medsebapol
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 327
- 225
Kuna tangazo la Nyati Cement jamaa wanajaribu kuvunja UKUTA kwa mbinu zote wanashindwa. Ninahisi "very soon" hili tangazo litafungiwa kwauchochezi[emoji832][emoji779]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mjamaa umenivunja mbavu aisee, nilikua na hasira siku nzima ya leoKuna tangazo la Nyati Cement jamaa wanajaribu kuvunja UKUTA kwa mbinu zote wanashindwa. Ninahisi "very soon" hili tangazo litafungiwa kwauchochezi[emoji832][emoji779]
Umeona ee kaka mkubwaWe mjamaa umenivunja mbavu aisee, nilikua na hasira siku nzima ya leo
1111hebu nipe namba zao niwashtue,,,,wasitishe tangazo mpaka opereshen ukuta ipite
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna tangazo la Nyati Cement jamaa wanajaribu kuvunja UKUTA kwa mbinu zote wanashindwa. Ninahisi "very soon" hili tangazo litafungiwa kwauchochezi[emoji832][emoji779]
We jamaa si mchezo!!!! Shikamoo jana na leo!!!Kuna tangazo la Nyati Cement jamaa wanajaribu kuvunja UKUTA kwa mbinu zote wanashindwa. Ninahisi "very soon" hili tangazo litafungiwa kwauchochezi[emoji832][emoji779]
Wameamua kesho mabango yote yataandikwa NYATI CEMENT ili ukuta wao usibomoke hata kwa mabomuhebu nipe namba zao niwashtue,,,,wasitishe tangazo mpaka opereshen ukuta ipite