Baada ya magic FM na ABM sasa ni zamu ya...

Baada ya magic FM na ABM sasa ni zamu ya...

Kuna tangazo la Nyati Cement jamaa wanajaribu kuvunja UKUTA kwa mbinu zote wanashindwa. Ninahisi "very soon" hili tangazo litafungiwa kwauchochezi[emoji832][emoji779]
We mjamaa umenivunja mbavu aisee, nilikua na hasira siku nzima ya leo
 
hebu nipe namba zao niwashtue,,,,wasitishe tangazo mpaka opereshen ukuta ipite
 
Kuna tangazo la Nyati Cement jamaa wanajaribu kuvunja UKUTA kwa mbinu zote wanashindwa. Ninahisi "very soon" hili tangazo litafungiwa kwauchochezi[emoji832][emoji779]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
weee naye mbona hii sedition mnaiwazia ndivyo sivyo?!
 
we jamaaa sio mchezo... ni hatari. hata hii thread yako pia ni uchochezi sasa hivi itaondolewa humu.. nimefurahi sana....
 
hebu nipe namba zao niwashtue,,,,wasitishe tangazo mpaka opereshen ukuta ipite
Wameamua kesho mabango yote yataandikwa NYATI CEMENT ili ukuta wao usibomoke hata kwa mabomu
 
Back
Top Bottom