Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Paskali endelea kubwabwaja lakini naomba uwatazame hawa kwanza halafu tafakari kwa yanayoendelea
 
Makonda hana lolote zaidi ya kuwa mkusanyaji wa magufuli. Hawezi kupanda zaidi ya ukuu wa mkoa kwa sababu sio mwanasiasa bali ni msanii. Ukitaka kumpima mtu tazama rafiki zake ni nani. LE MUTUZ ndio best wake.
 
PASKALI MUNGU ANAKUONA KWA KEJELI ZAKO... KWELI......EEE
 
Nastahili ban kwa kukutukana bonge la tusi
 
broo niliwahi kukushauri nafuu ukae kimya..
nchi sasahivi inaongozwa na mtu ambae alishindwa kujenga upendo hata kwenye familia yake na majuzi tu alimseka mama yake mzazi lock up..
huyu angewezaje kuliunganisha taifa ?
labda kwa risasi na kuhonga..
leo unamfikiria mtu ambaye kaikana hadi familia yake kwa ajili ya madaraka, kwamba yeye hatoki kwenye familia ya BASHITE..
huyu hatochelea kuwakana na raia wake..
Mtu ambae anatumia silaha kulazimisha hoja kwenye media
mratibu wa mauwaji
fisadi anaetumia vyeti feki
asietambua majukumu na mipaka yake..
anaeingilia kati ndoa za akina Ruge na kuzisambaratisha
POMBE AMEKUA FRUSTRATED YAANI AMECHANGANYIKIWA
WEWE UMEVURUGWA.
uthubutu wa pombe umemletea unafuu gani fukara wa tanzania ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…