Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Thanks alot Pasco (Napendelea kukuita hivyo,hili jina geni silipendi).

Binafsi namuelewa sana Mh Paul Makonda kwa jinsi anavyoifanya kazi yake kiufasaha japo kibinadamu yapo baadhi ambayo anateleza kama ilivyo ada ya mimi na wewe kuteleza katika baadhi ya mambo (Tragedy of Miscalculations).Tatizo ni sisi na siyo yeye.

Naunga mkono hoja.
 
Pascal hebu jaribu kumuogopa Mungu.
Yaani unamzungumzia Makonda huyu huyu alotupigia mzee wetu Warioba!
kampiga mzee tena jaji na waziri mkuu mstaafu sa unazani atashindwa nini kutukandamiza wanyonge.
Pascal mada zake sometimes zinachanganya! Kwa kipi alichofanya Makonda awe rais wetu? On my dead body!
 
TZ hatuna udini mkuu usikariri panga pangua toka nyerere...rais anaweza kuwa dini yoyote...ila Makonda hana sifa za kuwa rais
Hii halina ubishi, bora upande ule, baraka zinakuwepo roho zao kunjufu zaidi na wana ubinaadam mwingi. Tulikula maunga ya njano enzi ya nyerere na ngua za kaniki. Kaingia mwinyi maisha mswano. Kaja che Nkapa kaleta ukapa, Kaingia mkwere raha mustarehe. Huyu wa sasa ana mwaka na robo tu mtaani kunanukia jua na. Hapana, bora tuwaachie hawa wenzetu.
 
mayalla nilikuwa nakuheshumu sana , sikutegemea ungeandika utumbo Kama huu. haya mambo ni ya kuandukwa na kina le mutuz.
 
mayalla nilikuwa nakuheshumu sana , sikutegemea ungeandika utumbo Kama huu. haya mambo ni ya kuandukwa na kina le mutuz.
1. Je unasemeaje utajiri mwingi ndani ya muda mfupi kuliko kipato chake Makonda katika cha maisha yake yote?
2. Kwa ufasaha upi kumtangaza Wema kufika kwake baada ya siku mbiliveti ana tuhuma za madawa ya kulevya na baada ya kulipoti anamlaza ndani na baadae kwenda kumpekua eti anakutwa na kisiti kimoja cha bangi. Hiyo muvi kweli Makonda ni mwadilifu. Sio kutaka kuwasaidia watuhumiea wa madawa ya kulevya kusepa. Wema alikuwa mpumbavu gani kuacha bangi kwake huku akijua kuwa kusachiwa kungekuwepo kama ilivyo kawaida unapotuhimiwa ktk jinai ya namna hiyo. Atakuwa aliacha nyumba yake ikiwa safi na watu wa Makonda wakapenyeza kisiti wakati akiwa mahabusu.
Makonda hafai hata chembe.
 
ni kweli kulingana na maoni yako lkn kiukweli tz bado sana kuwa na wapinzani lkn huwez ukampa mknd nch anko magu amekaa kwenye uongoz zaid ya miaka 25 ukitoa umri wa mknd unabakiwa na na miaka 12 ukichukua umr wa ajira na utajiri wa mknd ukatoa umri wa ajira na utajir was anko magu unapata gross loss in account tpic ya income statement bora ata prime minister yuko vizuri
 
Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,

Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.

Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfantia grooming huyo headhunted.

Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli huyu Jamaa atatufaa sana kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea kiukweli kabisa Tanzania itanyooka.

Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, Vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do bila kujijua.

Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za Magufuli.

2025 atatufaa sana. Kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule mama pale, au akampumzishe Musukuma na kumshikisha adabu. Atashinda na kupewa moja ya portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli. Kitendo cha Magufuli kushika nchi, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi. Baada ya Magufuli aje Makonda, na baada ya hapo kule kule mpaka na wengine wawe ni walio wengi! .

Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.

Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.

Paskali.
Mayalla unakunywa pombe gani siku hizi? Au unatumia dozi za mirembe?
Samahani mkuu lakini nna wasi wasi na kichwa chako ikiwa direct, ila kama ni indirect nimekuelewa.
 
Makonda ana kipi special kiasi cha kumuona anafaa?
anza na mwaka wake mmoja wa ukuu wa mkoa ni innovation idea gan iliyowasaidia wananchi zaidi ya siasa za muda mfupi?


Kikwete mbona alikuwa hana kipaji na alikaa mika 10?
 
45g__E6ogzo.jpg
 
Bwana mkubwa aliposema hili jina kikwetu maana yake ni njaa alikuwa na maana kubwa sana, kumbe mimi sikumuelewa vizuri.
 
Paskali, with due respect, kuna mahali hujafikiria kwa makini zaidi. Kwamba "kufuata sheria na kanuni" ndiko kulikoifikisha Tanzania katika hali ilivyo sasa? are you serious? eti kwamba nchi yetu sasa inahitaji "ka-udikiteta" ndipo isonge mbele? Give me a big break.... Mnasema wenyewe msema kweli ni mpenzi wa Mungu, lakini kila siku mnasema ovyo ovyo. Nchi yetu iko hapo ilivyo kwa sababu ya sera fulani tulizotekeleza na/au ambazo tulishindwa kutekeleza. Kama nchi yetu ina shida au iko kwenye umaskini, ni kwa sababu hatukuwa au hatukutekeleza sera sahihi za kuondokana na matatizo hayo. Kama tuna mafanikio, ni kwa sababu tulitekeleza nzuri na zilizofanikiwa. The Principle is called "You reap what we sow". Tuacheni hizi "flawed school of thoughts" tunapoelezea mambo halisi. These things are not fallacies.
 
Back
Top Bottom