajifiche nyuma yani wasijifunue kutetea au kuunga au kupinga hoja yoyote nchini ....ndiyo maana siku hizi mnaona kuna kimya kikuu kutoka kwa ROSTAM AZIZI ,,GSM ..ZUNGU BARESA na wengineo amuwaoni tena kwenye misafara na mikataba au wakitoa hoja yoyote bali wamejificha nyuma wakifanya mamboyao ya kishenzi dhidi ya taifa letu.tumieni akili mtajua kuna ukimya mkubwa sana kwa Raia feki tofauti na siku za mwanzo za samia.
 
Niliimba sana hapa RAIA FEKI ....RAIA FEKI ....RAIA FEKI nikaendelea kuimba kua kama kina rostam azizi wasipo uliwa basi ni lazima taifa litaangamia wajinga wakashindwa kunielewa ila kelele zangu zikawagutusha baadhi ya raia feki wakafanya kikao na vibaraka wao cha siri kuwa wajifiche nyuma yani wasijifunua kutetea au kuunga au kupinga hoja yoyote nchini ....ndiyo maana siku hizi mnaona kuna kimya kikuu kutoka kwa ROSTAM AZIZI ,,GSM ..ZUNGU BARESA na wengineo amuwaoni tena kwenye misafara na mikataba au wakitoa hoja yoyote bali wamejificha nyuma wakifanya mamboyao ya kishenzi dhidi ya taifa letu.tumieni akili mtajua kuna ukimya mkubwa sana kwa Raia feki tofauti na siku za mwanzo za samia.
Kitendo cha mkuu wa majeshi kusema hadharani ni honyo kwa Samia na genge lake la raia feki ....huyu mkuu wa majeshi inaonyesha ni mwenye akili timamu anaweza kuja kufanya kitu kwa ajili ya HAKI NA DHIDI YA DHURUMA
 
Niliimba sana hapa RAIA FEKI ....RAIA FEKI ....RAIA FEKI nikaendelea kuimba kua kama kina rostam azizi wasipo uliwa basi ni lazima taifa litaangamia wajinga wakashindwa kunielewa ila kelele zangu zikawagutusha baadhi ya raia feki wakafanya kikao na vibaraka wao cha siri kuwa wajifiche nyuma yani wasijifunue kutetea au kuunga au kupinga hoja yoyote nchini ....ndiyo maana siku hizi mnaona kuna kimya kikuu kutoka kwa ROSTAM AZIZI ,,GSM ..ZUNGU BARESA na wengineo amuwaoni tena kwenye misafara na mikataba au wakitoa hoja yoyote bali wamejificha nyuma wakifanya mamboyao ya kishenzi dhidi ya taifa letu.tumieni akili mtajua kuna ukimya mkubwa sana kwa Raia feki tofauti na siku za mwanzo za samia.
Hata wewe waweza kuwa ni Raia FEKI pia. Nitajie kabila lako nikuambie asili yako.

Acheni ubaguzi wa rangi na kuchukia matajiri.

Ni mambo gani ya kishenzi Rostam na Bakhressa wanafanya? Yaani kutengeneza ajira na bidhaa through uwekezaji wao ndiyo mambo ya kishenzi?
 
Ujui maana ya raia feki ....hawa tunao wazungumzia ni watu hatari sana kwa taifa....wanajipenyeza kwenye uongozi kwa lengo la kulihujumu taifa ....kuna tofauti wa raia feki wasio na hila na raia feki wenye hila chafu
 
Hujui unachoongea. Nenda kwenye Katiba ukatafute tafsiri ya "Raia wa Tanzania".

Mengine haya ni wivu unaotokana na umaskini. Mtakufa nyakati si zenu kwa kijiba cha roho
 
Raia feki mna tapatapa siku zenu zinahesabika ...swala siyo katiba wala sheria bali ni dhamili ovu ya Raia feki dhidi ya taifa letu .....tunataka kuwe na daraja za uraia siyo mkimbizi anapewa uraia na kuweza kuwa mwanasiasa kwenye nchi yetu
 
Hata wewe ni Raia FEKI. Bisha kwa vielelezo
 
Raia feki wenye kujipenyeza serikali kwa nia ovu ndiyo tunao taka kupambana nao wale feki wasio kwenye serikali wala siasa hatuna shida nao
 
"Watanzania wengi ni watu mbumbumbu"

[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Raia feki wenye kujipenyeza serikali kwa nia ovu ndiyo tunao taka kupambana nao wale feki wasio kwenye serikali wala siasa hatuna shida nao
Hapo mnapoleta double standards ndipo mnaharibu hata jambo jema.

Ukiweka criteria kuwa hizi ni sifa za raia feki, basi zisibague kuwa huyu yuko Serikalini au huyu ni machinga. Sheria I apply equally across-the-board
 
Kuna tofauti ya raia feki asiye gaidi na raia feki gaidi ...hawa tunao wazungumzia hapa ni raia feki wenye ajenda mbaya na chafu kwa kukamata taifa letu na kuweka sheria zao ovu ili kupora haki za wananchi...ajendayao ni kama kufanikisha kubadili sheria za ardhi... pia wana ajenda ya kukwamisha democrasi pia wana ajenda ya kuangamiza yoyote atakaye kuwa na roho ya uzalendo kwa taifa letu.
 
Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe.

Lakini tuanzie kwenye uraia wa viongozi wakuu wa nchi yetu; wale wanne wanaoheshimika na Bashe. Maana wengine anasema hawatambui. Yaani Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu, na naibu waziri mkuu. Uraia wao ukoje??

Sipendi sana rais anavyojinasibisha na uarabu maana ni kama ile syndrome ya US na one drop theory. Ni kulidhalilisha taifa. Makamu wa rais ni mtu wa Kigoma, huko ni mchanganyiko wa wakimbizi. Waziri mkuu yeye anatokea mpaka wa Kusini, kule wamakonde wa TZ na Msumbiji wanatembeleana. Naibu waziri mkuu Huyu nilidhani ni msukuma lakini kuna ndogo ndogo zinakuja juu ya ukimbizi kutoka nchi jilani. Twambieni, na wengine hadi hawa mawaziri.

Bashe tulijadili sana hali yake na mpaka leo inatia utata maana ana nyaraka rasmi zenye maelezo tofauti wakati ni yeye kwa utu uzima wake ndo alizijaza. Hadi kubadili mwaka wa kuzaliwa kila wakati. Yawezekana ni wengi ndani ya wizara zetu.
Huwezi kujua uraia wa mtu kwa hisia. Ni muhimu Uhamiaji ingemjibu CDF, ukimya wa hiyo taasisi unaibua maswali na taharuki zisizokuwa na msingi.
 
Msihangaike na wanasiasa hao ni wanafiki tu mbona tunanuana sana.Makamu wa rais anatokea n hi jirani,majaliwa hana shida.kuna wakuu wa idara wengi siyo raia hasa wanatokea Burundi,Rwanda nk lkn kule Ruvuma hakuna sana shida hiyo bali Kigoma,Musoma,Kagera hili tatizo ni kubwa.kwa bahati nzuri tunawafahamu sana na tunaweza weka mkeka humu ndani
Ruvuma hakuna shida haujasoma historia inatuambia wangoni wote ni wazuru basi wapelekeni Afrika ya kusini .
Mkianza kubaguana mtajikuta wote serikalini sio watanzania .
 
Back
Top Bottom