Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
We sio mzima Paskali....Pamoja na yote yanayosemwa kumhusu mtu huyu, bandiko hili bado linasimama.
Paskali
Unamsemea bashite au makonda?Pamoja na yote yanayosemwa kumhusu mtu huyu, bandiko hili bado linasimama.
Paskali
Not guilty until proven!. Sifa yake kuu ni uthubutu wa hali lakini sasa ameongeza sifa ya ziada ya perseverance, ustahilivu mkubwa , uvumilivu wa makuu na uking'ang'anizi ambazo ni sifa za kiongozi bora.We sio mzima Paskali....
Bandiko hili limeshakufa, ni kumaanisha kuongozwa na Rais alie na jinai?? Kosa la kugushi, minimum sentensi ni miaka 7, ukijumlisha na hii, tayari ni 2024....plus, kunakipindi ambacho ukitoka jela ndio unaruhusiwa kugombea, sio hapo hapo...kimsingi...nenda katafute mganga wa kienyeji wa kihindi, japo kuhisi hizi fikra zinaweza kuwa +ve
Sizungumzii majina, nazungumzia sifa za uthubutu!.Unamsemea bashite au makonda?
Kama unaona mawazo kama ya Hutu Power na Interahamwe hayana hatari yoyote, basi sina cha kukusaidia, baki ulivyo.Mkuu Rafa, mawazo haya yana hatari gani?.
Paskali.
Baada ya Makonda kuvamia Clouds Media siku ya Ijumaa usiku, then natafakari sana jinsi nilivyomkubali huyu jamaa.
Kiukweli Makonda asipotumbuliwa leo, then hawezi kutumbuliwa tena na tatizo sasa litakuwa sio Makonda bali tatizo ni...
Paskali.
Unatia huruma!! Nilikuonya kukimbilia verified ID hukuelewa!! Sifa za kitambo kidogo zikakuteka now unadhalilika!!Baada ya Makonda kuvamia Clouds Media siku ya Ijumaa usiku, then natafakari sana jinsi nilivyomkubali huyu jamaa.
Kiukweli Makonda asipotumbuliwa leo, then hawezi kutumbuliwa tena na tatizo sasa litakuwa sio Makonda bali tatizo ni...
Paskali.
Kunasiku nilikuambia wazi unachotafuta utakipata, acha kuchumia tumbo fikiri kwa usahihi!!!Mkuu Uponjonchiman, nimekuleta hapa ili kukuonyesha tunavyomsupport dogo, ila sifa kubwa ya mwandishi yoyote wa habari ni kutafuta Ukweli na kuusema Ukweli no matter what.
Paskali
Angalau kidogo japokuwa ulichelewa kupata ufahamu ila walau akili na fikra zako zimeanza kurudi na kukaa sawaBaada ya Makonda kuvamia Clouds Media siku ya Ijumaa usiku, then natafakari sana jinsi nilivyomkubali huyu jamaa.
Kiukweli Makonda asipotumbuliwa leo, then hawezi kutumbuliwa tena na tatizo sasa litakuwa sio Makonda bali tatizo ni...
Paskali.
Kia hiyo umeamua kubadilisha gear angani juu kwa juu kama interchange za tazara na flyover za ubungo mataa[emoji613] [emoji614]Baada ya Makonda kuvamia Clouds Media siku ya Ijumaa usiku, then natafakari sana jinsi nilivyomkubali huyu jamaa.
Kiukweli Makonda asipotumbuliwa leo, then hawezi kutumbuliwa tena na tatizo sasa litakuwa sio Makonda bali tatizo ni...
Paskali.
Teh teh teh! Dah aisee nchii kwa kweli kuna vioja ila tusijilazimishe kumdhihaki Mungu wa kweli jamani nchi tunaitia laana sisi wenyeweNot guilty until proven!. Sifa yake kuu ni uthubutu wa hali lakini sasa ameongeza sifa ya ziada ya perseverance, ustahilivu mkubwa , uvumilivu wa makuu na uking'ang'anizi ambazo ni sifa za kiongozi bora.
Paskali